IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU

Σχετικά έγγραφα
MUONGOZO RAHISI WA RAIA KUHUSU UCHAGUZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014

SURA YA 95 SHERIA YA MADAWA NA UZUIAJI WA USAFIRISHAJI WA MADAWA HARAMU SHERIA KUU MPANGILIO WA VIFUNGU SEHEMU YA 1 MASHARTI YA MWANZO

Mradi wa Misitu ya Jamii MJUMITA (Lindi) Wilaya ya Lindi Vijijini na Manispaa ya Lindi, Mkoa wa Lindi, Tanzania

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Hadiyth Ya 11 Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na Kitu; Ya Juu Ni Tawhiyd, Na Ya Chini Kabisa Ni Kuondosha Taka Njiani

i Kiswahili (TE) Class 1.indd i 5/30/14 8:07 PM


Kuondoa Utata Uliyomo katika Tafauti ya Muandamo

Yaliyomo. ~ Ukurasa 3 ~

KILIMO CHA ZAO LA VANILLA


Kiswahili TE(C2).indd i 5/30/14 8:14 PM

IMAM MAHDI (A.S.) NI TUMAINI LA MATAIFA

Hadiyth Ya 71 Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema )) :

Hadiyth Ya 131 Allaah Ameridhia Kuabudiwa, Kutokumshirikisha, Kuungana Na Anachukia Uvumi, Udadisi Na Kupoteza Mali ( )

Hadiyth Ya 1 Allaah Hatazami Miili Wala Sura, Bali Anatazama Nyoyoni

Mafundisho Ya Madhehebu

AHLUL ~ KISAA. Mkusanyiko wa sifa na tarehe za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), Imamu Ali, Bibi Fatimah, Imamu Hassan na Imamu Hussein

Hadiyth Ya 61 Dunia Ni Kama Kivuli Anachokitumia Msafiri Kwa Muda Tu

Ummu Iyyaad Imepitiwa Na: Abu Abdillaah Muhammad Baawazir

Idghaam haiwezekani ikawa katika neno moja bali ni lazima nuwn saakinah au tanwiyn iweko mwisho wa neno la kwanza, na herufi inayoingizwa hiyo

MATESO YA DHURIA YA MTUME

Ni kusimama katika neno lakini hata ukiunganisha yanayofuatia haiharibu maana. Ni lazima kusimama kwani kuunganisha na yanayofuatia kutaharibu maana.

Hadiyth Ya 111 Wanaume Na Wanawake Wasio Maharimu Wasitazamane Uchi Wala Wasilale Pamoja

25-Faharasa. Matamshi. Tamshi moja ni lafdhw. Iliyo na nguvu kabisa, inayodhaniwa kuwa sahihi kabisa, rai inayokubalika kabisa.

ΛΕΞΙΚΟΝ ΕΛΛΗΝΟ-ΣΟΥΑΧΙΛΙ

05- Fadhila Za Umrah Na Hajj

FORD KA KA_202054_V2_2013_Cover.indd /06/ :51

Japanese Fuzzy String Matching in Cooking Recipes

ΙΑΦΑ Φ ΝΕΙ Ε ΕΣ Ε ΧΗΜΕ Μ Ι Ε ΑΣ ΓΥΜΝ Μ ΑΣΙΟΥ H

Gapso t e q u t e n t a g ebra P open parenthesis N closing parenthesis fin i s a.. pheno mno nd iscovere \ centerline

Estimation of grain boundary segregation enthalpy and its role in stable nanocrystalline alloy design

Για να εμφανιστούν σωστά οι χαρακτήρες της Γραμμικής Β, πρέπει να κάνετε download και install τα fonts της Linear B που υπάρχουν στο τμήμα Downloads.

