Hadiyth Ya 71 Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema )) :

Σχετικά έγγραφα
Hadiyth Ya 11 Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na Kitu; Ya Juu Ni Tawhiyd, Na Ya Chini Kabisa Ni Kuondosha Taka Njiani

Hadiyth Ya 1 Allaah Hatazami Miili Wala Sura, Bali Anatazama Nyoyoni

Hadiyth Ya 61 Dunia Ni Kama Kivuli Anachokitumia Msafiri Kwa Muda Tu

Hadiyth Ya 131 Allaah Ameridhia Kuabudiwa, Kutokumshirikisha, Kuungana Na Anachukia Uvumi, Udadisi Na Kupoteza Mali ( )

Ummu Iyyaad Imepitiwa Na: Abu Abdillaah Muhammad Baawazir

Hadiyth Ya 111 Wanaume Na Wanawake Wasio Maharimu Wasitazamane Uchi Wala Wasilale Pamoja

AHLUL ~ KISAA. Mkusanyiko wa sifa na tarehe za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), Imamu Ali, Bibi Fatimah, Imamu Hassan na Imamu Hussein

Kuondoa Utata Uliyomo katika Tafauti ya Muandamo

Ni kusimama katika neno lakini hata ukiunganisha yanayofuatia haiharibu maana. Ni lazima kusimama kwani kuunganisha na yanayofuatia kutaharibu maana.

IMAM MAHDI (A.S.) NI TUMAINI LA MATAIFA

05- Fadhila Za Umrah Na Hajj



i Kiswahili (TE) Class 1.indd i 5/30/14 8:07 PM

Kiswahili TE(C2).indd i 5/30/14 8:14 PM

MATESO YA DHURIA YA MTUME

Yaliyomo. ~ Ukurasa 3 ~

MUONGOZO RAHISI WA RAIA KUHUSU UCHAGUZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014

IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU

Idghaam haiwezekani ikawa katika neno moja bali ni lazima nuwn saakinah au tanwiyn iweko mwisho wa neno la kwanza, na herufi inayoingizwa hiyo

25-Faharasa. Matamshi. Tamshi moja ni lafdhw. Iliyo na nguvu kabisa, inayodhaniwa kuwa sahihi kabisa, rai inayokubalika kabisa.

Mafundisho Ya Madhehebu

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

KILIMO CHA ZAO LA VANILLA

Rulings on Fasting during Hajj

SURA YA 95 SHERIA YA MADAWA NA UZUIAJI WA USAFIRISHAJI WA MADAWA HARAMU SHERIA KUU MPANGILIO WA VIFUNGU SEHEMU YA 1 MASHARTI YA MWANZO

Critique of Humanism

Mradi wa Misitu ya Jamii MJUMITA (Lindi) Wilaya ya Lindi Vijijini na Manispaa ya Lindi, Mkoa wa Lindi, Tanzania

ΛΕΞΙΚΟΝ ΕΛΛΗΝΟ-ΣΟΥΑΧΙΛΙ

W א א א א א א.

Z L L L N b d g 5 * " # $ % $ ' $ % % % ) * + *, - %. / / + 3 / / / / + * 4 / / 1 " 5 % / 6, 7 # * $ 8 2. / / % 1 9 ; < ; = ; ; >? 8 3 " #

( ). : : :.. : :. : : : : """ " " "... : "" ( ) ( ) [ :] %[n%s3ïρ tβθã_ötƒ Ÿω ÉL 9$# Ï!$ ÏiΨ9$# z ÏΒ ß Ïã uθs)ø9$#uρ : ßìsùötƒ øœî)uρ :. š ÏiΒ ΟßγuΖ u



Ÿωuρ $pκš r' tƒ. < ø Ρ. ÏiΒ

() ( ) - - ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( ) ( )


(#θèù ρr& 4 n< ρr& $ ÏΨ xî

HONDA. Έτος κατασκευής

(! )! " (S.S)-. + #, $ % &' ( )* $! / :;:<9::=>>? 4 5 : 6 A B C 7 1 )* ( F D>EE / G:99

ﺷﺮ ﻢﻠﺴﻟﻤ ﻦﺼﺣ ﺔﻨﺴﻟ ﺎﺘﻜﻟ ﻛﺎ ﻦﻣ א! א א ﻢﻠﺴﻟﻤ ﻦﺼ ﺣ ﻒﻟﺆﻣ ﻪﻴﻠﻋ ﻖﻠﻋ ﻪﺤﺤﺻ

rs r r â t át r st tíst Ó P ã t r r r â

: :

ΑΠΑΝΤΗΣΕΙΣ ΑΛΓΕΒΡΑΣ Α ΛΥΚΕΙΟΥ

P P Ó P. r r t r r r s 1. r r ó t t ó rr r rr r rí st s t s. Pr s t P r s rr. r t r s s s é 3 ñ

Purposive Analysis: Inculcation and Application

Ni hamzah inayotamkwa katika neno na haitamkwi (hutoweka) wakati wa kuunganisha na neno la nyuma yake.

ss rt çã r s t Pr r Pós r çã ê t çã st t t ê s 1 t s r s r s r s r q s t r r t çã r str ê t çã r t r r r t r s

Q π (/) ^ ^ ^ Η φ. <f) c>o. ^ ο. ö ê ω Q. Ο. o 'c. _o _) o U 03. ,,, ω ^ ^ -g'^ ο 0) f ο. Ε. ιη ο Φ. ο 0) κ. ο 03.,Ο. g 2< οο"" ο φ.

