Hadiyth Ya 11 Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na Kitu; Ya Juu Ni Tawhiyd, Na Ya Chini Kabisa Ni Kuondosha Taka Njiani

Σχετικά έγγραφα
Hadiyth Ya 1 Allaah Hatazami Miili Wala Sura, Bali Anatazama Nyoyoni

Hadiyth Ya 61 Dunia Ni Kama Kivuli Anachokitumia Msafiri Kwa Muda Tu

Hadiyth Ya 71 Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema )) :

Hadiyth Ya 131 Allaah Ameridhia Kuabudiwa, Kutokumshirikisha, Kuungana Na Anachukia Uvumi, Udadisi Na Kupoteza Mali ( )

Ummu Iyyaad Imepitiwa Na: Abu Abdillaah Muhammad Baawazir

Hadiyth Ya 111 Wanaume Na Wanawake Wasio Maharimu Wasitazamane Uchi Wala Wasilale Pamoja

Ni kusimama katika neno lakini hata ukiunganisha yanayofuatia haiharibu maana. Ni lazima kusimama kwani kuunganisha na yanayofuatia kutaharibu maana.

Kuondoa Utata Uliyomo katika Tafauti ya Muandamo

AHLUL ~ KISAA. Mkusanyiko wa sifa na tarehe za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), Imamu Ali, Bibi Fatimah, Imamu Hassan na Imamu Hussein

IMAM MAHDI (A.S.) NI TUMAINI LA MATAIFA

Idghaam haiwezekani ikawa katika neno moja bali ni lazima nuwn saakinah au tanwiyn iweko mwisho wa neno la kwanza, na herufi inayoingizwa hiyo

05- Fadhila Za Umrah Na Hajj

IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU

MATESO YA DHURIA YA MTUME

MUONGOZO RAHISI WA RAIA KUHUSU UCHAGUZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014

Yaliyomo. ~ Ukurasa 3 ~


Kiswahili TE(C2).indd i 5/30/14 8:14 PM

i Kiswahili (TE) Class 1.indd i 5/30/14 8:07 PM

SURA YA 95 SHERIA YA MADAWA NA UZUIAJI WA USAFIRISHAJI WA MADAWA HARAMU SHERIA KUU MPANGILIO WA VIFUNGU SEHEMU YA 1 MASHARTI YA MWANZO


Mafundisho Ya Madhehebu

25-Faharasa. Matamshi. Tamshi moja ni lafdhw. Iliyo na nguvu kabisa, inayodhaniwa kuwa sahihi kabisa, rai inayokubalika kabisa.

Rulings on Fasting during Hajj

Mradi wa Misitu ya Jamii MJUMITA (Lindi) Wilaya ya Lindi Vijijini na Manispaa ya Lindi, Mkoa wa Lindi, Tanzania

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

KILIMO CHA ZAO LA VANILLA

Critique of Humanism


( ). : : :.. : :. : : : : """ " " "... : "" ( ) ( ) [ :] %[n%s3ïρ tβθã_ötƒ Ÿω ÉL 9$# Ï!$ ÏiΨ9$# z ÏΒ ß Ïã uθs)ø9$#uρ : ßìsùötƒ øœî)uρ :. š ÏiΒ ΟßγuΖ u


ΛΕΞΙΚΟΝ ΕΛΛΗΝΟ-ΣΟΥΑΧΙΛΙ

Z L L L N b d g 5 * " # $ % $ ' $ % % % ) * + *, - %. / / + 3 / / / / + * 4 / / 1 " 5 % / 6, 7 # * $ 8 2. / / % 1 9 ; < ; = ; ; >? 8 3 " #

Ni hamzah inayotamkwa katika neno na haitamkwi (hutoweka) wakati wa kuunganisha na neno la nyuma yake.

W א א א א א א.


rs r r â t át r st tíst Ó P ã t r r r â

The extent of Islamic Education basic stage Textbooks to ensure the developmental listening skills for the activities of Holly Quran

ΑΠΑΝΤΗΣΕΙΣ ΑΛΓΕΒΡΑΣ Α ΛΥΚΕΙΟΥ

() ( ) - - ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( )

P P Ó P. r r t r r r s 1. r r ó t t ó rr r rr r rí st s t s. Pr s t P r s rr. r t r s s s é 3 ñ

2?nom. Bacc. 2 nom. acc. S <u. >nom. 7acc. acc >nom < <

Q π (/) ^ ^ ^ Η φ. <f) c>o. ^ ο. ö ê ω Q. Ο. o 'c. _o _) o U 03. ,,, ω ^ ^ -g'^ ο 0) f ο. Ε. ιη ο Φ. ο 0) κ. ο 03.,Ο. g 2< οο"" ο φ.