K r i t i k i P u b l i s h i n g - d r a f t

Ispitivanje toka i skiciranje grafika funkcija

ΘΕΜΑΤΑ ΠΑΝΕΛΛΑΔΙΚΩΝ ΕΞΕΤΑΣΕΩΝ ΕΝΙΑΙΟΥ ΛΥΚΕΙΟΥ ΜΑΘΗΜΑ: ΧΗΜΕΙΑ ΚΑΤΕΥΘΥΝΣΗΣ (ΠΕΡΙΕΧΟΝΤΑΙ ΚΑΙ ΟΙ ΕΠΑΝΑΛΗΠΤΙΚΕΣ ΕΞΕΤΑΣΕΙΣ)

ΓΗ ΚΑΙ ΣΥΜΠΑΝ. Εικόνα 1. Φωτογραφία του γαλαξία μας (από αρχείο της NASA)

1. Ma trận A = Ký hiệu tắt A = [a ij ] m n hoặc A = (a ij ) m n

ΜΕΛΕΤΗ ΤΗΣ ΥΝΑΤΟΤΗΤΑΣ ΑΞΙΟΠΟΙΗΣΗΣ ΤΟΥ ΓΕΩΘΕΡΜΙΚΟΥ ΠΕ ΙΟΥ ΘΕΡΜΩΝ ΝΙΓΡΙΤΑΣ (Ν. ΣΕΡΡΩΝ)

Meren virsi Eino Leino

bab.la Φράσεις: Ταξίδι Τρώγοντας έξω ελληνικά-ελληνικά

Τμήμα Γεωτεχνολογίας & Περιβάλλοντος

ΑΡΙΘΜΟΣ ΟΞΕΙΔΩΣΗΣ - ΓΡΑΦΗ ΧΗΜΙΚΩΝ ΤΥΠΩΝ- ΟΝΟΜΑΤΟΛΟΓΙΑ

Νόµοςπεριοδικότητας του Moseley:Η χηµική συµπεριφορά (οι ιδιότητες) των στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού.

2742/ 207/ / «&»

HONDA. Έτος κατασκευής

Για την κωδικοποίηση της αρμανικής. Prof. Dr. Thede KAHL POLIS ART CAFE ΑΘΗΝΑ 23 IAN 2014

Το άτομο του Υδρογόνου

Απαντήσεις Προτεινόμενων Θεμάτων στη Χημεία Γ Λυκείου

AΝΑΛΟΓΙΑ ΜΑΖΩΝ ΣΤΟΧΕΙΩΝ ΧΗΜΙΚΗΣ ΕΝΩΣΗΣ

Λίζα Βάρβογλη Εικονογράφηση: Γιώργος Πετρίδης

Na/K (mole) A/CNK

Συμβούλιο της Ευρωπαϊκής Ένωσης Βρυξέλλες, 7 Μαρτίου 2017 (OR. en)

Ax = b. 7x = 21. x = 21 7 = 3.

ΤΜΗΜΑ ΧΗΜΕΙΑΣ ΠΑΝΕΠΙΣΤΗΜΙΟ ΙΩΑΝΝΙΝΩΝ ΑΝΟΡΓΑΝΗ ΧΗΜΕΙΑ ΙΙΙ ΣΗΜΕΙΩΣΕΙΣ ΔΙΑΛΕΞΕΩΝ

Διανύσματα. (α) μέτρο, (β) διεύθυνση και. (γ) φορά. (κατεύθυνση=διεύθυνση+φορά).

ΠΑΝΕΠΙΣΤΗΜΙΟ ΠΑΤΡΩΝ ΤΜΗΜΑ ΒΙΟΛΟΓΙΑΣ. Τοµέας Γενετικής, Βιολογίας Κυττάρου και Ανάπτυξης

6. ΤΕΛΙΚΗ ΙΑΘΕΣΗ ΤΑΦΗ Γενικά

,

#%" )*& ##+," $ -,!./" %#/%0! %,!