The extent of Islamic Education basic stage Textbooks to ensure the developmental listening skills for the activities of Holly Quran

ðñüübi pbïüb a óïèím ójé

<<< ššš. ÎÎÎ Îh hh ( ) ZZZ. ööö

Editorís Talk. Advisor. Editorial team. Thank

Microscopie photothermique et endommagement laser

1. Ma trận A = Ký hiệu tắt A = [a ij ] m n hoặc A = (a ij ) m n

f(w) f(z) = C f(z) = z z + h z h = h h h 0,h C f(z + h) f(z)

UJIAN BERTULIS ARAHAN: 1. Buka kertas soalan ini apabila diberitahu. 2. Tulis nama dan angka giliran anda pada ruang yang disediakan.

( ) א : ( ) : - " : - : ( ). " " : " :..".." " : ( ).. :. : : : ( ) (/ ) () - -.( / ).() ( ) ( ).( / ) ( ).( - ) ( )

ΥΠΗΡΕΣΙΕΣ ΠΡΟΣΩΠΙΚΟΥ ΔΙΑΧΕΙΡΙΣΗ ΑΠΟΔΟΣΗΣ ΚΑΙ ΣΤΕΛΕΧΩΣΗ

Å/ ÅÃ... YD/ kod

Š Šˆ ATLAS: ˆ ˆŸ ˆ Šˆ, Œ ˆ Œ ˆ.. ƒê ±μ,. ƒ ² Ï ², ƒ.. Š ± ²,. Œ. Ò,.. ŒÖ²±μ ±,.. Ï Ìμ μ,.. Ê ±μ Î,.. ±μ,. Œ. μ

التجديد فى المقاصد. Î ÎÎ Îû ÏÏÏ ÇÇÇ ŸŸŸ. 4 Νä ää Ï ÏÏ ÏΒ $ Β ÉÉÉ. ííí HHH &&&

Meren virsi Eino Leino

: :

Alterazioni del sistema cardiovascolare nel volo spaziale

2?nom. Bacc. 2 nom. acc. S <u. >nom. 7acc. acc >nom < <

Déformation et quantification par groupoïde des variétés toriques

حفظ النفس بين الدين والفلسفة

Το άτομο του Υδρογόνου

! "# " #!$ &'( )'&* $ ##!$2 $ $$ 829 #-#-$&2 %( $8&2(9 #."/-0"$23#(&&#

r r t r r t t r t P s r t r P s r s r r rs tr t r r t s ss r P s s t r t t tr r r t t r t r r t t s r t rr t Ü rs t 3 r r r 3 rträ 3 röÿ r t

f a o gy s m a l nalg d co h n to h e y o m ia lalg e br coh the oogy lagebr

Ó³ Ÿ , º 4(181).. 501Ä510

Š ˆ ˆ ˆ Š ˆ ˆ Œ.. μ É Ó

Estimation of grain boundary segregation enthalpy and its role in stable nanocrystalline alloy design

U

Ó³ Ÿ , º 7(156).. 62Ä69. Š Œ œ ƒˆˆ ˆ ˆŠ. .. ŠÊ²Ö μ 1,. ƒ. ²ÓÖ μ 2. μ ± Ê É É Ê Ò μ μ, Œμ ±

P μ,. Œμ α 1,. ²μ ± 1,.. ϱ Î, Ÿ. Ê Í± 2 Œˆ ˆ Œ Š Ÿ Š Ÿ ˆ ˆŒ ˆˆ. ² μ Ê ² μ Ò É Ì ± Ô± ³ É

ΓΗ ΚΑΙ ΣΥΜΠΑΝ. Εικόνα 1. Φωτογραφία του γαλαξία μας (από αρχείο της NASA)

Solutions - Chapter 4

r t t r t t à ré ér t é r t st é é t r s s2stè s t rs ts t s

Năm Chứng minh. Cách 1. Y H b. H c. BH c BM = P M. CM = Y H b

Radio détection des rayons cosmiques d ultra-haute énergie : mise en oeuvre et analyse des données d un réseau de stations autonomes.

Ó³ Ÿ , º 1(130).. 7Ä ±μ. Ñ Ò É ÉÊÉ Ö ÒÌ ² μ, Ê

ˆ ˆŠ Œ ˆ ˆ Œ ƒ Ÿ Ä664

ΟΡΙΑ ΣΥΝΕΧΕΙΑ ΒΑΣΙΚΕΣ ΑΣΚΗΣΕΙΣ. 2 f (x) =, να βρεθεί ο k Î R, ώστε να. . β) Να βρείτε το. , αν για κάθε x Î U(, á) όρια lim fx ( ) και lim gx ( ).