Alterazioni del sistema cardiovascolare nel volo spaziale

Ανώτερα Μαθηματικά ΙI

Š Šˆ ATLAS: ˆ ˆŸ ˆ Šˆ, Œ ˆ Œ ˆ.. ƒê ±μ,. ƒ ² Ï ², ƒ.. Š ± ²,. Œ. Ò,.. ŒÖ²±μ ±,.. Ï Ìμ μ,.. Ê ±μ Î,.. ±μ,. Œ. μ

ss rt çã r s t Pr r Pós r çã ê t çã st t t ê s 1 t s r s r s r s r q s t r r t çã r str ê t çã r t r r r t r s

Å/ ÅÃ... YD/ kod

: :

Déformation et quantification par groupoïde des variétés toriques

P Œ ²μ, Œ.. ƒê Éμ,. ƒ. ²μ,.. μ. ˆ ˆŸ Œˆ ˆŸ ˆ Š Œ ˆŸ Ÿ - ˆ ˆ ŠˆŒˆ Œ Œˆ ˆ œ ˆ Œ ˆ ŒˆŠ Œ -25

KEWAJIBAN AMAR MA'RUF & NAHI MUNKAR. Dan hendaklah ada di antara kamu segolongan umat yang menyeru kepada

Ÿωuρ $pκš r' tƒ. < ø Ρ. ÏiΒ

ﺷﺮ ﻢﻠﺴﻟﻤ ﻦﺼﺣ ﺔﻨﺴﻟ ﺎﺘﻜﻟ ﻛﺎ ﻦﻣ א! א א ﻢﻠﺴﻟﻤ ﻦﺼ ﺣ ﻒﻟﺆﻣ ﻪﻴﻠﻋ ﻖﻠﻋ ﻪﺤﺤﺻ

Š ˆ ˆ ˆ Š ˆ ˆ Œ.. μ É Ó

Im{z} 3π 4 π 4. Re{z}


Solutions - Chapter 4

P Î,.. Š ²³Ò±μ, Œ.. Œ ϱ,.. ʳ ˆ ˆ ˆ ˆŸ ˆŠ Š Š ˆ Ÿ -200

... 5 A.. RS-232C ( ) RS-232C ( ) RS-232C-LK & RS-232C-MK RS-232C-JK & RS-232C-KK

Forêts aléatoires : aspects théoriques, sélection de variables et applications

ΥΠΗΡΕΣΙΕΣ ΠΡΟΣΩΠΙΚΟΥ ΔΙΑΧΕΙΡΙΣΗ ΑΠΟΔΟΣΗΣ ΚΑΙ ΣΤΕΛΕΧΩΣΗ

Θεωρία Συνόλων. Ενότητα: Τα πάντα σύνολα; Γιάννης Μοσχοβάκης. Τμήμα Μαθηματικών

ˆ ˆŠ Œ ˆ ˆ Œ ƒ Ÿ Ä664

HONDA. Έτος κατασκευής

Editorís Talk. Advisor. Editorial team. Thank

Θεωρία Συνόλων. Ενότητα: Διατακτικοί αριθμοί. Γιάννης Μοσχοβάκης. Τμήμα Μαθηματικών

( ) א : ( ) : - " : - : ( ). " " : " :..".." " : ( ).. :. : : : ( ) (/ ) () - -.( / ).() ( ) ( ).( / ) ( ).( - ) ( )

r r t r r t t r t P s r t r P s r s r r rs tr t r r t s ss r P s s t r t t tr r r t t r t r r t t s r t rr t Ü rs t 3 r r r 3 rträ 3 röÿ r t

Ó³ Ÿ , º 3(180).. 313Ä320

Œ.. ² μ,.. Œ ²μ, ƒ.. μ ±μ,. Ô Ô ², Œ.. ƒê Éμ, Œ.. Œ ² μ *

ˆŒ œ ƒ ƒ ˆ ˆŸ ˆ Š ˆ 137 Cs Š ˆ Œ.

P Ò±,. Ï ± ˆ ˆŒˆ Š ƒ ˆŸ. Œ ƒ Œ ˆˆ γ-š Œˆ ƒ ƒˆ 23 ŒÔ. ² μ Ê ². Í μ ²Ó Ò Í É Ö ÒÌ ² μ, É μí±, μ²óï

(#θèù ρr& 4 n< ρr& $ ÏΨ xî

Ó³ Ÿ , º 3(187).. 431Ä438. Š. ˆ. ±μ,.. ŒÖ²±μ ±,.. Ï Ìμ μ,.. μ² ±μ. Ñ Ò É ÉÊÉ Ö ÒÌ ² μ, Ê

ΔΗΜΟΤΙΚΕΣ ΕΚΛΟΓΕΣ 18/5/2014 ΑΚΥΡΑ

Estimation of grain boundary segregation enthalpy and its role in stable nanocrystalline alloy design

P μ,. Œμ α 1,. ²μ ± 1,.. ϱ Î, Ÿ. Ê Í± 2 Œˆ ˆ Œ Š Ÿ Š Ÿ ˆ ˆŒ ˆˆ. ² μ Ê ² μ Ò É Ì ± Ô± ³ É

MENTAL TROPES IN THE HOLY QUR`AN NAZEER HUSSEIN EMRITTE. submitted in accordance with the requirements for the degree of

Microscopie photothermique et endommagement laser

Θεωρία Συνόλων. Ενότητα: Επιλογής επόμενα. Γιάννης Μοσχοβάκης. Τμήμα Μαθηματικών

Ανώτερα Μαθηματικά ΙI

r t t r t t à ré ér t é r t st é é t r s s2stè s t rs ts t s

Š ˆ ˆ Šˆ Šˆ ˆ Šˆ ˆ Š ˆˆ ˆ Ÿ Œ ƒ ˆ œ Šˆ ˆ ˆ Š Œ 1 n 1,6

Ó³ Ÿ , º 2(131).. 105Ä ƒ. ± Ï,.. ÊÉ ±μ,.. Šμ ² ±μ,.. Œ Ì ²μ. Ñ Ò É ÉÊÉ Ö ÒÌ ² μ, Ê

ŒˆŠ Š ˆ Š ˆ ˆ ˆ œ ƒ ƒˆƒ Š ƒ.. ˆÏÌ μ,.. ²

Radio détection des rayons cosmiques d ultra-haute énergie : mise en oeuvre et analyse des données d un réseau de stations autonomes.