..,..,.. ! " # $ % #! & %

Στρωματογραφία-Ιστορική γεωλογία. Κρυπτοζωικός Μεγααιώνας Δρ. Ηλιόπουλος Γεώργιος Σχολή Θετικών Επιστημών Τμήμα Γεωλογίας

Μεταπτυχιακό Μάθημα Ποιότητα Ισχύος. 1η ενότητα : Εισαγωγή 1

Tuyển chọn Đề và đáp án : Luyện thi thử Đại Học của các trường trong nước năm 2012.

MOSFETs. MOSFETs. High Voltage MOSFET (THD Type) Max. Ratings R DS(ON) ( ) Q g (nc) Outline (Unit: mm) Type No.

ΟΡΥΚΤΟΛΟΓΙΑ ΤΟΜΕΑΣ ΓΕΩΛΟΓΙΚΩΝ ΕΠΙΣΤΗΜΩΝ ΤΜΗΜΑ ΜΗΧΑΝΙΚΩΝ ΜΕΤΑΛΛΕΙΩΝ - ΜΕΤΑΛΛΟΥΡΓΩΝ ΜΑΘΗΜΑ 2. ΟΡΥΚΤΑ - ΠΕΤΡΩΜΑΤΑ

APPENDIX I PITTSBURGH NO. 8 WASHABILITY DATA AND RECOVERY- CURVES

ΘΕΜΑΤΑ ΑΠΟ ΠΜΔΧ ΣΧΕΤΙΚΑ ΜΕ ΤΟ 1 ΚΕΦΑΛΑΙΟ ΤΗΣ Γ ΛΥΚΕΙΟΥ

Χηµεία Θετικής Κατεύθυνσης Γ Λυκείου 2001

,+ 2 1ntr0du~a0 TABLE OF CONTENTS. a * 4. LT\,? .fi T? PAGE. n - q;.;.+e Afos ao carbono. Conepxakiue. CTpa~uqa ~Zgina Ukuras a

!"!# ""$ %%"" %$" &" %" "!'! " #$!

Η ΦΩΤΟΛΙΘΟΓΡΑΦΙΑ & ΟΙ ΕΞΕΛΙΞΕΙΣ ΤΗΣ. Ε. Κ. Παλούρα, Καθηγήτρια ΠΜΣ «Φυσική & τεχνολογία υλικών» Τμήμα Φυσικής ΑΠΘ

MICROMASTER Vector MIDIMASTER Vector

Å/ ÅÃ... YD/ kod

ΑΠΑΝΤΗΣΕΙΣ ΤΩΝ ΘΕΜΑΤΩΝ

ΕΞΕΤΑΣΤΙΚΗ ΠΕΡΙΟΔΟΣ ΦΕΒΡΟΥΑΡΙΟΥ 2011 ΟΙΚΟΝΟΜΙΚΑ ΚΑΙ ΧΡΗΜΑΤΟΟΙΚΟΝΟΜΙΚΑ ΜΑΘΗΜΑΤΙΚΑ 14 ΦΕΒΡΟΥΑΡΙΟΥ 2011

Cenovnik spiro kanala i opreme - FON Inžinjering D.O.O.

ΣΥΝΔΕΣΜΟΣ ΣΙΦΝΑΪΚΩΝ ΜΕΛΕΤΩΝ ΠΡΑΚΤΙΚΑ Β ΔΙΕΘΝΟΥΣ ΣΙΦΝΑΪΚΟΥ ΣΥΜΠΟΣΙΟΥ ΣΙΦΝΟΣ ΙΟΥΝΙΟΥ 2002 ΕΙΣ ΜΝΗΜΗΝ ΝΙΚΟΛΑΟΥ ΒΕΡΝΙΚΟΥ - ΕΥΓΕΝΙΔΗ

Quantum dot sensitized solar cells with efficiency over 12% based on tetraethyl orthosilicate additive in polysulfide electrolyte

