IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU
|
|
- Φῆλιξ Κούνδουρος
- 7 χρόνια πριν
- Προβολές:
Transcript
1 TUME YA UTUMISHI WA UMMA IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU WAJIBU MKUU WA MWALIMU Wajibu mkuu wa mwalimu ambao ndio Nguzo Tano za kazi ya ualimu ni:-.kwa MTOTO 2.KWA JUMUIYA 3.KWA KAZI YAKE 4.KWA TAIFA.KWA MTOTO Nguzo hii inamtaka mwalimu akubali kwamba wajibu wake mkuu ni kwa mtoto ambaye amekabidhiwa kumleana kwamba kwa wakati wote anatakiwa kumwongoza kwa kumkuza na kumwendeleza kimwili,kiakili na kiroho. 2KWA JUMUIYA nguzo hii inamtaka mwalimu kuijua jumu7iya ambamo anaishi na kufanyia kazi na kutii mamlaka halali na tabia yake mwenyewe kuwas mfano bora kwa wanajumuiya. 3 KWA MWAJIRI WAKE Nguzo hii inamtaka mwalimu kumtumikia mwajiri wake kwa utii na kwa uaminifu kwa mujibu wa masharti ya kazi ya ualimu 4.KWA KAZI YAKE YA UALIMU Nguzo hii inamtaka Mwalimu kufuata kwa wakati wote na kwahali ya juu kabisa Maadili mema ya kazi ya ualimupamoja na:- λ kufanya kazi kwa bidii na kwa kufuata utaratibu λ Kuwa mfano mzuri katika tabia wakati wote kwa watoto waliochini ya ulinzi wake na hata watoto wengine katika jamii.
2 /kujaribu kila wakati kuinua kiwango cha utendaji nauwezo wa kufanya kazi /kutotumia vibaya haki zinazoambatana na utumishi wa umma. 5.KWA TAIFA LAKE! Nguzo hii inamtaka mwalimu kuwa mzalendo na raia mwema na mtii wa sheria za nchi na mwelekezaji wa watoto kuwa wazalendo safi na raia wema wa baadae kwa kuzingatia wajibu wa mwalimu kwa kazi yake ya ualimu Mwalimu anategemewa kuwa na tabia na mwenendo mzuri wa kufaa kuigwa na kustahili kupewa heshima na kuaminiwa na jumuia,wazazina wanafunzi. Mwalimu yeyoteanayekwenda kinyume na maadili na masharti ya kazi ya ualimu anakuwa nimtovu wa nidhamu. HAKI ZA MWALIMU LIKIZO YA MWAKA(Annual leave) Kwa mujibu wa kanuni za kudumu za watumishi wa umma 2009 kifungu H.5(ii)kikisomwa pamoja na kanuni za utumishi wa umma,2003 kifungu cha97(i)mtumishi wa umma anayostahili yaya kupewa likizo siku 28kila mwaka.aidha kifungu cha 97 (ii) kinaeleza kuwa likizo ni haki ya mtumishi. Inapokuwa haitolewina mwajiri kwasababu mbalimbali basi mwajiri atawajibika kumlipa mtumishi mshahara wake wa mwezi.mtumishi hatopewa likizo ya mwaka hadi amefikisha miezi 8 tangu kuajiliwa rasmi(kanuni Na.97:za 2003).Mtumishi atapewa usafiri wa likizo mara moja ndani ya mzunguko wa miaka miwili yeye, mkewe na watoto wane chini ya umri wa miaka 8 au wategemezi,kanuni Na.97(5). LIKIZO YA UZAZI(Maternity leave).! Kifungu Na.98(),2003 Mtumishi wa kike atapewa likizo ya uzazi siku 84 mara moja kila baada ya miaka (3) kumaliza likizo yake,akijifungua mapacha atastahili likizo yasiku 00,kwa kwa mujibu wa T.S.S,2008,47() Kifungu 98 (2 ) Mtumishi anapojifungua kwa bahati mbaya mtoto akafariki kabla ya miezi 2 Kumalizika.Akipata mimba atastahili likizo ya uzazi siku 84. Kifungua Na. 98 (3). Mtumishi aliyejifungua astastahili muda wa saa mbili kwenda kunyonyesha hadi kipindi cha miezi sita (6). Mtumishi wa Kiume, mkewe akijifungua atapewa likizo ya siku tatu. (T.S.S 48) LIKIZO BILA MALIPO. Kifungu Na.99 () cha kanuni za utumishi wa umma 2003.Katibu Mkuu ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma anaweza kutoa likizo bila malipo kama ataridhika na sababu za maombi ya likizo hiyo.hata hivyo maombi hayo ni lazima yapitie kwa Mwajiri kanuni 99(2).
3 LIKIZO YA UGONJWA. Kifungu Na.00 () cha ushauri wa Daktari,Mamlaka ya ajira inaweza kutoa likizo ya ugonjwa.likizo hutolewa miezi sita na mshahara kamili na miezi sita mingine kwa nusu mshahara. SABATICAL LEAVE. Kifungu 0 () Likizo hii hutolewa kwa mwajiri ili kukamilisha au kuimarisha uzoefu.likizo hii ni lazima iindhinishwe nakatibu Mkuu Menejimenti ya Utumishi wa Umma.Likizo hii hupewa Mtumishi si zaidi ya miezi 2 na hutolewa baada ya Mtumishi kufanya kazi mfululizo miaka mitano,kanuni Na.0 (4). LIKIZO YA KUSTAAFU.(Leave pending retirement) Kanuni Na 02 za 2003,Mtumishi wa Umma atastahili kuomba likizo ya kujiandaa kustaafu mwezi mmoja kabla ya tarehe rasmi ya kustaafu kwake.atastahili kupewa usafiri wa kumrejesha kwao yeye na familia yake pamoja na mizigo sio chini ya tani tatu kulingana na daraja lake. MATIBABU KWA WATUMISHI WA UMMA Kifungu.K.(i) za kanuni za kudumu 2009 ikisomwa pamoja na kifungu cha 05 cha kanuni za Utumishi wa umma Mtumishi anastahili kupata matibabu bure. Hata hivyo kuna utaratibu wa bima ya afya. Mtumishi akilazimika kusafiri kwenda Hospitali ya Rufaa mwajiri atahusika kugharamia posho ya kujikimu na nauli. Vitu muhimu. λ Barua ya rufaa. λ Barua ya ruhusa tota kwa mwajir λ Fomu Appendix K 28$29 Fomu bya madai ya posho. λ Fomu Appendex K/V ya madai ya naului ikiambatana na tiketi K.26 λ Kadi ya mahudhurio hospitali λ Sickshhet. FIDIA YA KUUMIA KAZINI. Kanuni Na.(-5) inaeleza hatua mbalimbali za kufuata pindi mtumishi anapopatwa na matatizo kazini. Mtumishi anayeumia atalipwa fidia sio chini ya shilingin,000,000/= na sio zaidi zaidi ya shilingi 0,000,000/= hutemea na hali ya maumivu au kufariki. Kifungu ch 0 kinaelezea kwamba mtumishi anapoumia wakati wa kuteke laza majukumu ya ajira yake anastahili fidia na inamtaka mtumishi kujikinga na hali ambayo inaweza kuathiri afya yake.
4 KUJIENDELEZA Kanuni Na.03 inaeleza kamba ni wajibu wa mwajiri kuwaendeleza watumishi wake. Kutokana na tathimini ya kazi, mwajiri atabainisha mahitaji ya kuendeleza watumishi. Watumishi ni lazima wajiendeleze katika fani kwa lengo la kuboresha ufanisi. Kuandaa mpango kazi wa mafunzo ka watumishi. -Vtendo vyovote vinavyopingana na utaratibu za kiutumishi -Uzembe unaomgharimu mwajiri -kuiuka maadili ya kazi ya ualimu(ya utumishi wa umma) Adhabu zake -kufukuzwa kazi bila Utumishi. -kufukuzwa kazi na utumishi -kushushwa cheo. -kushushwa mshahara si chini ya kiwango ulichoanzia kazi -kulipa gharama au sehemu ya gharama kwa upotevu au uharibifu uliotokana na uzembe -karipio -Onyo -Kusimamishwa nyongeza ya mshahara. KUTENDELEA NA MAJUKUMU KA KUPUMNZISHWA Mtumishi anapumzishwa bila kusimamishwa kazi na bila kuathiri maslahi yake..lengo lake ni kuzuia kosa lisiendelee kutendeka wakati wa uchunguzi wa awali ukifanyika,(kanuni Na.37) KUSIMAMISHWA KAZI Mtumishi husimamishwa kazi na kupewa Hati ya mashtaka.hatua hii ni baada ya Mamlaka ya nidhamu kuridhika kuwa kuna tuhuma za ukweli dhidi ya mtumishi husika.(kanuni 38) KUREKEBISHA MASHTAKA Mamlaka ya nidhamu inaruhusiwa kurekebisha mashtaka yasiyo sahii ndani ya siku zisizozidi 30 tangu Mshtakiwa alipopewa mashtaka ya awali(kanuni ya 38(3) ) NUSU MSHAHARA. Mtumishi aliyesimamishwa kazi anastahili nusu mshahara wake wa mwezi tu kwa kipindi chote alichosimamishwa kazi.iwapo mtumishi husika hatapatikanana hatia na hivyo kutofukuzwa kazi au kutopewa adhabu yoyote atalipwa nusu mshahara wake ambao hakulipwa wakati aliposimamishwa kazi lakini ameadhibiwa kwa adhabu nyingine, atalipwa robo ya mshahara wake. (kanuni ya 38-2,5 na 6.)