P Ò±,. Ï ± ˆ ˆŒˆ Š ƒ ˆŸ. Œ ƒ Œ ˆˆ γ-š Œˆ ƒ ƒˆ 23 ŒÔ. ² μ Ê ². Í μ ²Ó Ò Í É Ö ÒÌ ² μ, É μí±, μ²óï

Im{z} 3π 4 π 4. Re{z}

Teaching strategies contained in the Koran Alkarim- analysis of Al-Baqara Surah

ŒˆŠ Š ˆ Š ˆ ˆ ˆ œ ƒ ƒˆƒ Š ƒ.. ˆÏÌ μ,.. ²

Νόµοςπεριοδικότητας του Moseley:Η χηµική συµπεριφορά (οι ιδιότητες) των στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού.

Parts Manual. Trio Mobile Surgery Platform. Model 1033

P ƒ. μ μ², Œ.. ˆ μ,.. μ ± Î Š Ÿ ˆ Œ ˆŸ ˆ Ÿ Š ˆ. ² μ Ê ² μ Ò É Ì ± Ô± ³ É.

Για να εμφανιστούν σωστά οι χαρακτήρες της Γραμμικής Β, πρέπει να κάνετε download και install τα fonts της Linear B που υπάρχουν στο τμήμα Downloads.

Truy cập website: hoc360.net để tải tài liệu đề thi miễn phí

Θεωρία Συνόλων. Ενότητα: Διατακτικοί αριθμοί. Γιάννης Μοσχοβάκης. Τμήμα Μαθηματικών


P Œ ²μ, Œ.. ƒê Éμ,. ƒ. ²μ,.. μ. ˆ ˆŸ Œˆ ˆŸ ˆ Š Œ ˆŸ Ÿ - ˆ ˆ ŠˆŒˆ Œ Œˆ ˆ œ ˆ Œ ˆ ŒˆŠ Œ -25

Ρένα Ρώσση-Ζα ρη, Ðñþôç Ýêäïóç: Ιανουάριος 2010, αντίτυπα ÉSBN

Forêts aléatoires : aspects théoriques, sélection de variables et applications

Transcript:

Hadiyth Ya 71 Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema )) : : ( ) (( Imepokelewa kutoka kwa Adiyy bin Haatim ( ) amesema: Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Ogopeni moto japo kwa nusu tende, na usipopata basi kwa neno jema)). 1 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Kuogopa na kujikinga na moto kwa kila njia, ikiwa kubwa au ndogo mno vipi kwani ni mkali mno! ((Sema, Moto wa Jahannam ni mkali zaidi lau wangekuwa wanafahamu)). 2 ÔâŸξÏî îπs3í n=tβ $pκö n=tæ äοu $yfïtø:$#uρ â $ Ζ9$# $yδßšθè%uρ #Y $tρ ö/ä3 Î= δr&uρ ö/ä3 à Ρr& (#þθè% (#θãζtβ#u t Ï%!$# $pκš r' tƒ tβρâ s σム$tβ tβθè=yèø tƒuρ öνèδt tβr&!$tβ!$# tβθýá ètƒ ω Š#y Ï ((Enyi mlioamini! Jiokoeni nafsi zenu na ahli zenu kutokana na moto ambao kuni zake ni watu na mawe. Wanausimamia Malaika wenye nguvu, wakali, hawamuasi Allaah kwa amri Zake na wanatenda wanayoamrishwa)). 3 2. Yapendeza kutoa sadaka japokuwa kidogo mno [Al-Baqarah 2: 110, 273, Aal- Imraan 3: 30, At-Tawbah 9: 121, Al-Muzzammil 73: 20]. 3. Neno jema ni sadaka anaposhindwa mtu kumpa sadaka muombaji. [Al-Baqarah 2: 263, Adhw-Dhwuhaa 93: 10]. 4. Kutokudharau au kuacha kutenda jema lolote japo kama ni dogo mno vipi. [Al-Zalzalah 99: 7, Maryam 19: 76]. [Rejea Hadiyth namba 11]. 5. Neno jema linaunganisha nyoyo za Waumini na kujenga mapenzi [Aal- Imraan 3: 159], na linaweza kumuingiza kafiri katika Uislamu. 1 Al-Bukhaariy na Muslim. 2 At-Tawbah (9: 81). 3 At-Tahriym (66: 6).