ΑΠΑΝΤΗΣΕΙΣ ΘΕΜΑ Α ΜΑΘΗΜΑ / ΤΑΞΗ : ΧΗΜΕΙΑ ΚΑΤ. /Γ ΛΥΚΕΙΟΥ (ΧΕΙΜΕΡΙΝΑ-ΑΠΟΦΟΙΤΟΙ) ΣΕΙΡΑ: ΗΜΕΡΟΜΗΝΙΑ: 27/01/2013

ΕΙΣΑΓΩΓΗ ΣΤHN. Δρ. Α. ΤΖΑΝΗ

!"! # $ %"" & ' ( ! " # '' # $ # # " %( *++*

ΕΘΝΙΚΟ ΜΕΤΣΟΒΙΟ ΠΟΛΥΤΕΧΝΕΙΟ ΔΙΕΠΙΣΤΗΜΟΝΙΚΟ ΔΙΑΤΜΗΜΑΤΙΚΟ ΠΡΟΓΡΑΜΜΑ ΜΕΤΑΠΤΥΧΙΑΚΩΝ ΣΠΟΥΔΩΝ (Δ.Π.Μ.Σ.) «ΠΕΡΙΒΑΛΛΟΝ ΚΑΙ ΑΝΑΠΤΥΞΗ»

Γενική Χημεία. Νίκος Ξεκουκουλωτάκης Επίκουρος Καθηγητής

ΝΟΜΟΣ ΤΗΣ ΠΕΡΙΟ ΙΚΟΤΗΤΑΣ : Οι ιδιότητες των χηµικών στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού.

Ni hamzah inayotamkwa katika neno na haitamkwi (hutoweka) wakati wa kuunganisha na neno la nyuma yake.

ΕΠΙΣΤΗΜΗ ΤΩΝ ΥΛΙΚΩΝ Ενότητα:

ΠΑΡΑΡΤΗΜΑ V. Πρότυπα δυναμικά αναγωγής ( ) ΠΡΟΤΥΠΑ ΔΥΝΑΜΙΚΑ ΑΝΑΓΩΓΗΣ ΣΤΟΥΣ 25 o C. Ημιαντιδράσεις αναγωγής , V. Antimony. Bromine. Arsenic.

ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΟ ΕΚΠΑΙΔΕΥΤΙΚΟ ΙΔΡΥΜΑ ΚΑΒΑΛΑΣ ΣΧΟΛΗ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΩΝ ΕΦΑΡΜΟΓΩΝ ΤΜΗΜΑ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΑΣ ΠΕΤΡΕΛΑΙΟΥ & Φ.ΑΕΡΙΟΥ ΠΤΥΧΙΑΚΗ ΕΡΓΑΣΙΑ

panagiotisathanasopoulos.gr

ΤΕΧΝΙΚΗ ΠΕΡΙΓΡΑΦΗ TD 81/2 ΥΠΑΙΘΡΙΟΙ ΜΟΝΩΤΗΡΕΣ ΣΤΗΡΙΞΗΣ 400KV, ΚΥΛΙΝΔΡΙΚΟΙ ΣΥΜΠΑΓΟΥΣ ΠΥΡΗΝΟΣ ΜΕ ΕΞΩΤΕΡΙΚΑ ΜΕΤΑΛΛΙΚΑ ΕΞΑΡΤΗΜΑΤΑ ΕΦΑΡΜΟΓΗΣ

ΜΑΘΗΜΑ / ΤΑΞΗ : ΧΗΜΕΙΑ - ΒΙΟΧΗΜΕΙΑ/Γ ΛΥΚΕΙΟΥ ΣΕΙΡΑ: ΘΕΡΙΝΑ ΗΜΕΡΟΜΗΝΙΑ: 26/01/2014

ΓΕΩΧΗΜΕΙΑ Δ ΕΞΑΜΗΝΟ ΕΙΣΑΓΩΓΗ- ΠΕΡΙΕΧΟΜΕΝΑ ΜΑΘΗΜΑΤΟΣ. Χριστίνα Στουραϊτη

Dijagrami: Greda i konzola. Prosta greda. II. Dijagrami unutarnjih sila. 2. Popre nih sila TZ 3. Momenata savijanja My. 1. Uzdužnih sila N. 11.