5 KUONDOKA KITUONI MTUMISHI ALIYESIMAMISHWA KAZI. Mtumishi aliye simamishwa kazi haruhusiwi kuondoka kituoni bila kuruhusiwa kwa maandisghi na mamlaka yake ya nidhamu kanuna ya 38 (7) ATHARI ZA KUFUKUZWA KAZI Mtumishi akifukuzwa kazi hupoteza haki zake. Hata hivyo mtumishi husika atalipwa pensheni ya mkupuo iwapo wakati huo alistahili pensheni ya kila mwezi.aidha, mtumishi aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai yanayo husu rushwa au hujuma,atapoteza haki au madai yake yote.(kanuni ya ) MTUMISHI ANAPOKABILIWA NA KESI YA JINAI. Mtumishi husika atasimamishwa kazi hadi kesi husika itakapohitimishwa.hatua zakinidhamu hazitachukuliwa au kuendelezwa dhidi yake.mashartina maelekezo yote yako kwenye kanuni ya 50 na 5 RUFAA Mtuhumiwa atapewa haki yake ya kukata rufaa kwenye MAMLAKA SAHIHI na MUDA MUAFAKA. Rufaa kwa walimu imeelezwa kwenye kanuni Na 26 ( hadi 3) ya kanuni za mtumishi wa umma,2003. Muda wa kuwasilisha rufaa ni siku 45 tangu tarehe aliyopata uamuzi w\a awali na rufaa ni lazima iwe kwa maandishi na inayowekwa wazi sababu za kupinga uamuzi na adhabu.mrufani anapaswa kuipatia mamlaka yake ya nidhamu nakala ya rufaa.iwapo hakufanya hivyo mamlaka ya nidhamu inapaswa kuwasilisha taarifa ya mwenendo wa hatua za nidhamu na maelezo/utetezi wake dhidi ya sababu za rufaa ndani ya siku 4, nakala kwa Mrufani (kanuni 6) KUAJIRIWA UPYA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Walimu wanaruhusiwa kuajiriwa upya katika utumishi wa umma baada ya kutumikia adhabu kwa muda usiopunngua miezi 2.Kanuni Na.20(d) ya kanuni za utumishi wa Umma 2003 imeelekeza kuwa kamati ya mkoa inatoa uamuzi juu ya suala hilo. Uamuzi wa kamati ya mkoa utawasilishawa kwa katibu wa tume kwa ajili ya kuwaombea kibali cha kuajiriwa upya walimu hao kwa katibu Mkuu kiongozi. HITIMISHO Lengo la mada hizi ni kuwaelimisha na kuwajengea uwezo Waratibu Elimu Kata, Walimu wakuu wa shule /Wakuu wa wa shule na Walimu walimu wote kwa ujumla katika kutekeleza majukumu mbalimbali katika maeneo yenu ya kazi kwa kuzingatia sheria,kanuni,taratibu na miongozo mbalimbali inayotolewa na serikali katika kuboresha Utumishi wa umma, mara kwa mara.
6 POSHO YA KUJIKIMU Kanunui ya 3 inaeleza kwamba Mtumishi wa Umma aliye ajiliwa anastahili kupewa:- λ Nauli yeye na mkewe?mumewe,watoto na wategemezi wasiozidi 4 λ Posho ya kujikimu kwa kiwango na idadi ya siku itakapokuwa imeandaliwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais menejiment ya Utumishi wa Umma. KUTIBITISHWA KAZINI. Kanuni Na.4 za 2003,Mtumishi wa Umma aliye ajiliwa kwa mashariti ya kudumu atakuwa chini ya matazamio kwa kuzingatia muundo wa Utumishi wake na haitazidi miezi kumi na miwili. Mkuu wa kituo/kazi atawajibika kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu:- λ Mtumishi kuthibitishwa kazini. λ Mtumishi kuongezewa muda wa matazamio ili kumwezesha kufanya kazi kwa ufanisi. λ Utumishi wa Mtumishi kusitishwa. KUPANDISHWA CHEO(KANUNI NA.5) Kupandishwa cheo kwa Mtumishi wa Umma kutategemea muda wa uutendaji,utendaji wa kazi uliokidhi malengo(ufanisi wa kazi) na Taaluma ya Mtumishi. Mtumishi akipandishwa cheo atakuwa kwenye matazamio kwa muda wa miezi 6.Kanuni Na.6(). UHAMISHO. Mtumishi anapohamishwa hustahili mambo yafuatayo;- Posho ya usumbufu asilimia 0 ya mshahara wa mwaka(kanuni za kudumu za 2009L3-2). Posho ya kujikimu atalipwa atalipwa siku 4 akiwa na mweza wake na watoto wake 4 chini ya umri wa miaka 8 na wategemezi 2 kanuni za kudumu 2009L(-2). Usafiri wake na familia yake pamoja na mizigo isio chini ya Tani tatu kutegemea na daraja lake9kanuni za kudumu za 200 J).
7 UHAMISHO WA KUOMBA. Mtumishi wa umma hatalipwa chochote anapoamba uhamisho kwa manufaa yake (isipokuwa )kama amekaakituo kimoja sio chini ya miaka mitano mfululizo au kama anataka kwenda kwao kujianda na kustaafu na awe amefanya kazi nje ya mkoa wake si chini ya miaka 0 mfululizo.(l.8 a-b).kustaafu kwa hiari. KUSTAAFU. Itakuwa miaka hamsini na tan,.sharti atoe taarifa ya kusudio lake miezi sita kabla ya kutimiza miaka 55 2 Kustaafu kwa ugonjwa. Kanuni namba 30,2003 Sheria namba 2 ya pensheni ya itimisho la kazi. Kwa ushauri wa daktari na jopo la madaktari mamlaka inaweza kupendekeza mwalimu astaafu kwa ugonjwa. 3Kustaafu kwa lazima. Mtumishi wa umma atalazimika kustaafu kwa lazima atimizapo umri wa miaka sitini. Atawajibika kutoa taarifa miezi sita kabla ili aweze kupata kibali kwa wakati. MAFAO YA KUSTAAFU. PENSHENI MIRATHI KIINUA MGONGO cha mkataba wa muda maalum. PENSHENI. Pensheni ni mafao ya hitimisho la kazi kwa mtumishi anaye staafu kwa:- λ lazima. Miaka 60. λ kwa hiari. Miaka 55. λ kwa ugonjwa
8 Pensheni inayolipwa na hazina ni kabla ya , hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 73 (2) cha sheria ya mafao ya hitimisho la kazi na 2 ya 999 NIDHAMU AINA ZA MAKOSA MA ADHABU ZAKE. Sera ya menejimenti na ajira katika utumishi wa umma ya mwaka 999 katika aya za zimeeleza kuwa KOSA ni kitendo cha utovu wa nidhamu kutokana na kukiuka maadili, kanuni na masharti ya kazi. Utaratibu wa kuzingatiwa katika kushughulikia utovu wa nidhamu umeelezwa bayana na kwamba adhabu zitatolewa kulingana na uzito wa kosa. Kwa mujibu wa kanuni Na.42 (2) na 43 (2) za kanuni za utumishi wa Umma za mwaka 2003,aina za makosa na adhabu zake zimeainishwa katika nyongeza Na.2. MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUCHUKUA HATUA ZA NIDHAMU. (a) uchunguzi wa awali. Kanuni Na.36 ni lazima mamlaka ya nidhamu ifanye uchunguzi wa awali kabla haijaanza hatua za nidhamun dhidi ya mtumishi. Hatua hii inasaidia kugundua ukweli kuhusu ukiukwaji na kujiridhisha kuwa mtumishi amehusika na kuwa kuna uwezekano wa kuthibitisha kosa dhidi yake. Hatua hii inapunguza uonevu unaoweza kuwepo kwa uchukuaji wa hatua za nidhamu kwa pupa. (b) makosa na adhabu,kanuni Na.53 na 59. makosa madogo madogo (summary proceedings) kanuni Na kuchelewa kufika kazini -kutokuwepo kazini muda wa kazi -kutokamilisha kazi. -uzembe katika kutekeleza majukumu. -kutotimiza maelekezo ya utendaji kazi. Adhabu yake mara ya kwanza barua ya onyo mara ya pili karipio mara ya tatu kusimamisha nyongeza ya mshahara. (c)makosa makubwa (formal proceedings) kanuni Na.42 -kutofika kazini zaidi ya siku 5
9 -vitendo vinavyo husu wizi,rushwa -uzembe uliokithirikatika kutekeleza majukumu -kujihusisha na kazi nyingine nje ya ofisi saa za kazi. VITU VYA KUANDAA UNAPOJAZA.MKATABA WA AJIRA λ FOMU ZA MKATABA NAKALA 3 λ PICHA ZA UTUMISHI λ CHETI CHA TAALUMA(UALIMU) NAKALA 3 λ CHETI CHA FORM FOUR/SIX NAKALA 3 2.USAJILI PENSHENI.BARUA YA AJIRA (YENYE TSD NAMBA) 2.BARUA YA KUTHIBITISHWA KAZINI 3.SALARY SLIP HALISI 4.PICHA 2 3.KUSTAAFU. BARUA YA AJIRA (YENYE TSD NO) 2. BARUA YA KUTHIBITISHWA KAZINI 3. BARUA YA KUPANDA CHEO CHA MWISHO 4. SALARY SLIP 5. PICHA TATU 6. KIBALI CHA KUSTAAFU (ukipate TSD Wilaya) 7. UJAZE FOMU ZA PSPF NO 6. 4.KUANDAA MIRATHI-MAHITAJI!.MUHTASARIWA WANANDUGU KUMCHAGUA MSIMAMIZI WA MIRATHI 2.HAKI YA USIMAMIZI WA MIRATHI(HALISI) 3.CHETI CHA KIFO(HALISI) 4.BARUA YA AJIRA(YENYETSD)NAKALA 5.BARUA YA KUTHIBITISHWA KAZINI(NAKALA) 6.BARUA YA KUPANDA CHEO CHA MWISHO(NAKALA) 7.SALARY SLIP-(HALISI)
10 8.CHETI CHA NDOA/ KIAPO CHA NDOA-(NAKALA) 9.KIAPO CHA MJANE/MGANE KUTUNZA WATOTO 0.VYETI VYA KUZALIWA WATOTO/KIAPO(CHINI MIAKA 2).BARUA TOKA SHULENI KUTHIBITISHA KAMA MTOTO ANASOMA 2.PICHA 8 ZAMSIMAMIZI WA MIRATHI 3. PICHA 3 ZA KILA MTOTO WA MAREHEMU 4. PICHA 3 ZA MJANE/MGANE 5.KADI ZA BENKI ZA WALIOPO KWENYE MGAO(NAKALA) 6.FOMU NA VI YA MGAWO WA MIRATHI(ofisini utapewa) 7.FOMU NA8 NA 9 ZA PSPF (ofisini utapewa) OC;! J/! JJ/ VYOTE LAZIMA VIPITIE MAHAKAMANI WJXF NAMHURI NA SAINI YA HAKIMU KILA MTU AVIANDAE AU ATUNZE KUMBUKUMBU ZA UTUMISHI KWA SABABU NI TOKIO LA KILA MTU TUME YA UTUMISHI WA UMAA IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU MOROGORO