6. Muumin daima ni mtendaji mema, kubwa na dogo, na haachi wala hachoki. [Ibraahiym 14: 24-25].

Hadiyth Ya 72 Toeni Salaam, Lisheni Chakula, Ungeni Undugu, Swalini Tahajjud, Mtaingia Peponi Kwa Amani )) : ((, :, ( ),,, : Imepokelewa kutoka kwa Abu Yuwsuf Abdullah bin Salaam ( ) amesema: Nilimsikia Mtume wa Allaah ( ) akisema: ((Enyi watu! Toeni [amkianeni kwa] Salaam! Na lisheni chakula, na ungeni undugu [na jamaa wa uhusiano wa damu], na swalini wakati watu wamelala, mtaingia Peponi kwa amani)). 4 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Maamkizi ya Kiislamu, kulisha watu, kuunga undugu na kuamka usiku kuswali, ni sababu mojawapo ya kumuingiza Muislamu Peponi, nayo ni mambo mepesi kabisa kuyatenda. 2. Amri, umuhimu na fadhila za kuamkiana kwa maamkizi ya Kiislamu [An-Nisaa 4: 86, An-Nuwr 24: 27-28]. [Reja Hadiyth namba 42]. 3. Sisitizo na himizo la kulisha maskini chakula [Al-Insaan 76: 8-10, Al- Haaqah 69: 34, Al-Fajr 89: 18, Al-Maa uwn 107: 3]. 4. Maamrisho ya kuunga udugu na maonyo ya kukata undugu. [Al- Baqarah 2: 27, Ar-Ra d 13: 21, 25, Muhammad 47: 22-23, [Rejea Hadiyth namba 38]. 5. Umuhimu wa Swalaah za usiku (Qiyaamul-Layl, tahajjud, taaraawiyh) [As-Sajdah 32: 16-17, Adh-Dhaariyaat 51: 16-18. [Hadiyth: ((Swalaah iliyo bora kabisa baada ya Fardh ni Swalaah ya usiku))]. 5 6. Kuamka kuswali usiku ni miongoni mwa sifa za Waja wa Ar-Rahmaan [Al-Furqaan 25: 63-64]. 4 At-Tirmidhiy na amesema: Hadiyth Hasan Swahiyh. 5 Muslim.

7. Waamkao usiku kuswali hawako sawa na waja wengine. [Aal- Imraan 3: 113, Az-Zumar 39: 9]. 8. Kuamka kuswali usiku ni amri za Allaah ( ). [Qaaf 50: 39-40, Al- Insaan 76: 25-26, Al-Israa 17: 78-79, Al-Muzammil 73: 3-4].

4 ( ( 4 Hadiyth Ya 73 Kutaja Jina Unapoulizwa Nani Wewe Mlangoni : (( )) : : ( ) -. (( )) :. Imepokelewa kutoka kwa Jaabir ( ) ambaye amesema: Nilimwendea Mtume ( ) nikagonga mlango akauliza: ((Nani huyu?)) Nikajibu: Mimi. Akasema: ((Mimi, mimi!?)) kama kwamba alikuwa amechukia. 6 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Kubisha mlango ni miongoni mwa tabia njema baina ya Waislamu na amri kutoka kwa Allaah ( ) na Mjumbe Wake ) (. # n?tã (#θßϑïk= è@uρ (#θý ÎΣù'tGó n@ 4_ Lym öνà6ï?θã ç/ u ö xî $?θã ç/ (#θè=äzô s? Ÿω (#θãζtβ#u t Ï%!$# $pκš r' tƒ $yδθè=äzô s? Ÿξsù #Y ymr&!$yγšïù (#ρß ÅgrB óο 9 βî*sù šχρã.x s? öνä3ª=yès9 öνä3 9 ö yz öνä3ï9 sœ šχθè=yϑ ès? $yϑî/ ª!$#uρ öνä3s9 4 s1ø r& uθèδ (#θãèå_ö $sù (#θãèå_ö $# ãνä3s9 Ÿ ŠÏ% βî)uρ $yγî= δr& ö/ä3s9 šχsœ σム4 Lym ÒΟŠÎ=tæ ((Enyi mlioamini! Msiingie nyumba ambazo si nyumba zenu mpaka muombe ruhusa [mpige hodi] na muwatolee Salaam waliomo humo. Hayo ni bora kwenu huenda mtakumbuka)) ((Na kama hamtamkuta humo yeyote, basi msiingie mpaka mruhusiwe. Na mkiambiwa: rudini basi rudini. Hili ni takaso kwenu. Na Allaah Anajua vyema mnayoyatenda)). 7 [Rejea pia: Aaya An-Nuwr 24: 59]. 2. Kubisha ni mara tatu, na asipojibiwa, basi anapaswa asiingie bali arudi na kwenda zake. [An-Nuwr 24: 28]. 6 Al-Bukhaariy na Muslim. 7 An-Nuwr (24: 27-28).