Transformations d Arbres XML avec des Modèles Probabilistes pour l Annotation


Parts Manual. Trio Mobile Surgery Platform. Model 1033

Μαθηματικά ΙΙΙ. Ανοικτά Ακαδημαϊκά Μαθήματα. Ενότητα 4: Διανυσματικές Συναρτήσεις μιας Μεταβλητής. Αθανάσιος Μπράτσος

ACI sécurité informatique KAA (Key Authentification Ambient)

Ó³ Ÿ , º 7(156).. 62Ä69. Š Œ œ ƒˆˆ ˆ ˆŠ. .. ŠÊ²Ö μ 1,. ƒ. ²ÓÖ μ 2. μ ± Ê É É Ê Ò μ μ, Œμ ±

2 SFI

<<< ššš. ÎÎÎ Îh hh ( ) ZZZ. ööö

Μαθηματικά ΙΙΙ. Ανοικτά Ακαδημαϊκά Μαθήματα. Ενότητα 6: Επικαμπύλια Ολοκληρώματα. Αθανάσιος Μπράτσος. Τμήμα Μηχανικών Ενεργειακής Τεχνολογίας ΤΕ

: :

Robust Segmentation of Focal Lesions on Multi-Sequence MRI in Multiple Sclerosis

Œ ˆ ˆŸ ˆ Š ˆ ƒ Š Œ Š Š

UDC. An Integral Equation Problem With Shift of Several Complex Variables 厦门大学博硕士论文摘要库

Transcript:

4 4 Hadiyth Ya 11 Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na Kitu; Ya Juu Ni Tawhiyd, Na Ya Chini Kabisa Ni Kuondosha Taka Njiani )) :( ) : ( ),,, )) ((. (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) amesema: Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Iymaan ni sabiini na kitu 1 )) au alisema ((Tanzu sitiini na kitu. Ilio bora kabisa ni kauli ya Laa ilaaha illa- Allaah, na ya chini kabisa ni kuondosha taka njiani. Na kuona hayaa ni utanzu katika tanzu za Iymaan). 2 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Waumini wanatofautiana katika daraja za Iymaan zao. 2. Umuhimu na fadhila ya tawhiyd (kumpwekesha Allaah ) ambayo ni asili ya Iymaan [Al-An aam 6: 102, Al-Baqarah 2: 163, Twaahaa 20: 14, Al-Qaswas 28: 88, Ghaafir 41: 65]. â/õ3çtø:$# ã&s! çµyγô_uρ ωî) î7ï9$yδ > ó x«ä. uθèδ ωî) tµ s9î) Iω t yz#u $ γ s9î) «!$# yìtβ äíô s? Ÿωuρ tβθãèy_ö è? ϵø s9î)uρ ((Wala usiombe pamoja na Allaah mungu mwengine, hapana ilaah [mungu apasaye kuabudiwa kwa haki] isipokuwa Yeye [Pekee], kila kitu kitaangamia ila Wajihi Wake [Yeye Allaah], hukmu [ya mambo yote] iko Kwake, na Kwake mtarejezwa [nyote])). 3 3. Iymaan na vitendo vinakwenda sambamba, ni vitu viwili ambavyo haviwezi kutengana. 1 "Bidhw " ni idadi baina ya tatu na tisa. 2 Al-Bukhaariy na Muslim. 3 Al-Qaswasw (28: 88).

4. Kuona hayaa ni katika Sifa za Waumini. Haya inahusiana na tabia njema kwa sababu inamzuia mtu kutenda maasi yote na inamweka kwenye hali ya utiifu wakati wote. [Rejea Hadiyth namba 69]. 5. Kuwa na hayaa ni dalili ya ukweli wa Iymaan ya Muislamu. 6. Asidharau Muumin kutenda jambo jema lolote hata dogo mno vipi kama kuondosha taka njiani. [Al-Ambiyaa 21: 47, Al-Zalzalah 99: 7]. 7. Kukosekana haya ni kukosekana Iymaan, hivyo kunamfanya mja afanye lolote atakalo. Imepokewa kwa Abu Mas uwd Uqbah bin Amr al-answaar al-badriy ( ) amesema: Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Hakika katika maneno yaliyopatikana na watu kutokana na Mitume ni: Usipokuwa na hayaa, basi fanya utakalo)). 4 4 Al-Bukhaariy.