MUONGOZO RAHISI WA RAIA KUHUSU UCHAGUZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014
MUONGOZO RAHISI WA RAIA KUHUSU UCHAGUZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014 UMEANDIKWA NA JIMMY LUHENDE Kimetolewa na Shirika la Kuimarisha Demokrasia na Tawala za Vijiji S.L.P 1631, Mwanza
Διαβάστε περισσότεραSURA YA 95 SHERIA YA MADAWA NA UZUIAJI WA USAFIRISHAJI WA MADAWA HARAMU SHERIA KUU MPANGILIO WA VIFUNGU SEHEMU YA 1 MASHARTI YA MWANZO
SURA YA 95 SHERIA YA MADAWA NA UZUIAJI WA USAFIRISHAJI WA MADAWA HARAMU SHERIA KUU MPANGILIO WA VIFUNGU SEHEMU YA 1 MASHARTI YA MWANZO Kifungu Jina 1. Jina fupi na matumizi 2. Tafsiri SEHEMU YA II KUUNDWA
Διαβάστε περισσότεραMradi wa Misitu ya Jamii MJUMITA (Lindi) Wilaya ya Lindi Vijijini na Manispaa ya Lindi, Mkoa wa Lindi, Tanzania
Jina la Mradi: Eneo Ulipo Mradi: Mmiliki wa Mradi: Mhusika: Mradi wa Misitu ya Jamii MJUMITA (Lindi) Wilaya ya Lindi Vijijini na Manispaa ya Lindi, Mkoa wa Lindi, Tanzania Wamiliki ni wengi (Halmashauri
Διαβάστε περισσότεραJAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII Mwongozo wa Taifa wa Sekta ya Afya Kuhusu Huduma na Kinga Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia JUNI 2013 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA
Διαβάστε περισσότεραHadiyth Ya 11 Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na Kitu; Ya Juu Ni Tawhiyd, Na Ya Chini Kabisa Ni Kuondosha Taka Njiani
4 4 Hadiyth Ya 11 Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na Kitu; Ya Juu Ni Tawhiyd, Na Ya Chini Kabisa Ni Kuondosha Taka Njiani )) :( ) : ( ),,, )) ((. (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) amesema: Mtume wa
Διαβάστε περισσότεραi Kiswahili (TE) Class 1.indd i 5/30/14 8:07 PM
i Kiswahili (TE) Class 1.indd i 5/30/14 8:07 PM ii Kiswahili (TE) Class 1.indd ii 5/30/14 8:07 PM iii Kiswahili (TE) Class 1.indd iii 5/30/14 8:07 PM iv Kiswahili (TE) Class 1.indd iv 5/30/14 8:07 PM v
Διαβάστε περισσότεραii iii iv v vi vii viii ix x xi xii heru xiii xiv Wiki ya 1: Siku ya 21 Nyumbani Wanafunzi: (Tumia hatua ya 3 kufunza: makaa, kaka, matatu, ama, mti, taa). l ll Ufahamu wa herufi: Majina na sauti za herufi
Διαβάστε περισσότεραKuondoa Utata Uliyomo katika Tafauti ya Muandamo
MSTAHIWA SHEIKH AHMAD BIN HAMAD AL KHALILI MUFTI MKUU WA OMAN Kuondoa Utata Uliyomo katika Tafauti ya Muandamo [Kauli za Maulama wa Madhehebu Nne] Imefasiriwa kwa Kiswahili na: Munir Sulaiman Aziz Al Masrouri
Διαβάστε περισσότεραYaliyomo. ~ Ukurasa 3 ~
Maswali ya Maisha ~ Ukurasa 2 ~ Yaliyomo 1. Yesu ni nani? Ukurasa 5 2. Kwa nini Yesu alikufa msalabani? Ukurasa 12 3. Nitakuwaje na hakika juu ya Imani yangu? Ukurasa 18 4. Kwa nini nisome Biblia? Niisomeje?
Διαβάστε περισσότεραKILIMO CHA ZAO LA VANILLA
KILIMO CHA ZAO LA VANILLA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA IDARA YA MAENDELEO YA MAZAO Sehemu ya Uendelezaji wa Mazao KILIMO CHA ZAO LA VANILLA Kimetolewa na Jamhuri
Διαβάστε περισσότεραii iii iv v vi vii viii ix x xi xii heru xiii xiv Wiki ya 1: Siku ya 21 Ukoo/Jamaa Hatua ya 2: Mwalimu: Tusome silabi hii pamoja. Mwalimu na Wanafunzi: /m/ /a/- ma Hatua ya 3: Mwalimu: Ni zamu yenu sasa.
Διαβάστε περισσότεραKiswahili TE(C2).indd i 5/30/14 8:14 PM
Kiswahili TE(C2).indd i 5/30/14 8:14 PM ii Kiswahili TE(C2).indd ii 5/30/14 8:14 PM iii Kiswahili TE(C2).indd iii 5/30/14 8:14 PM iv Kiswahili TE(C2).indd iv 5/30/14 8:14 PM v Kiswahili TE(C2).indd v 5/30/14
Διαβάστε περισσότεραIMAM MAHDI (A.S.) NI TUMAINI LA MATAIFA
IMAM MAHDI (A.S.) NI TUMAINI LA MATAIFA اإلمام المهدي عليه السالم أمل الشعوب Kimeandikwa na: Sheikh Hasan Musa as-saffar Kimetarjumiwa na: Abdul-Karim Juma Nkusui Kimehaririwa na: Alhaji Hemedi Lubumba
Διαβάστε περισσότεραHadiyth Ya 71 Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema )) :
Hadiyth Ya 71 Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema )) : : ( ) (( Imepokelewa kutoka kwa Adiyy bin Haatim ( ) amesema: Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Ogopeni moto japo kwa nusu tende, na usipopata
Διαβάστε περισσότεραHadiyth Ya 131 Allaah Ameridhia Kuabudiwa, Kutokumshirikisha, Kuungana Na Anachukia Uvumi, Udadisi Na Kupoteza Mali ( )
Hadiyth Ya 131 Allaah Ameridhia Kuabudiwa, Kutokumshirikisha, Kuungana Na Anachukia Uvumi, Udadisi Na Kupoteza Mali )) : :,,.((, ( ) :, Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) kwamba Mtume wa Allaah (
Διαβάστε περισσότεραHadiyth Ya 1 Allaah Hatazami Miili Wala Sura, Bali Anatazama Nyoyoni
4 Hadiyth Ya 1 Allaah Hatazami Miili Wala Sura, Bali Anatazama Nyoyoni )) :( ) : ( ) (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) amesema: Mtume ( ) amesema: ((Hakika Allaah Hatazami viwiliwili vyenu wala
Διαβάστε περισσότεραMafundisho Ya Madhehebu
Mafundisho Ya Madhehebu na Rod Rutherford Mtafsiri John Makanyaga www.kanisalakristo.com 1 Mafundisho ya Madhehebu Somo la Kwanza- Kanisa la Agano Jipya. Utangulizi 1. Kuna makundi ya kidini 2054 katika
Διαβάστε περισσότεραAHLUL ~ KISAA. Mkusanyiko wa sifa na tarehe za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), Imamu Ali, Bibi Fatimah, Imamu Hassan na Imamu Hussein
AHLUL ~ KISAA Mkusanyiko wa sifa na tarehe za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), Imamu Ali, Bibi Fatimah, Imamu Hassan na Imamu Hussein Kimetungwa na: Ahmad Badawy bin Muhammad Al-Husseiny Kimehaririwa na: Sheikh
Διαβάστε περισσότεραHadiyth Ya 61 Dunia Ni Kama Kivuli Anachokitumia Msafiri Kwa Muda Tu
( 4 Hadiyth Ya 61 Dunia Ni Kama Kivuli Anachokitumia Msafiri Kwa Muda Tu : ( ).!, )) : : (( Imepokelewa kutoka kwa Abdullaah bin Mas uwd ( ) amesema: Mtume wa Allaah ( ) alilala kwenye jamvi la mtende
Διαβάστε περισσότεραUmmu Iyyaad Imepitiwa Na: Abu Abdillaah Muhammad Baawazir
Subira Njema Ummu Iyyaad Imepitiwa Na: Abu Abdillaah Muhammad Baawazir 1 ijk Utangulizi: Sifa zote njema Anastahiki Allaah وتعالى) (سبحانه Mola wa walimwengu صلى ( Muhammad wote, Rahma na amani zimshukie
Διαβάστε περισσότεραIdghaam haiwezekani ikawa katika neno moja bali ni lazima nuwn saakinah au tanwiyn iweko mwisho wa neno la kwanza, na herufi inayoingizwa hiyo
ii- الا د غا م Al-idghaam Kuingiza, kuchanganya. Idghaam ni kuingiza kitu kwenye kitu. Katika hukmu za Tajwiyd ni kuingiza herufi saakin kwenye herufi yenye i raab na kuzipelekea herufi mbili hizi kuwa
Διαβάστε περισσότεραMATESO YA DHURIA YA MTUME
MATESO YA DHURIA YA MTUME Mwandishi: Ayatullah Murtadha Mutahhari Mtarjumi: Salman Shou Kimehaririwa na: Al-Haj Ramadhani S. K. Shemahimbo Haki ya kunakili imehifadhiwa na: AL-ITRAH FOUNDATION ISBN: 978-9987
Διαβάστε περισσότεραNi kusimama katika neno lakini hata ukiunganisha yanayofuatia haiharibu maana. Ni lazima kusimama kwani kuunganisha na yanayofuatia kutaharibu maana.
Al-Waqf At-Taamm - Kisimamo Kilichokamilika ال وق ف الت ام 1. Kusimama katika neno la Qur-aan ambako kauli imekamilika maana yake, na wala hayana uhusiano wowote ule na yanayofuatia; uhusiano huo uwe wa
Διαβάστε περισσότεραHadiyth Ya 111 Wanaume Na Wanawake Wasio Maharimu Wasitazamane Uchi Wala Wasilale Pamoja
Hadiyth Ya 111 Wanaume Na Wanawake Wasio Maharimu Wasitazamane Uchi Wala Wasilale Pamoja, )) : ( ),, (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Sa iyd ( ) kwamba Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Mwanamme asitazame uchi
Διαβάστε περισσότερα25-Faharasa. Matamshi. Tamshi moja ni lafdhw. Iliyo na nguvu kabisa, inayodhaniwa kuwa sahihi kabisa, rai inayokubalika kabisa.