3. Ni Sunnah kujitambulisha jina au umaarufu wake mtu anapoulizwa jina lake baada ya kugonga mlango. 4. Inachukiza kujibu mimi au vyovyote vinginevyo bila ya kutaja jina linalokutambulisha. 5. Kujitambulisha jina inatakiwa pia katika hali nyinginezo kama mtu anapokutana katika kiza cha njiani n.k akaulizwa jina lake. 6. Mafunzo haya ni sawa na mafunzo kutoka kwa Jibriyl ( ) alipotaka idhini ya kuingia katika kila mbingu, alipoulizwa: Nani? Akajibu: Mimi Jibriyl. Nani yuko na wewe? Akajibu: Muhammad. 7. Mafunzo pia kutoka kwa Maswahaba Abu Dharr na Ummu Haaniy ( ) katika hali mbalimbali, walipomsalimia Mtume ( ) akawauliza: ((Nani?)) wakajibu kwa majina yao [Kila mmoja ametajwa katika Hadiyth ya pekee].

Hadiyth Ya 74 Yapendeza Kupiga Chafya Na Yachukiza Kupiga Miayo, )) : ( ) " ", (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) kwamba Mtume ( ) amesema: ((Hakika Allaah Anapenda chafya na Anachukia kupiga miayo. Anapopiga chafya mmoja wenu akamhimidi Allaah Ta ala ni wajibu kwa kila Muislamu anayemsikia kumwambia: Yarhamuka Allaah Allaah Akurehemu. Ama kupiga miayo, hakika hivyo ni kutoka kwa shaytwaan, basi anapopiga miayo mmoja wenu ajizuie kadiri awezavyo. Mtu anaposema: Aaawh shaytwaan humcheka)). 8 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Kufanya Anayoyapenda Allaah ( ) na kuacha Anayoyachukia. 2. Inapasa Kumuombea Rahma Muislamu anapopiga chafya baada ya kumhimidi Allaah ( ), kwani ni Sunnah na miongoni mwa haki baina ya Waislamu [Hadiyth: ((Haki ya Muislamu kwa nduguye Muislamu ni tano: Kujibu Salaam, kumtembelea mgonjwa, kulisindikiza jeneza, kuitikia mwito na kumuombea mwenye kupiga chafya)). 9 3. Waislamu kuombeana du aa za Sunnah katika kupiga chafya; anayepiga chafya na anayemsikia mwenziwe [Tazama Kitabu cha Hiswnul-Muslim]. 4. Kupiga chafya ni miongoni mwa neema za Allaah ( ) zisizohesabika. Hivyo inapasa kumshukuru, kwani inahusiana na afya ya binaadamu. 8 Al-Bukhaariy. 9 Al-Bukhaariy na Muslim.

Πθè=sàs9 z ΣM}$# χî) 3!$yδθÝÁøtéB Ÿω «!$# Myϑ èïρ (#ρ ãès? βî)uρ 4 çνθßϑçgø9r'y $tβ Èe à2 ÏiΒ Νä39s?#u uρ Ö $ Ÿ2 ((Na Akakupeni kila mlichokiomba. Na kama mkihisabu neema za Allaah, hamtaweza kuzihisabu. Bila shaka mwanadamu ni dhalimu mkubwa asiye na shukurani)). 10. 5. Kujihamasisha sababu zitakazomfanyisha mtu apige chafya na kuzuia kwenda miayo; mazoezi ya mwili, kutokula hadi mtu ashibe mno, uvivu na kadhalika. 6. Masisitizo ya kuzuia mdomo mtu anapopiga miayo, nayo ina manufaa ya kiafya kwa binaadamu kuzuia viini vya maradhi (vijidudu) kuingia mdomoni. 7. Uislamu unasisitiza afya na usalama wa binaadamu. 8. Kujiepusha na kila jambo baya analopenda shaytwaan. 9. Maagizo yote yanayotolewa na Allaah ( ) na Mtume ( ) ni kwa maslahi yako kwa hiyo usipuuze kabisa. 10 Ibraahiym (14: 34).

( 4 Hadiyth Ya 75 Mwenye Kuakhirishia Au Kusamehe Deni, Atakuwa Katika Kivuli Cha Allaah Siku Ya Qiyaamah, )) : : ( ) (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) ambaye amesema: Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Atakayemuakhirishia mwenye usiri [wa kulipa deni] au akamsamehe, Allaah Atamfunika kivuli Siku ya Qiyaamah chini ya kivuli cha Arshi Yake, Siku ambayo hakutakuwa na kivuli isipokuwa kivuli Chake)). 11 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Uislamu unafunza kuoneana huruma katika hali ya dhiki kama kusamehe mtu deni lake. 2. Fadhila kwa aliye na wasaa wa mali kusamehe deni kupata malipo mema Aakhirah na hiyo ni sifa ya Muhsin na kughufuriwa dhambi. [Aal Imraan 3: 134, An-Nuwr 24: 22]. 3. Himizo la kusameheana deni, ima kuakhirisha wakati wake ulioahidiwa au kulisamehe lote. šχθßϑn= ès? óοçfζä. βî) óοà6 9 ö yz (#θè% Ás? βr&uρ ;οu y tβ 4 n<î) îοt ÏàoΨsù ;οu ô ã ρèœ šχ%x. βî)uρ ((Na kama [aliyekopa] ana dhiki [hawezi kulipa] basi [anayedai] angoje mpaka afarijike. Na kama nyinyi [mnaodai mkizisamehe deni zenu] mkazifanya sadaka, basi ni kheri kwenu, ikiwa mnajua haya)). 12 4. Malipo yanalingana, kama ilivyo kwamba mwenye deni anapomuondoshea dhiki mwenziwe duniani ya kulipa deni, naye pia Allaah ( ) Atamuondoshea dhiki Aakhirah. [Rejea Hadiyth namba 23]. 11 At-Tirmidhiy na amesema Hadiyth Hasan Swahiyh. 12 Al-Baqarah (2: 280).