Hadiyth Ya 12 Kufanya Ibaadah Kwa Wastani Ili Kuweza Kuidumisha )) : ( ) ( ). : (( ((,, )) : Imepokelewa kutoka kwa Aaishah ( ) kwamba Mtume ( ) aliingia kwake akamkuta mwanamke mmoja. Akauliza: ((Nani huyu?)) Akasema: Huyu ni fulani. Na akamuelezea kuhusu wingi wa Swalaah zake. Akasema: ((Acha! fanyeni yale muwezayo! Kwani Wa- Allaahi, Allaah Hachoki [kulipa thawabu] mpaka mchoke wenyewe. Na Ibaadah Aipendayo zaidi ni ile inayodumishwa na mtendaji)). 5 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Uislamu haupendekezi wingi wa Ibaadah wa kupita kiasi kwa khofu ya kuchoshwa nayo mtu akaiachilia mbali au kujikalifisha nayo. [Twaahaa 20: 1-2] # s+ô±tfï9 tβ#u ö à)ø9$# y7ø n=tã $uζø9t Ρr&!$tΒ µû ((Twaahaa)) ((Hatujakuteremshia Qur-aan ili upate mashaka)) 6 2. Ikiwa Allaah ( ) Hamkalifishi mtu, vipi mtu ajikalifishe nafsi yake? ((Allaah Haikalifishi nafsi ila kwa wasaa [kadiri] iwezavyo)) 7 ((Nafsi isijikalifishe ila kwa wasaa wake))]. 8 3. Inapendekezwa kufanya wastani katika kufanya Ibaadah ili mtu aweze kutimiza haki ya kila kitu. [Hadiyth: ((Na hakika Mola wako Ana haki juu yako, na hakika mwili wako una haki juu yako, na hakika ahli wako ana haki juu yako basi kipe kila kitu haki yake )). 9 5 Al-Bukhaariy na Muslim. 6 Twaahaa (20: 1-2). 7 Al-Baqarah (2: 286). 8 Al-Baqarah (2: 233). 9 Al-Bukhaariy na Muslim.

4. Amali yenye thawabu zaidi ni ile inayodumishwa japokuwa ni kidogo. 5. Kufanya Ibaadah kwa wastani kunapelekea zaidi kwenye utiifu wa Ibaadah, umakini, ikhlaasw na kukubaliwa na Allaah ( ). 6. Kidogo kinachoendelea kinazidi kingi kinachokatika. 7. Kuagiziwa hivyo ni kuwa Ibaadah ni nyingi na uwezo wa mja una mipaka. Kwa hiyo, mja ajiweke katika mipaka hiyo ambayo itamuwezesha yeye kufanya mengi.

Hadiyth Ya 13 Atakayepitiwa Na Usingizi Bila Ya Kusoma Nyiradi Zake Alipize Kabla Ya Adhuhuri )) :( ) : ( ) (( Imepokelewa kutoka kwa Umar bin Al-Khattwaab ( ) amesema: Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Atakayelala na kupitiwa na hizbu yake [nyiradi zake] au chochote kutoka humo kisha akaisoma baina ya Swalaah ya Alfajiri na Swalaah ya Adhuhuri, ataandikiwa kama kwamba ameisoma usiku)). 10 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Umuhimu wa Muislamu kuhifadhi na kuendeleza nyiradi zake kila siku. 2. Anayepitwa na nyiradi zake, akimbilie kuzisoma nyakati zilotajwa katika Hadiyth ili apate fadhila zake kamilifu [Al-Furqaan 25: 62]. #Y θà6ä yš#u r& ρr& t 2 tƒ βr& yš#u r& ô yϑïj9 Zπx ù=åz u $yγ Ψ9$#uρ Ÿ øš 9$# Ÿ yèy_ Ï%!$# uθèδuρ ((Naye Ndiye Aliyefanya usiku na mchana ufuatane kwa [nafuu ya yule] anayetaka kukumbuka au anayetaka kushukuru [akatanabahi kwa kuja na kuondoka hiyo michana na usiku])). 11 3. Rahma ya Allaah ( ) kwa waja Wake kuwalipa thawabu wakati wanaposhindwa kupata wasaa au wanapokalifika na jambo kama ugonjwa n.k. [Al-Baqarah 2: 286] [Hadiyth: Imepokelewa kutoka kwa Anas ( ) kwamba Mtume ( ) amesema: ((Allaah Akimjaribu mja Muislamu kwa kumpa mtihani katika mwili wake, Humwambia Malaika: Mwandikie amali zake njema alizokuwa akizitenda. Akimpa 10 Muslim. 11 Al-Furqaan (26: 62).

shifaa [Akimponyesha] Humwosha na kumtoharisha, na Akichukua roho yake, Humghufuria na Akamrehemu)). 12 4. Asiitegemee mtu Hadiyth hii kwa kutokujihimiza kuamka usiku kufanya Ibaadah, bali ajitahidi kila njia kujiwezesha kuamka kupata fadhila za Tahajjud pia (Kuamka usiku kwa ajili ya kuswali). [As-Sajdah 32: 16-17, Al-Israa 17: 79, Adh-Dhaariyaat 51: 15-18, Al- Muzzammil 73: 2-8]. 5. Kuna fadhila tukufu za nyiradi na amali za usiku, hivyo inatakiwa mja ajipinde katika kuzitekeleza. 6. Kuchuma fadhila za nyakati baina ya Alfajiri na Adhuhuri kwa kuleta nyiradi alizokosa mja yeyote yule. 12 Ahmad katika Musnad na amesema Al-Albaaniy: Hasan Swahiyh.