25-Faharasa Neno Maana Yake Aaridhw as-sukuwn Ibaadah sukuwn pana ya kusimami neno. ibada Ahkaamut-Tajwiyd Alfaadhw Hukumu za Tawjiyd Matamshi. Tamshi moja ni lafdhw Arjah Iliyo na nguvu kabisa, inayodhaniwa
Διαβάστε περισσότεραΛΕΞΙΚΟΝ ΕΛΛΗΝΟ-ΣΟΥΑΧΙΛΙ
ΜΟΝΑΧΟΥ ΑΜΑΣΚΗΝΟΥ ΓΡΗΓΟΡΙΑΤΟΥ ΜΩΥΣΕΩΣ KALENGA ΛΕΞΙΚΟΝ ΕΛΛΗΝΟ-ΣΟΥΑΧΙΛΙ ΜΕ ΣΤΟΙΧΕΙΑ ΓΡΑΜΜΑΤΙΚΗΣ ΤΗΣ ΓΛΩΣΣΑΣ ΣΟΥΑΧΙΛΙ ΟΡΘΟ ΟΞΟΝ ΙΕΡΑΠΟΣΤΟΛΙΚΟΝ ΚΛΙΜΑΚΙΟΝ ΙΕΡΑΣ ΜΗΤΡΟΠΟΛΕΩΣ ΚΕΝΤΡΩΑΣ ΑΦΡΙΚΗΣ ΚΟΛΟΥΕΖΙ ΚΟΓΚΟ 1999
Διαβάστε περισσότερα05- Fadhila Za Umrah Na Hajj
èèää ÆÆÆ Æd dd ÉÉÉ øø FF Ï ÉÉÉ ÎÎ ÅÅ øø FF... ŸŸŸ Ïi ii ššš '' éé ÈÈÈ ÝÝ èè àà ŸŸŸ nn 333 BBB øø ŸŸŸ èè Ï 555 ppøø rr öö þþþ ÎÎ «««óó ãã àà õõ ÉÉ ªªª xx øø ççç èè nn ÍÍ!! øø 999 öö oo ÖÖÖ ô rr ppøø rr
Διαβάστε περισσότεραJapanese Fuzzy String Matching in Cooking Recipes
1 Japanese Fuzzy String Matching in Cooking Recipes Michiko Yasukawa 1 In this paper, we propose Japanese fuzzy string matching in cooking recipes. Cooking recipes contain spelling variants for recipe
Διαβάστε περισσότεραΙΑΦΑ Φ ΝΕΙ Ε ΕΣ Ε ΧΗΜΕ Μ Ι Ε ΑΣ ΓΥΜΝ Μ ΑΣΙΟΥ H
Hταξινόµηση των στοιχείων τάξη Γ γυµνασίου Αναγκαιότητα ταξινόµησης των στοιχείων Μέχρι το 1700 µ.χ. ο άνθρωπος είχε ανακαλύψει µόνο 15 στοιχείακαι το 1860 µ.χ. περίπου 60στοιχεία. Σηµαντικοί Χηµικοί της
Διαβάστε περισσότεραGapso t e q u t e n t a g ebra P open parenthesis N closing parenthesis fin i s a.. pheno mno nd iscovere \ centerline
G q v v G q v H 4 q 4 q v v ˆ ˆ H 4 ] 4 ˆ ] W q K j q G q K v v W v v H 4 z ] q 4 K ˆ 8 q ˆ j ˆ O C W K j ˆ [ K v ˆ [ [; 8 ] q ˆ K O C v ˆ ˆ z q [ R ; ˆ 8 ] R [ q v O C ˆ ˆ v - - ˆ - ˆ - v - q - - v -
Διαβάστε περισσότεραEstimation of grain boundary segregation enthalpy and its role in stable nanocrystalline alloy design
Supplemental Material for Estimation of grain boundary segregation enthalpy and its role in stable nanocrystalline alloy design By H. A. Murdoch and C.A. Schuh Miedema model RKM model ΔH mix ΔH seg ΔH
Διαβάστε περισσότεραΓια να εμφανιστούν σωστά οι χαρακτήρες της Γραμμικής Β, πρέπει να κάνετε download και install τα fonts της Linear B που υπάρχουν στο τμήμα Downloads.
Για να εμφανιστούν σωστά οι χαρακτήρες της Γραμμικής Β, πρέπει να κάνετε download και install τα fonts της Linear B που υπάρχουν στο τμήμα Downloads. Η μυκηναϊκή Γραμμική Β γραφή ονομάστηκε έτσι από τον
Διαβάστε περισσότεραK r i t i k i P u b l i s h i n g - d r a f t
T ij = A Y i Y j /D ij A T ij i j Y i i Y j j D ij T ij = A Y α Y b i j /D c ij b c b c a LW a LC L P F Q W Q C a LW Q W a LC Q C L a LC Q C + a LW Q W L P F L/a LC L/a LW 1.000/2 = 500
Διαβάστε περισσότεραIspitivanje toka i skiciranje grafika funkcija
Ispitivanje toka i skiciranje grafika funkcija Za skiciranje grafika funkcije potrebno je ispitati svako od sledećih svojstava: Oblast definisanosti: D f = { R f R}. Parnost, neparnost, periodičnost. 3
Διαβάστε περισσότεραΘΕΜΑΤΑ ΠΑΝΕΛΛΑΔΙΚΩΝ ΕΞΕΤΑΣΕΩΝ ΕΝΙΑΙΟΥ ΛΥΚΕΙΟΥ ΜΑΘΗΜΑ: ΧΗΜΕΙΑ ΚΑΤΕΥΘΥΝΣΗΣ (ΠΕΡΙΕΧΟΝΤΑΙ ΚΑΙ ΟΙ ΕΠΑΝΑΛΗΠΤΙΚΕΣ ΕΞΕΤΑΣΕΙΣ)
ΘΕΜΑΤΑ ΠΑΝΕΛΛΑΔΙΚΩΝ ΕΞΕΤΑΣΕΩΝ ΕΝΙΑΙΟΥ ΛΥΚΕΙΟΥ ΜΑΘΗΜΑ: ΧΗΜΕΙΑ ΚΑΤΕΥΘΥΝΣΗΣ (ΠΕΡΙΕΧΟΝΤΑΙ ΚΑΙ ΟΙ ΕΠΑΝΑΛΗΠΤΙΚΕΣ ΕΞΕΤΑΣΕΙΣ) ΑΡΧΗ 1ΗΣ ΣΕΛΙ ΑΣ Γ ΤΑΞΗ ΑΠΟΛΥΤΗΡΙΕΣ ΕΞΕΤΑΣΕΙΣ Γ ΤΑΞΗΣ ΕΝΙΑΙΟΥ ΛΥΚΕΙΟΥ ΣΑΒΒΑΤΟ 9 ΙΟΥΝΙΟΥ
Διαβάστε περισσότεραΓΗ ΚΑΙ ΣΥΜΠΑΝ. Εικόνα 1. Φωτογραφία του γαλαξία μας (από αρχείο της NASA)
ΓΗ ΚΑΙ ΣΥΜΠΑΝ Φύση του σύμπαντος Η γη είναι μία μονάδα μέσα στο ηλιακό μας σύστημα, το οποίο αποτελείται από τον ήλιο, τους πλανήτες μαζί με τους δορυφόρους τους, τους κομήτες, τα αστεροειδή και τους μετεωρίτες.
Διαβάστε περισσότερα1. Ma trận A = Ký hiệu tắt A = [a ij ] m n hoặc A = (a ij ) m n
Cơ sở Toán 1 Chương 2: Ma trận - Định thức GV: Phạm Việt Nga Bộ môn Toán, Khoa CNTT, Học viện Nông nghiệp Việt Nam Bộ môn Toán () Cơ sở Toán 1 - Chương 2 VNUA 1 / 22 Mục lục 1 Ma trận 2 Định thức 3 Ma
Διαβάστε περισσότεραΜΕΛΕΤΗ ΤΗΣ ΥΝΑΤΟΤΗΤΑΣ ΑΞΙΟΠΟΙΗΣΗΣ ΤΟΥ ΓΕΩΘΕΡΜΙΚΟΥ ΠΕ ΙΟΥ ΘΕΡΜΩΝ ΝΙΓΡΙΤΑΣ (Ν. ΣΕΡΡΩΝ)
ελτίο της Ελληνικής Γεωλογικής Εταιρίας τοµ. XXXVI, 2004 Πρακτικά 10 ου ιεθνούς Συνεδρίου, Θεσ/νίκη Απρίλιος 2004 Bulletin of the Geological Society of Greece vol. XXXVI, 2004 Proceedings of the 10 th
Διαβάστε περισσότεραMeren virsi Eino Leino
œ_ œ _ q = 72 Meren virsi Eino Leino Toivo Kuua o. 11/2 (1909) c c F c Kun ne F iu L? c œ J J J J œ_ œ_ nœ_ Min ne rien nät, vie ri vä vir ta? Kun ne c c F c Kun ne F iu L? c œ J J J J œ_ œ_ nœ_ Min ne
Διαβάστε περισσότεραbab.la Φράσεις: Ταξίδι Τρώγοντας έξω ελληνικά-ελληνικά
Τρώγοντας έξω : Στην είσοδο Θα ήθελα να κρατήσω ένα τραπέζι για _[αριθμός ατόμων]_ στις _[ώρα]_. (Tha íthela na kratíso éna trapézi ya _[arithmós atómon]_ στις _[óra]_.) Θα ήθελα να κρατήσω ένα τραπέζι
Διαβάστε περισσότεραΤμήμα Γεωτεχνολογίας & Περιβάλλοντος
Τμήμα Γεωτεχνολογίας & Περιβάλλοντος Ολιβινικά βιομηχανικά πετρώματα στο Βούρινο της υτικής Μακεδονίας Σπουδάστρια : Κουζέλη Ευλαμπία Επιβλέπων : Επίκ. Καθ. Ανδρέας Ιορδανίδης Γενικά χαρακτηριστικά του
Διαβάστε περισσότεραΑΡΙΘΜΟΣ ΟΞΕΙΔΩΣΗΣ - ΓΡΑΦΗ ΧΗΜΙΚΩΝ ΤΥΠΩΝ- ΟΝΟΜΑΤΟΛΟΓΙΑ
ΑΡΙΘΜΟΣ ΟΞΕΙΔΩΣΗΣ - ΓΡΑΦΗ ΧΗΜΙΚΩΝ ΤΥΠΩΝ- ΟΝΟΜΑΤΟΛΟΓΙΑ Τι είναι ο αριθμός οξείδωσης Αριθμό οξείδωσης ενός ιόντος σε μια ετεροπολική ένωση ονομάζουμε το πραγματικό φορτίο του ιόντος. Αριθμό οξείδωσης ενός
Διαβάστε περισσότεραΝόµοςπεριοδικότητας του Moseley:Η χηµική συµπεριφορά (οι ιδιότητες) των στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού.