Αναπληρωτής Καθηγητής Τμήμα Συντήρησης Αρχαιοτήτων και Έργων Τέχνης Πανεπιστήμιο Δυτικής Αττικής - ΣΑΕΤ

Si + Al Mg Fe + Mn +Ni Ca rim Ca p.f.u

Negocios Carta. Carta - Dirección

ΠΕΡΙΟΔΙΚΟ ΣΥΣΤΗΜΑ ΤΩΝ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ (1) Ηλία Σκαλτσά ΠΕ ο Γυμνάσιο Αγ. Παρασκευής

Αριθμός 4520 Παρασκευή, 13 ίουλίου 2012

( ) 1995.» 3 ( ). 10 ( ) ( ) 1986, ( ) (1) 3,, ( ),,,,».,,,

Transcript:

TUME YA UTUMISHI WA UMMA IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU WAJIBU MKUU WA MWALIMU Wajibu mkuu wa mwalimu ambao ndio Nguzo Tano za kazi ya ualimu ni:-.kwa MTOTO 2.KWA JUMUIYA 3.KWA KAZI YAKE 4.KWA TAIFA.KWA MTOTO Nguzo hii inamtaka mwalimu akubali kwamba wajibu wake mkuu ni kwa mtoto ambaye amekabidhiwa kumleana kwamba kwa wakati wote anatakiwa kumwongoza kwa kumkuza na kumwendeleza kimwili,kiakili na kiroho. 2KWA JUMUIYA nguzo hii inamtaka mwalimu kuijua jumu7iya ambamo anaishi na kufanyia kazi na kutii mamlaka halali na tabia yake mwenyewe kuwas mfano bora kwa wanajumuiya. 3 KWA MWAJIRI WAKE Nguzo hii inamtaka mwalimu kumtumikia mwajiri wake kwa utii na kwa uaminifu kwa mujibu wa masharti ya kazi ya ualimu 4.KWA KAZI YAKE YA UALIMU Nguzo hii inamtaka Mwalimu kufuata kwa wakati wote na kwahali ya juu kabisa Maadili mema ya kazi ya ualimupamoja na:- λ kufanya kazi kwa bidii na kwa kufuata utaratibu λ Kuwa mfano mzuri katika tabia wakati wote kwa watoto waliochini ya ulinzi wake na hata watoto wengine katika jamii.