Hadiyth Ya 14 Kuzishikilia Sunnah Kwa Magego Ili Kubakia Imara Na Kujiepusha Na Ikhtilaaf ( ) : ( ). :., )) :,, (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Najiyh Al- Irbaadhw bin Saariyah ) ( amesema: Mtume wa Allaah ( ) alitupa mawaidha mazito (yenye maana kubwa), nyoyo zikaogopa na macho yakabubujikwa machozi. Tukasema: Ee Mjumbe wa Allaah! Yanaonekana kama kwamba mawaidha ya kutuaga, basi tuusie. Akasema: ((Nakuusieni kuwa na taqwa ya Allaah na kusikiliza na kutii japokuwa mtaongozwa na mtumwa Mhabashi. Hakika atakayeishi umri mrefu miongoni mwenu ataona ikhtilaaf nyingi. Kwa hiyo, shikamaneni na mwenendo wangu na mwenendo wa Makhalifa waongofu, yashikilieni kwa magego [mambo yao]. Na tahadharini na mambo yenye kuzushwa, kwani kila uzushi ni upotovu)). 13 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Wajibu wa kumcha Allaah ( ) kwa kufuata maamrisho na makatazo Yake. [Al-Anfaal 8: 46, Al-Ahzaab 33: 70, At-Tawbah 9: 119, An-Nuwr 24: 54, Muhammad 47: 33]. Na jambo hilo limepatiwa kipaumbele kwa kutajwa mwanzo kwa kuwa umuhimu wake ni mkubwa sana. 2. Wajibu wa kumtii kiongozi anayeongoza kwa kufuata Shari ah japokuwa ni mtu anayeonekana kuwa duni mbele yenu, na inapotokea ikhtilaaf, arudie mtu katika Qur-aan na Sunnah. 13 Abu Daawuwd, At-Tirmidhiy, na amesema: Hadiyth Hasan Swahiyh.

( 4 Îû Λä ôãt uζs? βî*sù óοä3ζïβ Í ö F{$# Í<'ρé&uρ tαθß 9$# (#θãè ÏÛr&uρ!$# (#θãè ÏÛr& (#þθãψtβ#u t Ï%!$# $pκš r' tƒ ß ômr&uρ ö yz y7ï9 sœ Ì ÅzFψ$# ÏΘöθu ø9$#uρ «!$Î/ tβθãζïβ σè? Λä Ψä. βî) ÉΑθß 9$#uρ «!$# n<î) çνρ Šã sù & ó x«ξƒíρù's? ((Enyi mlioamini! Mtiini Allaah na mtiini Mtume na wenye mamlaka juu yenu, walio katika nyie [Waislamu wenzenu]. Na kama mkikhitilafiana juu ya jambo lolote, basi lirudisheni kwa Allaah na Mtume, ikiwa mnamwamini Allaah na Siku ya mwisho. Hiyo ndio kheri, nayo ina matokeo bora kabisa)). 14 3. Hadiyth hii ni miongoni mwa miujiza ya Mtume ( ) kubashiria yatakayotokea, kwani zimeshadhihirika ikhtilaaf nyingi baina ya Waislamu. 4. Kufuata amri za Mtume ( ) ni dalili ya mapenzi ya Allaah ( ) na tahadharisho la kumkhalifu [Aal- Imraan 3: 31, An-Nuwr 24: 63]. 5. Umuhimu wa kufuata Sunnah za Mtume ( ) na kuzishikilia bila ya kutoka nje ya mipaka na njia iliyonyooka ikapeleka kufarikiana Waislamu na kujitokeza makundi makundi. [Al-An aam 6: 153]. 6. Kufuata Sunnah za Makhalifa Waongofu na kuamini kauli ya Mtume ( ) kuhusu Sunnah zao khaswa pale inapokuwa ni jambo walilolitenda wao bila ya kutendwa na Mtume ( ). 7. Kujiepusha kabisa na Bid ah (Uzushi), kwani hatari yake ni upotofu na motoni. [Hadiyth: ((Na kila upotofu unapeleka motoni)). 15 8. Vitendo vya bid ah havina thamani wala havitapokelewa. [Rejea Hadiyth namba 15]. 14 An-Nisaa (4: 59). 15 Muslim.

9. Kuonyesha usawa ulioletwa na Uislamu baina ya waja bila kujali tofauti ya ukoo, kabila, utaifa na mwengineo. Ndio tukaamrishwa kumfuata kiongozi mchaji Allaah hata kama ni mtumwa. 10. Utiifu kwa Amiri ni wajibu, maadamu hajakuamrisha jambo la kumuasi Allaah ( ) na Mtume Wake ( ). 11. Fadhila za Maswahaba wa Mtume ( ) waliopata hadhi ya kuwa Makhalifa baada ya Mtume ( ).