Νόµοςπεριοδικότητας του Moseley:Η χηµική συµπεριφορά (οι ιδιότητες) των στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού. Περιοδικός πίνακας: α. Είναι µια ταξινόµηση των στοιχείων κατά αύξοντα
Διαβάστε περισσότερα2742/ 207/ /07.10.1999 «&»
2742/ 207/ /07.10.1999 «&» 1,,,. 2 1. :.,,,..,..,,. 2., :.,....,, ,,..,,..,,,,,..,,,,,..,,,,,,..,,......,,. 3., 1. ' 3 1.., : 1. T,, 2., 3. 2 4. 5. 6. 7. 8. 9..,,,,,,,,, 1 14. 2190/1994 ( 28 ),,..,, 4.,,,,
Διαβάστε περισσότεραHONDA. Έτος κατασκευής
Accord + Coupe IV 2.0 16V (CB3) F20A2-A3 81 110 01/90-09/93 0800-0175 11,00 2.0 16V (CB3) F20A6 66 90 01/90-09/93 0800-0175 11,00 2.0i 16V (CB3-CC9) F20A8 98 133 01/90-09/93 0802-9205M 237,40 2.0i 16V
Διαβάστε περισσότεραΓια την κωδικοποίηση της αρμανικής. Prof. Dr. Thede KAHL POLIS ART CAFE ΑΘΗΝΑ 23 IAN 2014
Για την κωδικοποίηση της αρμανικής Prof. Dr. Thede KAHL POLIS ART CAFE ΑΘΗΝΑ 23 IAN 2014 Τάσεις και περίοδοι στην κωδικοποίηση της αρμανικής 1. Ελληνοποίηση (1700-1840) 2. Ρουμανική προπαγάνδα (1820-1945)
Διαβάστε περισσότεραΤο άτομο του Υδρογόνου
Το άτομο του Υδρογόνου Δυναμικό Coulomb Εξίσωση Schrödinger h e (, r, ) (, r, ) E (, r, ) m ψ θφ r ψ θφ = ψ θφ Συνθήκες ψ(, r θφ, ) = πεπερασμένη ψ( r ) = 0 ψ(, r θφ, ) =ψ(, r θφ+, ) π Επιτρεπτές ενέργειες
Διαβάστε περισσότεραΑπαντήσεις Προτεινόμενων Θεμάτων στη Χημεία Γ Λυκείου
Απαντήσεις Προτεινόμενων Θεμάτων στη Χημεία Γ Λυκείου ΘΕΜΑ Α Α.δ Α.δ Α3. δ Α4.β Α5. α ΘΕΜΑ B B.α) (Λάθος) Μπορεί να είναι υγρό ή στερεό σε ετερογενή αντίδραση, οπότε η συγκέντρωση παραμένει σταθερή. β)
Διαβάστε περισσότεραAΝΑΛΟΓΙΑ ΜΑΖΩΝ ΣΤΟΧΕΙΩΝ ΧΗΜΙΚΗΣ ΕΝΩΣΗΣ
2 ο Γυμνάσιο Καματερού 1 ΦΥΣΙΚΕΣ ΙΔΙΟΤΗΤΕΣ ΤΗΣ ΥΛΗΣ 1. Πόσα γραμμάρια είναι: ι) 0,2 kg, ii) 5,1 kg, iii) 150 mg, iv) 45 mg, v) 0,1 t, vi) 1,2 t; 2. Πόσα λίτρα είναι: i) 0,02 m 3, ii) 15 m 3, iii) 12cm
Διαβάστε περισσότεραΛίζα Βάρβογλη Εικονογράφηση: Γιώργος Πετρίδης
Λίζα Βάρβογλη Εικονογράφηση: Γιώργος Πετρίδης I can do it (αγγλικά) Unë mund ta bëjë këtë (αλβανικά) ja to mogu (κροατικά) je peux le faire Ich kann es machen (γερμανικά) yapabilirim (τουρκικά) (γαλλικά)
Διαβάστε περισσότεραNa/K (mole) A/CNK
Li, W.-C., Chen, R.-X., Zheng, Y.-F., Tang, H., and Hu, Z., 206, Two episodes of partial melting in ultrahigh-pressure migmatites from deeply subducted continental crust in the Sulu orogen, China: GSA
Διαβάστε περισσότεραΣυμβούλιο της Ευρωπαϊκής Ένωσης Βρυξέλλες, 7 Μαρτίου 2017 (OR. en)
Συμβούλιο της Ευρωπαϊκής Ένωσης Βρυξέλλες, 7 Μαρτίου 2017 (OR. en) 7057/17 ADD 1 TRANS 97 ΔΙΑΒΙΒΑΣΤΙΚΟ ΣΗΜΕΙΩΜΑ Αποστολέας: Ημερομηνία Παραλαβής: Αποδέκτης: Για τον Γενικό Γραμματέα της Ευρωπαϊκής Επιτροπής,
Διαβάστε περισσότεραAx = b. 7x = 21. x = 21 7 = 3.
3 s st 3 r 3 t r 3 3 t s st t 3t s 3 3 r 3 3 st t t r 3 s t t r r r t st t rr 3t r t 3 3 rt3 3 t 3 3 r st 3 t 3 tr 3 r t3 t 3 s st t Ax = b. s t 3 t 3 3 r r t n r A tr 3 rr t 3 t n ts b 3 t t r r t x 3
Διαβάστε περισσότεραΤΜΗΜΑ ΧΗΜΕΙΑΣ ΠΑΝΕΠΙΣΤΗΜΙΟ ΙΩΑΝΝΙΝΩΝ ΑΝΟΡΓΑΝΗ ΧΗΜΕΙΑ ΙΙΙ ΣΗΜΕΙΩΣΕΙΣ ΔΙΑΛΕΞΕΩΝ
ΤΜΗΜΑ ΧΗΜΕΙΑΣ ΠΑΝΕΠΙΣΤΗΜΙΟ ΙΩΑΝΝΙΝΩΝ ΑΝΟΡΓΑΝΗ ΧΗΜΕΙΑ ΙΙΙ ΣΗΜΕΙΩΣΕΙΣ ΔΙΑΛΕΞΕΩΝ 2011 2012 ΙΩΑΝΝΗΣ Χ. ΠΛΑΚΑΤΟΥΡΑΣ ΚΑΘΗΓΗΤΗΣ 2 ΧΗΜΕΙΑ ΕΝΤΑΞΗΣ ΑΡΙΘΜΟΙ ΕΝΤΑΞΗΣ ΚΑΙ ΓΕΩΜΕΤΡΙΑ Αριθμός ένταξης 2. Είναι δυνατές
Διαβάστε περισσότεραΔιανύσματα. (α) μέτρο, (β) διεύθυνση και. (γ) φορά. (κατεύθυνση=διεύθυνση+φορά).
Διανύσματα Βαθμωτή Ποσότητα: αυτή που μπορεί να οριστεί πλήρως με έναν αριθμό και μια μονάδα. Ο αριθμός και η μονάδα συνιστούν το μέτρο της βαθμωτής ποσότητας. Διάνυσμα: είναι η ποσότητα που έχει (α) μέτρο,
Διαβάστε περισσότεραΠΑΝΕΠΙΣΤΗΜΙΟ ΠΑΤΡΩΝ ΤΜΗΜΑ ΒΙΟΛΟΓΙΑΣ. Τοµέας Γενετικής, Βιολογίας Κυττάρου και Ανάπτυξης
ΠΑΝΕΠΙΣΤΗΜΙΟ ΠΑΤΡΩΝ ΤΜΗΜΑ ΒΙΟΛΟΓΙΑΣ Τοµέας Γενετικής, Βιολογίας Κυττάρου και Ανάπτυξης ΜΕΛΕΤΗ ΤΩΝ ΜΗΧΑΝΙΣΜΩΝ ΠΡΟΚΛΗΣΗΣ ΑΝΕΥΠΛΟΕΙ ΙΑΣ ΣΤΟΝ ΑΝΘΡΩΠΟ ΑΠΟ ΤΗ ΦΑΡΜΑΚΕΥΤΙΚΗ ΕΝΩΣΗ Υ ΡΟΧΛΩΡΟΘΕΙΑΖΙ ΙΟ (HCTZ) ΜΕ
Διαβάστε περισσότερα6. ΤΕΛΙΚΗ ΙΑΘΕΣΗ ΤΑΦΗ. 6.1. Γενικά
6. ΤΕΛΙΚΗ ΙΑΘΕΣΗ ΤΑΦΗ 6.1. Γενικά Είναι γεγονός ότι ανέκαθεν ο τελικός αποδέκτης των υπολειµµάτων της κατανάλωσης και των καταλοίπων της παραγωγικής διαδικασίας υπήρξε το περιβάλλον. Στις παλιότερες κοινωνίες
Διαβάστε περισσότερα,
... 7 1.,... 8 1.1... 8 1.2... 10 1.3-4... 12 1.4,... 13 1.5,... 14 1.6... 14 2... 16 2.1... 16 2.2... 18 2.3... 23 2.4... 24 2.5... 24 2.6... 27 2.7... 29 2.8... 32 2.9... 34 2.10... 40 2.11... 40 2.12...
Διαβάστε περισσότερα#%" )*& ##+," $ -,!./" %#/%0! %,!