5. Kuakhirisha au kusamehe deni ni mojawapo wa fadhila za kujipatia kivuli cha Allaah ( ) Siku ambayo jua litakuwa karibu mno na joto lake halitoweza kuvumilika. [Rejea Hadiyth namba 43. Pia ((Watu saba ambao Allaah Ta ala Atawafunika katika kivuli Chake, siku ambayo hakutakuwa na kivuli ila kivuli Chake; Imaam (kiongozi) muadilifu, kijana ambaye amekulia katika Ibaadah ya Mola wake, mwanamume ambaye moyo wake umegandana [au umeambatana] katika Misikiti, watu wawili wanaopendana kwa ajili ya Allaah wanakutana kwa ajili Yake na wanafarikiana kwa ajili Yake, na mwanamume aliyetakwa na mwanamke mrembo akasema: Mimi namkhofu Allah, na mwanamume aliyetoa sadaka yake akaificha hata mkono wa kushoto usijue nini ulichotoa mkono wa kulia, na mwanamume aliyemkumbuka Allaah pekee macho yake yakatokwa machozi)). 13 6. Muumin anapaswa ajiepushe na uchoyo, ubakhili wa nafsi na badala yake kuwapendelea wenziwe wapate anachokihitajia yeye, ili apate kuwa miongoni mwa watakaofaulu. [Al-Hashr 59: 9, At-Taghaabun 64: 16, Kisa cha Abu Twalha na Ummu Sulaym Rumayswaa bint Milhan walipopata wageni wakawakirimu ilhali wao walikuwa wana njaa]. 13 Al-Bukhaariy na Muslim.

3 Hadiyth Ya 76 Fikisheni Ujumbe Japo Kwa Aayah Moja, Atakayemwongopea Mtume Ajitayarishie Makazi Yake Motoni, )) : ( ) ((, Imepokelewa kutoka kwa Abdullaah bin Amr Al- Aasw ( ) kwamba Mtume ( ) amesema: ((Fikisheni kutoka kwangu japo Aayah moja. Na simulieni kuhusu habari za Wana wa Israaiyl wala hakuna dhambi [ubaya]. Na mwenye kunizulia uongo kwa makusudi, basi ajiandalie makazi yake motoni)). 14 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Umuhimu wa kufikisha ujumbe, kuamrishana mema na kukatazana maovu japo kwa Aayah moja au Hadiyth moja. [Aal- Imraan 3: 104, At-Tawbah 9: 71, 112, Al-Hajj 22: 41]. «!$Î/ tβθãζïβ σè?uρ Ì x6ζßϑø9$# Ç tã šχöθyγ Ψs?uρ Å ρã èyϑø9$î/ tβρâ ß ù's? Ä $ Ψ=Ï9 ômy_ì zé& >π Βé& u ö yz öνçgζä. ((Mmekuwa Ummah bora kabisa uliotolewa kwa watu; mnaamrisha ma aruwf [Uislamu, wema] na mnakataza munkar [maovu] na mnamwamini Allaah)) 15 2. Umuhimu wa kutafuta na kujifunza elimu sahihi ili kutokubalighisha Hadiyth dhaifu au mambo ya uzushi. 3. Kuruhusiwa kusimulia habari za Wana wa Israaiyl ili kupata mafunzo na mazingatio, ila la muhimu ni kuhakikisha masimulizi yamethibiti usahihi wake. 4. Kuzusha yasiyo sahihi ni miongoni mwa madhambi makubwa kwa vile yanamfikisha mtu motoni. 14 Al-Bukhaariy. 15 Aal- Imraan (3: 110).

5. Mwenye hadhari na khofu ya kuzusha mafunzo yasiyo sahihi na kumzulia uongo Mtume ( ), anadhihirisha wazi mapenzi yake kwa Mtume ( ), kwani hakuna apendaye kumzulia uongo kipenzi chake. 6. Kumzulia Mtume ( ) uongo ni katika madhambi makubwa ya kumuingiza mtu Motoni, kwa hiyo kila mmoja wetu atahadhari sana.