( 4 Hadiyth Ya 15 Kitendo Cha Bid ah Hakipokelewi )) : ) : ( ) (( Imepokelewa kutoka kwa Aaishah ( ) amesema: Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Mwenye kuzua katika hili jambo [Dini] letu lisilokuwemo humo, litakataliwa)). 16 Mafunzo Na Hidaaya 1. Hadiyth hii ni asili ya Dini na nguzo kati ya nguzo kama alivyosema Imaam An-Nawawiy ( ). Hivyo basi, kuna umuhimu mkubwa wa kumtii Mtume ( ), kwani hivyo ni kumtii Allaah ( ). [An-Nisaa 4: 80]. 2. Dini ya Kiislamu ni Dini ya kufuata maamrisho na si ya kuongeza mambo na kuzusha. [Al-Hashr 59: 7]. É>$s)Ïèø9$# ß ƒï x!$# βî)!$# (#θà)?$#uρ (#θßγtfρ$sù çµ Ψtã öνä39pκtξ $tβuρ çνρä ã sù ãαθß 9$# ãνä39s?#u!$tβuρ ((Na anachokupeni Mtume basi pokeeni, na anachokukatazeni jiepusheni nacho. Na mcheni Allaah, kwa yakini Allaah ni Mkali wa kuadhibu)). 17 3. Jambo lolote linalotendwa kama ni Ibaadah ya kujikurubisha kwa Allaah ( ) ambalo halimo katika Qur-aan na Sunnah ni bid ah (uzushi) litakataliwa, na mzushi au mtendaji uzushi hatopata thawabu yoyote, hata ikiwa kwa niyyah safi, na itakuwa ni kupoteza juhudi zake na mali yake kwa jambo lisilo na thamani mbele ya Allaah ( ). [Al-Furqaan 25: 23, Al-Kahf 18: 103-104]. 16 Al-Bukhaariy na Muslim. 17 Al-Hashr (59: 7).

4. Dini ya Kiislamu hairuhusu bid ah yoyote bali inatilia nguvu kushikamana na Qur-aan na Sunnah, na hiyo ndio njia iliyonyooka ipasayo kufuatwa: [Yuwsuf 12: 108, Al-An aam 6: 153]. 5. Hili ni onyo kwa Muislamu kutozua jambo lolote katika Dini kwani tayari Dini imekamilika [Al-Maa idah 5: 2].

Hadiyth Ya 16 Athari ya Kuelekeza Kwenye Uongofu Na Upotofu )) :( ) ( ),, (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) kwamba Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Atakayelingania katika uongofu, atapata ujira mfano wa aliyemfuata, bila ya kupunguziwa chochote katika ujira wao. Na atakayelingania katika upotofu, atapata dhambi mfano wa dhambi za waliomfuata bila ya kupunguziwa chochote katika dhambi zake)). 18 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Fadhila za mlinganiyaji ni nyingi mno kwa kufuatwa anayoyalingania, na thawabu zake zinazidi hata baada ya kufariki kwake kwa kila atakayefuata. [Rejea Hadiyth namba 54, 78]. 2. Ulinganiaji Dini ni katika mema yatakayoendelea baada ya kufariki kwake. ((Na mema yenye kudumu ni bora katika malipo mbele ya Mola wako na yana mwisho mwema)). 19 3. Fadhila za elimu na da wah, nazo hazipatikani ila kwa kuwa na elimu ya Dini, na si kwa kufuata watu au matamanio. [Yuwsuf: 12: 108]. 4. Umuhimu wa kujifunza elimu sahihi, la sivyo kuna hatari nyingine, nayo ni kujitayarishia makazi ya motoni. [Rejea Hadiyth namba 77]. 5. Mlinganiyaji mema au maovu na mtendaji wake, watapata malipo sawasawa, mazuri au mabaya. 18 Muslim. 19 Al-Kahf (18: 46) Maryam (19: 76).

3 6. Mlinganiyaji atahadhari anayoyalingania, kwani akilinganiya maovu ataacha athari nyuma yake na atabeba dhambi zake na kila atakayemfuata. [Yaasiyn: 36: 12]. Na pia: Ÿωr& AΟù=Ïã Î ö tóî/ ΟßγtΡθ =ÅÒムš Ï%!$# Í #y ρr& ô ÏΒuρ Ïπyϑ ušé)ø9$# tπöθtƒ \'s#ïβ$x. öνèδu #y ρr& (#þθè=ïϑósu Ï9 šχρâ Ì tƒ $tβ u!$y (([Wanapoteza watu hivi] Ili wabebe mizigo [ya madhambi] yao kamili Siku ya Qiyaamah, na [pia] sehemu ya mizigo ya wale wanaowapoteza bila ya kuwa na elimu [hao wanaowapoteza]. Sikilizeni! Ni mibaya mno hiyo [mizigo] wanayoibeba)). 20 7. Muislamu atahadhari kufuata mafunzo ya ubatili na ajiepushe na wabatilifu wanaopotosha watu katika Dini. 8. Mitume walipowalinganiya watu wao wasimshirikishe Allaah ( ) jibu la wengi wao lilikuwa kwamba wamewafuata mababa zao. Na hali imekuwa ni hivihivi kwa walio wakaidi katika kufuata uzushi. [Al-Baqarah 2: 170, Al-Maaidah 5: 104, As-Swaaffaat 37: 69-70, Az-Zukhruf 43: 22-23]. 20 An-Nahl (16: 25).