-!"#$% -&!'"$ & #("$$, #%" )*& ##+," $ -,!./" %#/%0! %,! %!$"#" %!#0&!/" /+#0& 0.00.04. - 3 3,43 5 -, 4 $ $.. 04 ... 3. 6... 6.. #3 7 8... 6.. %9: 3 3 7....3. % 44 8... 6.4. 37; 3,, 443 8... 8.5. $; 3
Διαβάστε περισσότερα..,..,.. ! " # $ % #! & %
..,..,.. - -, - 2008 378.146(075.8) -481.28 73 69 69.. - : /..,..,... : - -, 2008. 204. ISBN 5-98298-269-5. - -,, -.,,, -., -. - «- -»,. 378.146(075.8) -481.28 73 -,..,.. ISBN 5-98298-269-5..,..,.., 2008,
Διαβάστε περισσότεραΣτρωματογραφία-Ιστορική γεωλογία. Κρυπτοζωικός Μεγααιώνας Δρ. Ηλιόπουλος Γεώργιος Σχολή Θετικών Επιστημών Τμήμα Γεωλογίας
Στρωματογραφία-Ιστορική γεωλογία Κρυπτοζωικός Μεγααιώνας Δρ. Ηλιόπουλος Γεώργιος Σχολή Θετικών Επιστημών Τμήμα Γεωλογίας Σκοποί ενότητας Σκοπός της ενότητας είναι η μελέτη του Κρυπτοζωικού Μεγααιώνα, κατά
Διαβάστε περισσότεραΜεταπτυχιακό Μάθημα Ποιότητα Ισχύος. 1η ενότητα : Εισαγωγή 1
Μεταπτυχιακό Μάθημα Ποιότητα Ισχύος 1η ενότητα : Εισαγωγή 1 Προβλήματα Ποιότητας Ισχύος Ταχέα ηλεκτρομαγνητικά μεταβατικά φαινόμενα (fast electromagnetic transients) Διακοπτικοί χειρισμοί (ζεύξεις, αποζεύξεις)
Διαβάστε περισσότεραTuyển chọn Đề và đáp án : Luyện thi thử Đại Học của các trường trong nước năm 2012.
wwwliscpgetl Tuyển chọn Đề và đáp án : Luyện thi thử Đại ọc củ các trường trong nước năm ôn: ÌN Ọ KÔNG GN (lisc cắt và dán) ÌN ÓP ài ho hình chóp có đáy là hình vuông cạnh, tm giác đều, tm giác vuông cân
Διαβάστε περισσότεραMOSFETs. MOSFETs. High Voltage MOSFET (THD Type) Max. Ratings R DS(ON) ( ) Q g (nc) Outline (Unit: mm) Type No.
MOFETs High age MOFET (TH Type) Ratings R (ON) ( ) Q g (nc) BV I P (W) V I V KMB050N60P 60 50 1 0.018 0.022 10 25 32 10 KMB075N75P 75 75 190 0.013 0.017 10 37.5 85 10 KHB95NP 0 9.5 72 0.29 0.36 10 4.75
Διαβάστε περισσότεραΟΡΥΚΤΟΛΟΓΙΑ ΤΟΜΕΑΣ ΓΕΩΛΟΓΙΚΩΝ ΕΠΙΣΤΗΜΩΝ ΤΜΗΜΑ ΜΗΧΑΝΙΚΩΝ ΜΕΤΑΛΛΕΙΩΝ - ΜΕΤΑΛΛΟΥΡΓΩΝ ΜΑΘΗΜΑ 2. ΟΡΥΚΤΑ - ΠΕΤΡΩΜΑΤΑ
ΟΡΥΚΤΟΛΟΓΙΑ ΤΟΜΕΑΣ ΓΕΩΛΟΓΙΚΩΝ ΕΠΙΣΤΗΜΩΝ ΤΜΗΜΑ ΜΗΧΑΝΙΚΩΝ ΜΕΤΑΛΛΕΙΩΝ - ΜΕΤΑΛΛΟΥΡΓΩΝ ΜΑΘΗΜΑ 2. ΟΡΥΚΤΑ - ΠΕΤΡΩΜΑΤΑ Μαρία Περράκη, Επίκουρη Καθηγήτρια ΑΔΕΙΑ ΧΡΗΣΗΣ Το παρόν εκπαιδευτικό υλικό υπόκειται σε άδειες
Διαβάστε περισσότεραAPPENDIX I PITTSBURGH NO. 8 WASHABILITY DATA AND RECOVERY- CURVES
APPENDIX I PITTSBURGH NO. 8 WASHABILITY DATA AND RECOVERY- CURVES Seam: Pittsburgh No. 8 Sample: Run-of-Mine Feed Class: 5 x 1 mm Mass (%): 56.26 Individual Sink Float Mass Ash Sulfur Pyritic Heat SG SG
Διαβάστε περισσότεραΘΕΜΑΤΑ ΑΠΟ ΠΜΔΧ ΣΧΕΤΙΚΑ ΜΕ ΤΟ 1 ΚΕΦΑΛΑΙΟ ΤΗΣ Γ ΛΥΚΕΙΟΥ
ΘΕΜΑΤΑ ΑΠΟ ΠΜΔΧ ΣΧΕΤΙΚΑ ΜΕ ΤΟ ΚΕΦΑΛΑΙΟ ΤΗΣ Γ ΛΥΚΕΙΟΥ 27 ος ΠΜΔΧ Γ ΛΥΚΕΙΟΥ 30 03 203. Στοιχείο Μ το οποίο ανήκει στην πρώτη σειρά στοιχείων μετάπτωσης, σχηματίζει ιόν Μ 3+, που έχει 3 ηλεκτρόνια στην υποστιβάδα
Διαβάστε περισσότεραΧηµεία Θετικής Κατεύθυνσης Γ Λυκείου 2001
Χηµεία Θετικής Κατεύθυνσης Γ Λυκείου 001 ΕΚΦΩΝΗΣΕΙΣ Ζήτηµα 1ο Στις ερωτήσεις 1.1 έως 1.4, να γράψετε στο τετράδιό σας τον αριθµό της ερώτησης και δίπλα το γράµµα που αντιστοιχεί στη σωστή απάντηση. 1.1.
Διαβάστε περισσότερα,+ 2 1ntr0du~a0 TABLE OF CONTENTS. a * 4. LT\,? .fi T? PAGE. n - q;.;.+e Afos ao carbono. Conepxakiue. CTpa~uqa ~Zgina Ukuras a
TABLE OF CONTENTS a * Table des matiires Inhaltsverzeichnis Indice Generale @.4 Sdrio Conepxakiue Contenido Yaliyomo - Pagina Page Seite.fi T? ~iigina CTpa~uqa ~Zgina Ukuras a Preface Vorwort Prefazione
Διαβάστε περισσότερα!"!# ""$ %%"" %$" &" %" "!'! " #$!
" "" %%"" %" &" %" " " " % ((((( ((( ((((( " %%%% & ) * ((( "* ( + ) (((( (, (() (((((* ( - )((((( )((((((& + )(((((((((( +. ) ) /(((( +( ),(, ((((((( +, 0 )/ (((((+ ++, ((((() & "( %%%%%%%%%%%%%%%%%%%(
Διαβάστε περισσότεραΗ ΦΩΤΟΛΙΘΟΓΡΑΦΙΑ & ΟΙ ΕΞΕΛΙΞΕΙΣ ΤΗΣ. Ε. Κ. Παλούρα, Καθηγήτρια ΠΜΣ «Φυσική & τεχνολογία υλικών» Τμήμα Φυσικής ΑΠΘ
Η ΦΩΤΟΛΙΘΟΓΡΑΦΙΑ & ΟΙ ΕΞΕΛΙΞΕΙΣ ΤΗΣ 1 Ε. Κ. Παλούρα, Καθηγήτρια ΠΜΣ «Φυσική & τεχνολογία υλικών» Τμήμα Φυσικής ΑΠΘ ΦΩΤΟΛΙΘΟΓΡΑΦΙΑ Για την κατασκευή διατάξεων, π.χ. τρανζίστορ, απαιτείται μία σειρά από
Διαβάστε περισσότεραMICROMASTER Vector MIDIMASTER Vector
s MICROMASTER Vector MIDIMASTER Vector... 2 1.... 4 2. -MICROMASTER VECTOR... 5 3. -MIDIMASTER VECTOR... 16 4.... 24 5.... 28 6.... 32 7.... 54 8.... 56 9.... 61 Siemens plc 1998 G85139-H1751-U553B 1.
Διαβάστε περισσότερα20.2.5 Å/ ÅÃ... YD/ kod... 130
Περιεχόμενα 13 Ψάχνοντας υποαπασχόληση 1 13.1 Διάλογοι.................................................. 1 13.1.1 Ÿ º Â È Ç½µ¹ Å»µ¹..................................... 1 13.1.2 Ä µãä¹±äìá¹...........................................
Διαβάστε περισσότεραΑΠΑΝΤΗΣΕΙΣ ΤΩΝ ΘΕΜΑΤΩΝ
ΑΘΗΑ - ΕΞΕΤΑΖΟΕΝΗ ΥΛΗ ΧΗΕΙΑ Γ ΛΥΚΕΙΟΥ ΚΑΘΗΓΗΤΗΣ ΤΗΑ ΠΑΡΑΡΤΗΑ ΔΙΑΡΚΕΙΑ 3 ΩΡΕΣ ΘΕΑ Α ΑΠΑΝΤΗΣΕΙΣ ΤΩΝ ΘΕΑΤΩΝ Α1. 3, Α2. 3, Α3. 2, Α4. 3 Α5. 1. Λάθος, 2. Λάθος, 3. Σωστό, 4. Λάθος, 5. Σωστό. ΘΕΑ Β Β1. Ι) 1.