4 ( Hadiyth Ya 77 Amali Zinakatika Isipokuwa Mambo Matatu: Sadaka Inayoendelea, Elimu Inayonufaisha, Mwana Mwema )) : ( ) ((, :, Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) kwamba Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Mwanaadamu akifa, amali zake hukatika isipokuwa mambo matatu: Sadaka inayoendelea, au elimu inayonufaisha, au mtoto mwema anayemuombea du aa)). 16 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Umuhimu wa kutenda mema yatakayomfaa mwanaadamu Aakhirah baada ya kufariki kwake. [Al-Hashr 59: 18, Yaasiyn 36: 12]. $yϑî/ 7 Î7yz!$# βî)!$# (#θà)?$#uρ 7 tóï9 ômtβ s% $ Β Ó ø tρ ö ÝàΖtFø9uρ!$# (#θà)?$# (#θãζtβ#u š Ï%!$# $pκš r' tƒ tβθè=yϑ ès? ((Enyi mlioamini! Mcheni Allaah na kila mtu aangalie anayoyatanguliza kwa ajili ya kesho [Aakhirah], na mcheni Allaah. Hakika Allaah ni Khabiyr - Mwenye Khabari zote za mnayoyatenda)). 17 2. Kutoa sadaka katika Jihaad fiy SabiliLlaah (Njia ya Allaah), kama kujenga Msikiti, kuchimba kisima, hospitali, kuacha shamba linalotoa mazao n.k. 3. Umuhimu wa kujifunza elimu ya Dini na kuifunza ili ibakie kunufaisha watu, kuandaa madarasa, kuandika vitabu n.k. [Fadhila za elimu nyingi zimetajwa katika Hadiyth mbalimbali; mfano Rejea Hadiyth namba 16, 79, 81]. 16 Muslim. 17 Al-Hashr (59: 18).

4. Umuhimu wa kulea watoto malezi mema ya Kiislamu ili watoke wana wema watakaomwombea mtu baada ya kufariki kwake. [Du aa ya kuomba: Al- Furqaan 25: 74, Aal Imraan 3: 38]. 5. Hakuna atakayeweza kumfaa mwenziwe Siku ya Qiyaamah ila amali zake tu alizozitenda. [An-Najm 53: 39-41]. Zaidi yake ni du aa ya mwana mwema. 6. Kila mtu afanye juhudi ya kufanya amali njema kabla ya kumfikia wakati ambao hatofaliwa ila kwa yale aliyoyatenda.

3 Hadiyth Ya 78 Viumbe Vyote Vinawaombea Wanaofunza Watu Kheri )) : ( ), )) : ((. ((, Imepokelewa kutoka kwa Abu Umaamah ( ) kwamba Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Ubora wa Mwanachuoni juu ya mfanya Ibaadah, ni kama ubora wangu juu ya mwenye daraja ya chini miongoni mwenu)). Kisha Mtume wa Allaah ( ) akasema: ((Hakika Allaah na Malaika Wake, na walio mbinguni, hata wadudu chungu waliomo katika mashimo yao, na hata samaki, wanawaombea maghfira wanaowafundisha watu kheri)). 18 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Fadhila adhimu za mwenye elimu ya Dini kwamba viumbe vyote vinamuombea maghfira. 2. Ukumbusho wa fadhila za mwenye elimu [Aal- Imraan 3: 18, An-Nisaa 4: 83, Al- Ankabuut 29: 49, Az-Zumar 39: 9, Al-Mujaadalah 58: 11]. (#àσ yϑn=ãèø9$# ÍνÏŠ$t6Ïã ô ÏΒ!$# ý øƒs $yϑ ΡÎ) ((Hakika wanaomkhofu Allaah miongoni mwa waja Wake ni Maúlamaa [Wanavyuoni])). 19 3. Himizo la kutenda linalomfaa mtu nafsi yake na wenginewe, jambo ambalo litamnufaisha hata baada ya kufariki kwake. [Rejea Hadiyth namba 78]. 4. Kutafuta elimu ya kufikia cheo cha mwalimu au Mwanachuoni ni bora zaidi kuliko Ibaadah za naafilah (Sunnah), kwani Ibaadah inamnufaisha mtu pekee, lakini elimu haimnufaishi pekee, bali hata wengineo. 18 At-Tirmidhiy na amesema Hadiyth Hasan. 19 Faatwir (35: 28).

5. Dhihirisho la kuwapa heshima Ma ulamaa na wanafunzi na kuwaombea. 6. Hadiyth hii inahimiza na kutilia nguvu mno suala la kutafuta elimu na kufunza watu.