4 Hadiyth Ya 17 Kuondosha Munkari Kwa Mkono Au Ulimi Au Kuchukia Moyoni )) :( ) : ( ) (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Sa iyd Al-Khudriyy ( ) amesema: Nilimsikia Mtume wa Allaah ( ) anasema: ((Atakayeona munkari [uovu] basi aubadilishe kwa mkono wake, na asipoweza basi kwa ulimi wake, na asipoweza basi kwa moyo wake [achukizwe] na huo ni udhaifu wa Iymaan)). 21 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Wajibu wa Muislamu kuamrisha mema na kukataza munkari kwa hali yoyote ile. [Aal- Imraan 3: 110, At-Tawbah 9: 71, 112, Al-Hajj 22: 41]. ãνèδ y7í s9'ρé&uρ Ì s3ψßϑø9$# Ç tã tβöθyγ Ζtƒuρ Å ρã èprùq$î/ tβρã ãβù'tƒuρ Î ö sƒø:$# n<î) tβθãô tƒ π Βé& öνä3ψïiβ ä3tfø9uρ šχθßsî=ø ßϑø9$# ((Na wawepo katika nyinyi watu wanaolinganiya kheri [Uislamu, wema] na wanaoamrisha ma aruwf [Uislamu] na wakakataza munkari [maovu]. Na hao ndio watakaofaulu)). 22 2. Kuamrisha mema na kukataza munkari ni jukumu la kila Muislamu na jamii, kwani ni fardhi kifaayah (ya kutosheleza). Walilaaniwa Ahlul-Kitaab wasiotimiza amri hii. [Al-Maaidah 5: 78-79]. 3. Imesemwa na Ma ulamaa kuwa Hadiyth hii ni thuluthi ya Dini. Na imesemwa pia kuwa Uislamu wote umo humo, kwani vitendo katika Shari ah ama ni vyema vinavyowajibika kutendwa au munkari vinavyowajibika kujiepusha navyo. 21 Muslim. 22 Aal- Imraan (3: 104).

4. Muislamu hatakiwi kuchangia katika maovu, bali kusaidia katika mema na uchaji Allaah. [Al-Maaidah 5: 2]. 5. Waislamu wako tofauti katika uwezo wa kukataza maovu. 6. Iymaan ziko katika daraja tofauti. Inaongezeka katika kumtii Allaah ( ) na inapunguka katika kumuasi Allaah ( ). 7. Muumin ni yule anayekataza maovu na asipoweza achukie kwa moyo wake au sivyo atakuwa katika hatari ya kupokutoka, kupata adhabu na kutokukubaliwa du aa yake. [Hadiyth: ((Naapa kwa Ambaye nafsi yangu imo mikononi Mwake, hakika mtaamrishana ma aruwf [Uislamu, wema] na mtakatazana munkari [maovu], au Allaah Atakuleteeni adhabu, kisha mtamuomba wala Hatokuitikieni)). 23 8. Baadhi ya Ma ulamaa wameona kwamba lau ingelikuwa fardhi za Kiislamu ni sita, basi ya sita yake ingelikuwa ni kuamrishana mema na kukatazana maovu. 23 At-Tirmidhiy na amesema: Hadiyth Hasan.

Hadiyth Ya 18 Alama Za Mnafiki Ni Tatu: Uongo, Kutokutimiza Ahadi, Kufanya Khiyana )) :( ) ( ) (( )) :. (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) kwamba Mtume ( ) amesema: ((Alama za mnafiki ni tatu: anapozungumza husema uongo, anapotoa ahadi hukhalifu (hatimizi), na anapoaminiwa hufanya khiyana)) 24. Na katika riwaaya nyingine: ((Hata akifunga na akiswali na akidai kuwa yeye ni Muislamu)). 25 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Unafiki ni miongoni mwa maradhi ya moyo ya hatari yanayokemewa sana katika Uislamu. [Al-Maaidah 5: 52, Al-Anfaal 8: 49, Al-Hajj 22: 53]. 2. Sifa tatu hizo ni sifa mashuhuri miongoni mwa sifa za wanafiki. [An- Nisaa 4: 143, Al-Baqarah 2: 8-15] Lakini hizo sio zote zinazowahusu, bali wanazo sifa mbaya zaidi ya hizo. 3. Mwenye kuwa na sifa zote tatu hizo ajitambue kuwa ni mnafiki. 4. Kukimbilia kujirekebisha pindi Muislamu anapotambua kuwa ana sifa mojawapo kabla ya kumiliki sifa zote tatu. 5. Uislamu unafunza sifa njema za ukweli, kutimiza ahadi na uaminifu. [An-Nisaa 4: 58, An-Nahl 16: 91]. Nazo ni miongoni mwa sifa za watakaopata Pepo ya Al-Firdaws [Al-Muuminuwn 23: 8]. Na pia: tβθã u ôμïδï ôγtãuρ öνíκéj oψ tβl{ öλèε t Ï%!$#uρ 24 Al-Bukhaariy na Muslim. 25 Al-Bukhaariy na Muslim.