Διαβάστε περισσότεραΕΞΕΤΑΣΤΙΚΗ ΠΕΡΙΟΔΟΣ ΦΕΒΡΟΥΑΡΙΟΥ 2011 ΟΙΚΟΝΟΜΙΚΑ ΚΑΙ ΧΡΗΜΑΤΟΟΙΚΟΝΟΜΙΚΑ ΜΑΘΗΜΑΤΙΚΑ 14 ΦΕΒΡΟΥΑΡΙΟΥ 2011
ΕΛΛΗΝΙΚΗ ΔΗΜΟΚΡΑΤΙΑ ΥΠΟΥΡΓΕΙΟ ΟΙΚΟΝΟΜΙΚΩΝ ΕΠΙΤΡΟΠΗ ΑΝΑΛΟΓΙΣΤΙΚΩΝ ΕΞΕΤΑΣΕΩΝ ΕΞΕΤΑΣΤΙΚΗ ΠΕΡΙΟΔΟΣ ΦΕΒΡΟΥΑΡΙΟΥ 2011 ΟΙΚΟΝΟΜΙΚΑ ΚΑΙ ΧΡΗΜΑΤΟΟΙΚΟΝΟΜΙΚΑ ΜΑΘΗΜΑΤΙΚΑ 14 ΦΕΒΡΟΥΑΡΙΟΥ 2011 ΑΠΟΓΕΥΜΑΤΙΝΗ ΕΞΕΤΑΣΗ (12
Διαβάστε περισσότεραCenovnik spiro kanala i opreme - FON Inžinjering D.O.O.
Cenovnik spiro kanala i opreme - *Cenovnik ažuriran 09.02.2018. Spiro kolena: Prečnik - Φ (mm) Spiro kanal ( /m) 90 45 30 Muf/nipli: Cevna obujmica: Brza diht spojnica: Elastična konekcija: /kom: Ø100
Διαβάστε περισσότεραΣΥΝΔΕΣΜΟΣ ΣΙΦΝΑΪΚΩΝ ΜΕΛΕΤΩΝ ΠΡΑΚΤΙΚΑ Β ΔΙΕΘΝΟΥΣ ΣΙΦΝΑΪΚΟΥ ΣΥΜΠΟΣΙΟΥ ΣΙΦΝΟΣ 27-30 ΙΟΥΝΙΟΥ 2002 ΕΙΣ ΜΝΗΜΗΝ ΝΙΚΟΛΑΟΥ ΒΕΡΝΙΚΟΥ - ΕΥΓΕΝΙΔΗ
ΣΥΝΔΕΣΜΟΣ ΣΙΦΝΑΪΚΩΝ ΜΕΛΕΤΩΝ ΠΡΑΚΤΙΚΑ Β ΔΙΕΘΝΟΥΣ ΣΙΦΝΑΪΚΟΥ ΣΥΜΠΟΣΙΟΥ ΣΙΦΝΟΣ 27-30 ΙΟΥΝΙΟΥ 2002 ΕΙΣ ΜΝΗΜΗΝ ΝΙΚΟΛΑΟΥ ΒΕΡΝΙΚΟΥ - ΕΥΓΕΝΙΔΗ ΤΟΜΟΣ Β ΒΥΖΑΝΤΙΟ ΦΡΑΓΚΟΚΡΑΤΙΑ ΤΟΥΡΚΟΚΡΑΤΙΑ ΝΕΟΤΕΡΟΙ ΧΡΟΝΟΙ ΑΘΗΝΑ 2005
Διαβάστε περισσότεραQuantum dot sensitized solar cells with efficiency over 12% based on tetraethyl orthosilicate additive in polysulfide electrolyte
Electronic Supplementary Material (ESI) for Journal of Materials Chemistry A. This journal is The Royal Society of Chemistry 2017 Supplementary Information (SI) Quantum dot sensitized solar cells with
Διαβάστε περισσότεραΑΠΑΝΤΗΣΕΙΣ ΘΕΜΑ Α ΜΑΘΗΜΑ / ΤΑΞΗ : ΧΗΜΕΙΑ ΚΑΤ. /Γ ΛΥΚΕΙΟΥ (ΧΕΙΜΕΡΙΝΑ-ΑΠΟΦΟΙΤΟΙ) ΣΕΙΡΑ: ΗΜΕΡΟΜΗΝΙΑ: 27/01/2013
ΜΑΘΗΜΑ / ΤΑΞΗ : ΧΗΜΕΙΑ ΚΑΤ. /Γ ΛΥΚΕΙΟΥ (ΧΕΙΜΕΡΙΝΑ-ΑΠΟΦΟΙΤΟΙ) ΣΕΙΡΑ: ΗΜΕΡΟΜΗΝΙΑ: 27/01/2013 ΘΕΜΑ Α ΑΠΑΝΤΗΣΕΙΣ Για τις ερωτήσεις Α.1 έως Α.4 να γράψετε το γράμμα που αντιστοιχεί στη σωστή απάντηση δίπλα
Διαβάστε περισσότεραΕΙΣΑΓΩΓΗ ΣΤHN. Δρ. Α. ΤΖΑΝΗ
ΜΕΤΑΠΤΥΧΙΑΚΟ ΠΡΟΓΡΑΜΜΑ ΕΦΑΡΜΟΣΜΕΝΗΣ ΠΕΡΙΒΑΛΛΟΝΤΙΚΗΣ ΓΕΩΛΟΓΙΑΣ ΗΠΙΕΣ ΜΟΡΦΕΣ ΕΝΕΡΓΕΙΑΣ ΔΙΑΛΕΞΗ ΙΙ ΕΙΣΑΓΩΓΗ ΣΤHN ΕΡΕΥΝΑ ΓΕΩΘΕΡΜΙΚΩΝ ΣΥΣΤΗΜΑΤΩΝ ΑΠΟ Δρ. Α. ΤΖΑΝΗ ΕΠΙΚΟΥΡΟ ΚΑΘΗΓΗΤΗ ΓΕΩΦΥΣΙΚΗΣ 1 ΔΙΕΡΕΥΝΗΣΗ ΓΕΩΘΕΡΜΙΚΩΝ
Διαβάστε περισσότερα!"! # $ %"" & ' ( ! " # '' # $ # # " %( *++*
!"! # $ %"" & ' (! " # $% & %) '' # $ # # '# " %( *++* #'' # $,-"*++* )' )'' # $ (./ 0 ( 1'(+* *++* * ) *+',-.- * / 0 1 - *+- '!*/ 2 0 -+3!'-!*&-'-4' "/ 5 2, %0334)%3/533%43.15.%4 %%3 6!" #" $" % & &'"
Διαβάστε περισσότεραΕΘΝΙΚΟ ΜΕΤΣΟΒΙΟ ΠΟΛΥΤΕΧΝΕΙΟ ΔΙΕΠΙΣΤΗΜΟΝΙΚΟ ΔΙΑΤΜΗΜΑΤΙΚΟ ΠΡΟΓΡΑΜΜΑ ΜΕΤΑΠΤΥΧΙΑΚΩΝ ΣΠΟΥΔΩΝ (Δ.Π.Μ.Σ.) «ΠΕΡΙΒΑΛΛΟΝ ΚΑΙ ΑΝΑΠΤΥΞΗ»
ΕΘΝΙΚΟ ΜΕΤΣΟΒΙΟ ΠΟΛΥΤΕΧΝΕΙΟ ΔΙΕΠΙΣΤΗΜΟΝΙΚΟ ΔΙΑΤΜΗΜΑΤΙΚΟ ΠΡΟΓΡΑΜΜΑ ΜΕΤΑΠΤΥΧΙΑΚΩΝ ΣΠΟΥΔΩΝ (Δ.Π.Μ.Σ.) «ΠΕΡΙΒΑΛΛΟΝ ΚΑΙ ΑΝΑΠΤΥΞΗ» ΜΑΘΗΜΑ ΚΟΡΜΟΥ «ΥΔΑΤΙΚΟ ΠΕΡΙΒΑΛΛΟΝ ΚΑΙ ΑΝΑΠΤΥΞΗ» ΥΔΑΤΙΚΑ ΟΙΚΟΣΥΣΤΗΜΑΤΑ Σημειώσεις
Διαβάστε περισσότεραΓενική Χημεία. Νίκος Ξεκουκουλωτάκης Επίκουρος Καθηγητής
Γενική Χημεία Νίκος Ξεκουκουλωτάκης Επίκουρος Καθηγητής Πολυτεχνείο Κρήτης Τμήμα Μηχανικών Περιβάλλοντος Γραφείο Κ2.125, τηλ.: 28210-37772 e-mail:nikosxek@gmail.com Περιεχόμενα Μοριακό βάρος και τυπικό
Διαβάστε περισσότεραΝΟΜΟΣ ΤΗΣ ΠΕΡΙΟ ΙΚΟΤΗΤΑΣ : Οι ιδιότητες των χηµικών στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού.
1. Ο ΠΕΡΙΟ ΙΚΟΣ ΠΙΝΑΚΑΣ Οι άνθρωποι από την φύση τους θέλουν να πετυχαίνουν σπουδαία αποτελέσµατα καταναλώνοντας το λιγότερο δυνατό κόπο και χρόνο. Για το σκοπό αυτό προσπαθούν να οµαδοποιούν τα πράγµατα
Διαβάστε περισσότεραNi hamzah inayotamkwa katika neno na haitamkwi (hutoweka) wakati wa kuunganisha na neno la nyuma yake.
### ôô ÍÍÍ 444 nn ííí nn ß ôô ppøø ÈÈÈ èè knganiha: Hamzal-Wawl Hamza a هم ز ة ال و ص ل Ni hamzah inaoamkwa kaika neno na haiamkwi howeka) wakai wa knganiha na neno la nma ake. Inaiwa Wawl kwa abab inapelekea
Διαβάστε περισσότεραΕΠΙΣΤΗΜΗ ΤΩΝ ΥΛΙΚΩΝ Ενότητα:
ΕΠΙΣΤΗΜΗ ΤΩΝ ΥΛΙΚΩΝ Ενότητα: ΦΡΟΝΤΙΣΤΗΡΙΟ Επιμέλεια: ΧΑΡΑΛΑΜΠΟΣ ΔΡΙΒΑΣ Τμήμα: ΧΗΜΙΚΩΝ ΜΗΧΑΝΙΚΩΝ ΠΑΤΡΑΣ 1 η ΣΕΙΡΑ ΑΣΚΗΣΕΩΝ 1. Τι τάξη μεγέθους είναι οι ενδοατομικές αποστάσεις και ποιες υποδιαιρέσεις του
Διαβάστε περισσότεραΠΑΡΑΡΤΗΜΑ V. Πρότυπα δυναμικά αναγωγής ( ) ΠΡΟΤΥΠΑ ΔΥΝΑΜΙΚΑ ΑΝΑΓΩΓΗΣ ΣΤΟΥΣ 25 o C. Ημιαντιδράσεις αναγωγής , V. Antimony. Bromine. Arsenic.