4 Hadiyth Ya 79 Fadhila Za Swalaah Ya Jama aah )) : ( ) (( Imepokelewa kutoka kwa bin Umar ( ) kwamba Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Swalaah ya Jama aah ni bora kuliko Swalaah ya pekee kwa daraja ishirini na saba)). 20 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Umuhimu na amri ya kutekeleza amri ya kuswali Jamaa kama Swalaah ya Ijumaa. [Al-Jumu ah 62: 9-11]. yìø t7ø9$# (#ρâ sœuρ «!$# Ì ø.ïœ 4 n<î) (#öθyèó $sù Ïπyèßϑàfø9$# ÏΘöθtƒ ÏΒ Íο4θn= Á=Ï9 š ÏŠθçΡ #sœî) (#þθãζtβ#u t Ï%!$# $pκš r' tƒ tβθßϑn= ès? óοçgψä. βî) öνä3 9 ö yz öνä3ï9 sœ ((Enyi mlioamini! Kukiadhiniwa kwa ajili ya Swalaah siku ya Ijumaa, nendeni upesi kumdhukuru Allaah, na acheni biashara. Kufanya hivi ni bora kwenu ikiwa mnajua haya [basi fanyeni])). 21 2. Umuhimu wake hadi kwamba katika vita inawapasa Waislamu waswali jama aah. [An-Nisaa 4: 102]. 3. Muislamu ana fursa za kujichumia thawabu nyingi na kubwa kwa kuswali jama aah. [Hadiyth: ((Atakayeswali Swalaah ya Ishaa katika Jama aah, atakuwa kama kwamba amesimama nusu ya usiku mzima. Na atakayeswali Asubuhi katika Jama aah atakuwa kama kwamba ameswali usiku wote)). 22 Pia: ((Atakayehudhuria Swalaah ya Ishaa katika Jama aah, atakuwa kama kwamba amesimama nusu usiku, na atakayeswali Ishaa na Alfajiri katika Jama aah, atakuwa kama kasimama usiku mzima)). 23 20 Al-Bukhaariy na Muslim. 21 Al-Jumu ah (62: 9). 22 Muslim. 23 At-Tirmidhiy Hadiyth Hasan.

4. Bainisho la fadhila kuu kabisa ya kuswali jama aah katika Hadiyth: ((Lau wangelijua faida katika [Swalaah ya] Ishaa na Asubuhi, basi wangeliziendea [kuziswali] japo kwa kutambaa)). 24 5. Umuhimu wake mwengine katika Hadiyth ya Abu Dardaa amemsikia Mtume ( ) akisema: ((Hakuna mahala penye watu watatu kitongojini au jangwani ambapo hakusimamishwi Swalaah miongoni mwao, isipokuwa shaytwaan huwaghilibu. Basi shikamaneni na jama aah hakika mbwa mwitu humla mbuzi alie mbali. [aliye peke yake])). 25 6. Imetajwa umuhimu wake pia katika Hadiyth ya kipofu aliyemwendea Mtume ( ) kumtaka ruhusa asihudhurie Swalaah kwa vile hana wa kumuongoza, lakini Mtume ( ) alimwambia madamu anasikia muadhini ajibu (mwito wa kwenda kuswali jama aah Msikitini). 7. Anayeacha kuswali jama aah amefananishwa na mnafiki. [Hadiyth: ((Hakuna Swalaah iliyo nzito kwa wanafiki kama Swalaah ya Alfajiri na Ishaa. Lau kama wangelijua yaliyomo humo [fadhila na faida] wangeliziendea [kuziswali] japo kwa kutambaa)). 26 8. Uislamu unasisitiza umoja kwa kila upande na hali. [Aal- Imraan 3: 200] [Rejea Hadiyth namba: 20]. 24 Al-Bukhaariy na Muslim. 25 Abu Daawuwd, isnaad yake Jayyid. 26 Al-Bukhaariy na Muslim.

4 Hadiyth Ya 80 Anayebalighisha Ujumbe Wa Dini Ananeemeshwa Na Allaah )) : : ( ) : ((, Imepokelewa kutoka kwa bin Mas uwd ( ) ambaye amesema: Nilimsikia Mtume ( ) akisema: ((Allaah Amneemeshe mtu aliyesikia kitu kutoka kwetu naye akakibalighisha kama alivyosikia. Huenda anayefikishiwa akawa ana fahamu zaidi kuliko aliyesikia)). 27 Mafunzo Na Hidaaya: 1. Fadhila na himizo la kutafuta elimu. [Rejea Hadiyth namba 16, 79]. 2. Umuhimu wa kulingania Dini japo kwa Aayah moja. [Rejea Hadiyth namba 77]. 3. Amana na jukumu la kubalighisha elimu sahihi. 4. Umuhimu wa kuhifadhi Qur-aan na Hadiyth. zοù=ïèø9$# (#θè?ρé& š Ï%!$# Í ρß ß¹ Îû M oψéi t/ 7M tƒ#u uθèδ ö t/ ((Bali hizi ni Aayah bayana kabisa [zimehifadhiwa] katika vifua vya wale waliopewa elimu)). 28 5. Athari ya sikio na umuhimu wa kusikiliza mawaidha. 6. Umuhimu wa kufikisha kwa wengine ambao hawakupata fursa ya kusikia. 7. Tofauti baina ya viumbe vya Allaah ( ) kwa jinsi ambavyo mwenye kusikia huenda akawa na kipawa kizuri zaidi cha kufikisha kuliko aliyetoa mwanzoni. 27 At-Tirmidhiy na amesema Hadiyth Hasan Swahiyh. 28 Al- Ankabuwt (29: 49).