((Na wale ambao wanachunga amana zao na ahadi [maagano yao])). 26 6. Mtu anaweza kudhaniya kuwa ni Muislamu wa kweli kwa sababu ya utekelezaji wake wa Ibaadah, kumbe ni mnafiki. 26 Al-Ma aarij (70: 32)

Hadiyth Ya 19 Dhulma Irudishwe Duniani Kabla Ya Malipo Ya Amali Aakhirah )) : ( ) ( ), ((. Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) kwamba Mtume ( ) amesema: ((Aliyekuwa na kitu cha dhulma cha nduguye kutokana na kumvunjia heshima au kitu chochote, basi amuombe amhalalishie leo kabla haijafika siku ambayo hakutakuwa na dinari wala dirham. Ikiwa ana amali njema, basi zitachukuliwa kwa kadiri ya alichodhulumiwa. Na ikiwa hana, basi zitachukuliwa dhambi za aliyemdhulumu abebeshwe)). 27 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Tahadharisho la kumtendea mtu dhulma, kwani dhulma ni viza (giza) Siku ya Qiyaamah. [Hadiyth: ((Ogopeni dhuluma, kwani dhuluma ni viza Siku ya Qiyaamah)). 28 Na dhalimu ana adhabu kali Aakhirah. [Al- Araaf 7: 41, Maryam 19: 72, Ghaafir 40: 52]. 2. Allaah Ameharamisha dhulma na kutahadharisha. [Hadiyth: ((Enyi waja Wangu! Mimi Nimejiharamishia dhuluma juu ya Nafsi Yangu na Nikaifanya ni haramu baina yenu, basi msidhulumiane)). 29 3. Kuwekeana heshima ni katika mambo makuu yanayohimizwa katika Uislamu. 4. Kutahadhari kuchuma ya haramu kwa kudhulumu watu kula mali zao bila ya haki. [Al-Baqarah 2: 188, An-Nisaa 4: 29,161]. 27 Al-Bukhaariy. 28 Muslim. 29 Muslim.

ô ÏiΒ $Z)ƒÌ sù (#θè=à2ù'tgï9 ÏΘ$ 6çtø:$# n<î)!$yγî/ (#θä9ô è?uρ È ÏÜ t6ø9$î/ Νä3oΨ t/ Νä3s9 uθøβr& (#þθè=ä.ù's? Ÿωuρ tβθßϑn= ès? óοçfρr&uρ ÉΟøOM}$Î/ Ä $ Ψ9$# ÉΑ uθøβr& ((Wala msiliane mali zenu kwa batili na kuzipeleka kwa mahakimu ili mpate kula sehemu ya mali ya watu kwa dhambi, na hali mnajua)). 30 5. Dhulma inaharibu amali njema, kwani tajiri anayedhulumu atakuwa masikini Siku ya Qiyaamah, na masikini aliyedhulumiwa atakuwa tajiri Siku ya Qiyaamah. [Hadiyth: ((Je, mnamjua muflis?)) Wakasema [watu]: Muflis kwetu sisi ni yule miongoni mwetu asiyekuwa na dirhamu [pesa] wala vyenye kumnufaisha yeye hapa duniani. Akasema ( ) ((Hakika muflis katika Ummah wangu ni yule atakayekuja Siku ya Qiyaamah na Swalaah, Swawm na Zakaah, lakini amemtusi huyu, amemsingizia huyu mwingine kuwa amezini, amekula mali ya huyu, amemwaga damu ya mwingine na kumpiga mwengine. Thawabu zake zitapatiwa huyu na yule mpaka zimalizike. Na zinapokwisha basi madhambi ya hao [aliowadhulumu] atabandikwa nayo, kisha aingizwe Motoni)). 31 6. Kuharakiza kulipa dhulma duniani wakati fursa bado ipo kabla ya kufikia mauti. 7. Anayedhulumiwa avute subira kwa kutegemea malipo mema ya aliyemdhulumu na kuondoshewa madhambi yake. 30 Al-Baqarah (2: 188). 31 Muslim.

4 Hadiyth Ya 20 Waumini Ni Kama Jengo Hutiliana Nguvu )) :( ) : ( ) - (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Muwsa ( ) kwamba Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Muumin kwa Muumin mwenziwe ni kama jengo, baadhi yake hutilia nguvu baadhi nyingine)). Akaviumanisha vidole vyake. 32 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Waumini wa kweli ni wenye kuungana katika kila jambo lao. <Ù èt/ â!$ušï9 ρr& öνßγàò èt/ àm oψïβ σßϑø9$#uρ tβθãζïβ σßϑø9$#uρ ((Na Waumini wanaume na Waumini wanawake ni marafiki wao kwa wao )). 33 2. Waumini ni ndugu, hivyo inawapasa kutilia nguvu umoja wao. [Aal Imraan 3: 200]. 3. Umoja unatia nguvu kama jengo linavyokuwa imara, na hakuna faida kutengana, kwani jengo halitokuwa na faida pindi linapokosa kushikana. [Asw-Swaff 61: 4]. 4. Umoja unasababisha mapenzi baina ya Waislamu na kupendeleana kheri za kila aina. [Rejea Hadiyth namba 21, 22, 80]. 5. Mtume ( ) ni mwalimu bora kabisa kwa kutoa mifano mizuri ya hikma na busara katika kuonyesha au kuelezea jambo. [Al-Ahzaab 33: 21]. 6. Ni mbinu nzuri ya Da wah au ufundishaji kwa Daa iyyah au mwalimu kwa kuonyesha kitu kwa vitendo. Na kufanya hivyo kunamfanya msikilizaji kuelewa na kufahamu zaidi. 32 Al-Bukhaariy na Muslim. 33 At-Tawbah (9: 71).