ΠΑΡΑΡΤΗΜΑ V. ΠΡΟΤΥΠΑ ΔΥΝΑΜΙΚΑ ΑΝΑΓΩΓΗΣ ΣΤΟΥΣ 5 o C ΠΑΡΑΡΤΗΜΑ V. Πρότυπα δυναμικά αναγωγής ΠΡΟΤΥΠΑ ΔΥΝΑΜΙΚΑ ΑΝΑΓΩΓΗΣ ΣΤΟΥΣ 5 o C, V, V Auminum Bervium A ( H ) e A H. 0 Be e Be H. 1 ( ) [ ] e A F. 09 AF
Διαβάστε περισσότεραΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΟ ΕΚΠΑΙΔΕΥΤΙΚΟ ΙΔΡΥΜΑ ΚΑΒΑΛΑΣ ΣΧΟΛΗ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΩΝ ΕΦΑΡΜΟΓΩΝ ΤΜΗΜΑ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΑΣ ΠΕΤΡΕΛΑΙΟΥ & Φ.ΑΕΡΙΟΥ ΠΤΥΧΙΑΚΗ ΕΡΓΑΣΙΑ
ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΟ ΕΚΠΑΙΔΕΥΤΙΚΟ ΙΔΡΥΜΑ ΚΑΒΑΛΑΣ ΣΧΟΛΗ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΩΝ ΕΦΑΡΜΟΓΩΝ ΤΜΗΜΑ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΑΣ ΠΕΤΡΕΛΑΙΟΥ & Φ.ΑΕΡΙΟΥ ΠΤΥΧΙΑΚΗ ΕΡΓΑΣΙΑ ΘΕΜΑ; ΠΕΡΙΒΑΛΛΟΝΤΙΚΕΣ ΕΦΑΡΜΟΓΕΣ ΤΩΝ ΓΕΩΦΥΣΙΚΩΝ ΚΑΤΑΓΡΑΦΩΝ ΣΕ ΥΔΡΟΓΕΩΤΡΗΣΕΙΣ
Διαβάστε περισσότεραpanagiotisathanasopoulos.gr
. Παναγιώτης Αθανασόπουλος Χηµικός ιδάκτωρ Παν. Πατρών. Οξειδοαναγωγή Παναγιώτης Αθανασόπουλος Χημικός, Διδάκτωρ Πανεπιστημίου Πατρών 95 Χηµικός ιδάκτωρ Παν. Πατρών 96 Χηµικός ιδάκτωρ Παν. Πατρών. Τι ονοµάζεται
Διαβάστε περισσότεραΤΕΧΝΙΚΗ ΠΕΡΙΓΡΑΦΗ TD 81/2 ΥΠΑΙΘΡΙΟΙ ΜΟΝΩΤΗΡΕΣ ΣΤΗΡΙΞΗΣ 400KV, ΚΥΛΙΝΔΡΙΚΟΙ ΣΥΜΠΑΓΟΥΣ ΠΥΡΗΝΟΣ ΜΕ ΕΞΩΤΕΡΙΚΑ ΜΕΤΑΛΛΙΚΑ ΕΞΑΡΤΗΜΑΤΑ ΕΦΑΡΜΟΓΗΣ
ΑΝΕΞΑΡΤΗΤΟΣ ΔΙΑΧΕΙΡΙΣΤΗΣ ΜΕΤΑΦΟΡΑΣ ΗΛΕΚΤΡΙΚΗΣ ΕΝΕΡΓΕΙΑΣ Α.Ε. ΔΝΕΜ/ ΤΟΜΕΑΣ ΠΡΟΔΙΑΓΡΑΦΩΝ & ΕΞΟΠΛΙΣΜΟΥ Υ/Σ - ΚΥΤ ΟΚΤΩΒΡΙΟΣ 2009 ΤΕΧΝΙΚΗ ΠΕΡΙΓΡΑΦΗ TD 81/2 ΥΠΑΙΘΡΙΟΙ ΜΟΝΩΤΗΡΕΣ ΣΤΗΡΙΞΗΣ 400KV, ΚΥΛΙΝΔΡΙΚΟΙ ΣΥΜΠΑΓΟΥΣ
Διαβάστε περισσότεραΜΑΘΗΜΑ / ΤΑΞΗ : ΧΗΜΕΙΑ - ΒΙΟΧΗΜΕΙΑ/Γ ΛΥΚΕΙΟΥ ΣΕΙΡΑ: ΘΕΡΙΝΑ ΗΜΕΡΟΜΗΝΙΑ: 26/01/2014
ΜΑΘΗΜΑ / ΤΑΞΗ : ΧΗΜΕΙΑ - ΒΙΟΧΗΜΕΙΑ/Γ ΛΥΚΕΙΟΥ ΣΕΙΡΑ: ΘΕΡΙΝΑ ΗΜΕΡΟΜΗΝΙΑ: 26/01/2014 ΑΠΑΝΤΗΣΕΙΣ ΘΕΜΑ Α Για τις ερωτήσεις Α.1 έως Α.3 να γράψετε το γράμμα που αντιστοιχεί στη σωστή απάντηση δίπλα στον αριθμό
Διαβάστε περισσότεραΓΕΩΧΗΜΕΙΑ Δ ΕΞΑΜΗΝΟ ΕΙΣΑΓΩΓΗ- ΠΕΡΙΕΧΟΜΕΝΑ ΜΑΘΗΜΑΤΟΣ. Χριστίνα Στουραϊτη
1 ΓΕΩΧΗΜΕΙΑ Δ ΕΞΑΜΗΝΟ ΕΙΣΑΓΩΓΗ- ΠΕΡΙΕΧΟΜΕΝΑ ΜΑΘΗΜΑΤΟΣ Χριστίνα Στουραϊτη ΠΡΟΓΡΑΜΜΑ ΜΑΘΗΜΑΤΩΝ ΓΕΩΧΗΜΕΙΑΣ Δ ΕΞΑΜΗΝΟ ΑΚΑΔΗΜΑΪΚΟ ΕΤΟΣ 2018-2019 ΕΒΔΟΜΑΔΑ ΠΕΡΙΕΧΟΜΕΝΟ ΔΙΔΑΣΚΟΥΣΑ 1 η 2 η Εισαγωγή- Επεξηγήσεις,
Διαβάστε περισσότεραDijagrami: Greda i konzola. Prosta greda. II. Dijagrami unutarnjih sila. 2. Popre nih sila TZ 3. Momenata savijanja My. 1. Uzdužnih sila N. 11.
Dijagrami:. Udužnih sia N Greda i konoa. Popre nih sia TZ 3. Momenata savijanja My. dio Prosta greda. Optere ena koncentriranom siom F I. Reaktivne sie:. M A = 0 R B F a = 0. M B = 0 R A F b = 0 3. F =
Διαβάστε περισσότεραΑναπληρωτής Καθηγητής Τμήμα Συντήρησης Αρχαιοτήτων και Έργων Τέχνης Πανεπιστήμιο Δυτικής Αττικής - ΣΑΕΤ
Γενική και Ανόργανη Χημεία Περιοδικές ιδιότητες των στοιχείων. Σχηματισμός ιόντων. Στ. Μπογιατζής 1 Αναπληρωτής Καθηγητής Τμήμα Συντήρησης Αρχαιοτήτων και Έργων Τέχνης Π Δ Χειμερινό εξάμηνο 2018-2019 Π
Διαβάστε περισσότεραSi + Al Mg Fe + Mn +Ni Ca rim Ca p.f.u
.6.5. y = -.4x +.8 R =.9574 y = - x +.14 R =.9788 y = -.4 x +.7 R =.9896 Si + Al Fe + Mn +Ni y =.55 x.36 R =.9988.149.148.147.146.145..88 core rim.144 4 =.6 ±.6 4 =.6 ±.18.84.88 p.f.u..86.76 y = -3.9 x
Διαβάστε περισσότεραNegocios Carta. Carta - Dirección
- Dirección Mr. J. Rhodes Rhodes & Rhodes Corp. 212 Silverback Drive California Springs CA 92926 Mr. J. Rhodes Rhodes & Rhodes Corp. 212 Silverback Drive California Springs CA 92926 Formato de dirección
Διαβάστε περισσότεραΠΕΡΙΟΔΙΚΟ ΣΥΣΤΗΜΑ ΤΩΝ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ (1) Ηλία Σκαλτσά ΠΕ ο Γυμνάσιο Αγ. Παρασκευής
ΠΕΡΙΟΔΙΚΟ ΣΥΣΤΗΜΑ ΤΩΝ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ (1) Ηλία Σκαλτσά ΠΕ04.01 5 ο Γυμνάσιο Αγ. Παρασκευής Όπως συμβαίνει στη φύση έτσι και ο άνθρωπος θέλει να πετυχαίνει σπουδαία αποτελέσματα καταναλώνοντας το λιγότερο δυνατό
Διαβάστε περισσότεραΑριθμός 4520 Παρασκευή, 13 ίουλίου 2012
Αριθμός 4520 Παρασκευή, 13 ίουλίου 2012 Αριθμός 1672 ΠΡΟΚΗΡΥΞΗ ΔΙΑΓΩΝΙΣΜΟΥ - ΚΑΤΩ ΑΠΟ ΤΑ ΟΡΙΑ ΔΗΜΟΣΙΕΥΣΗΣ ΕΡΓΑ 1.1) ΕΠΩΝΥΜΙΑ, ΔΙΕΥΘΥΝΣΕΙΣ ΚΑΙ ΣΗΜΕίΟ(Α) ΕΠΑΦΗΣ: Κοινοτικό Συμβούλιο Αχερίτου, Εμπορικό Κέντρο
Διαβάστε περισσότερα( ) 1995.» 3 ( ). 10 ( ). 1975 1980 ( ) 1986, ( ) (1) 3,, ( ),,,,».,,,
1983 1995 23/83 51/83 39/84 79/86 94/86 135/88 51/89 138/91 67( ) / 92 100( ) / 92 2( ) / 93 70(1)/99 109(1)/99 119(1)/99 16(1)/01 20(1)/01 150(1)/02 102 ( ) /95 33/64 35/75 72/77 59/81.. 79/86... 2/86
Διαβάστε περισσότερα