/kujaribu kila wakati kuinua kiwango cha utendaji nauwezo wa kufanya kazi /kutotumia vibaya haki zinazoambatana na utumishi wa umma. 5.KWA TAIFA LAKE! Nguzo hii inamtaka mwalimu kuwa mzalendo na raia mwema na mtii wa sheria za nchi na mwelekezaji wa watoto kuwa wazalendo safi na raia wema wa baadae kwa kuzingatia wajibu wa mwalimu kwa kazi yake ya ualimu Mwalimu anategemewa kuwa na tabia na mwenendo mzuri wa kufaa kuigwa na kustahili kupewa heshima na kuaminiwa na jumuia,wazazina wanafunzi. Mwalimu yeyoteanayekwenda kinyume na maadili na masharti ya kazi ya ualimu anakuwa nimtovu wa nidhamu. HAKI ZA MWALIMU LIKIZO YA MWAKA(Annual leave) Kwa mujibu wa kanuni za kudumu za watumishi wa umma 2009 kifungu H.5(ii)kikisomwa pamoja na kanuni za utumishi wa umma,2003 kifungu cha97(i)mtumishi wa umma anayostahili yaya kupewa likizo siku 28kila mwaka.aidha kifungu cha 97 (ii) kinaeleza kuwa likizo ni haki ya mtumishi. Inapokuwa haitolewina mwajiri kwasababu mbalimbali basi mwajiri atawajibika kumlipa mtumishi mshahara wake wa mwezi.mtumishi hatopewa likizo ya mwaka hadi amefikisha miezi 8 tangu kuajiliwa rasmi(kanuni Na.97:za 2003).Mtumishi atapewa usafiri wa likizo mara moja ndani ya mzunguko wa miaka miwili yeye, mkewe na watoto wane chini ya umri wa miaka 8 au wategemezi,kanuni Na.97(5). LIKIZO YA UZAZI(Maternity leave).! Kifungu Na.98(),2003 Mtumishi wa kike atapewa likizo ya uzazi siku 84 mara moja kila baada ya miaka (3) kumaliza likizo yake,akijifungua mapacha atastahili likizo yasiku 00,kwa kwa mujibu wa T.S.S,2008,47() Kifungu 98 (2 ) Mtumishi anapojifungua kwa bahati mbaya mtoto akafariki kabla ya miezi 2 Kumalizika.Akipata mimba atastahili likizo ya uzazi siku 84. Kifungua Na. 98 (3). Mtumishi aliyejifungua astastahili muda wa saa mbili kwenda kunyonyesha hadi kipindi cha miezi sita (6). Mtumishi wa Kiume, mkewe akijifungua atapewa likizo ya siku tatu. (T.S.S 48) LIKIZO BILA MALIPO. Kifungu Na.99 () cha kanuni za utumishi wa umma 2003.Katibu Mkuu ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma anaweza kutoa likizo bila malipo kama ataridhika na sababu za maombi ya likizo hiyo.hata hivyo maombi hayo ni lazima yapitie kwa Mwajiri kanuni 99(2).

LIKIZO YA UGONJWA. Kifungu Na.00 () cha ushauri wa Daktari,Mamlaka ya ajira inaweza kutoa likizo ya ugonjwa.likizo hutolewa miezi sita na mshahara kamili na miezi sita mingine kwa nusu mshahara. SABATICAL LEAVE. Kifungu 0 () Likizo hii hutolewa kwa mwajiri ili kukamilisha au kuimarisha uzoefu.likizo hii ni lazima iindhinishwe nakatibu Mkuu Menejimenti ya Utumishi wa Umma.Likizo hii hupewa Mtumishi si zaidi ya miezi 2 na hutolewa baada ya Mtumishi kufanya kazi mfululizo miaka mitano,kanuni Na.0 (4). LIKIZO YA KUSTAAFU.(Leave pending retirement) Kanuni Na 02 za 2003,Mtumishi wa Umma atastahili kuomba likizo ya kujiandaa kustaafu mwezi mmoja kabla ya tarehe rasmi ya kustaafu kwake.atastahili kupewa usafiri wa kumrejesha kwao yeye na familia yake pamoja na mizigo sio chini ya tani tatu kulingana na daraja lake. MATIBABU KWA WATUMISHI WA UMMA Kifungu.K.(i) za kanuni za kudumu 2009 ikisomwa pamoja na kifungu cha 05 cha kanuni za Utumishi wa umma Mtumishi anastahili kupata matibabu bure. Hata hivyo kuna utaratibu wa bima ya afya. Mtumishi akilazimika kusafiri kwenda Hospitali ya Rufaa mwajiri atahusika kugharamia posho ya kujikimu na nauli. Vitu muhimu. λ Barua ya rufaa. λ Barua ya ruhusa tota kwa mwajir λ Fomu Appendix K 28$29 Fomu bya madai ya posho. λ Fomu Appendex K/V ya madai ya naului ikiambatana na tiketi K.26 λ Kadi ya mahudhurio hospitali λ Sickshhet. FIDIA YA KUUMIA KAZINI. Kanuni Na.(-5) inaeleza hatua mbalimbali za kufuata pindi mtumishi anapopatwa na matatizo kazini. Mtumishi anayeumia atalipwa fidia sio chini ya shilingin,000,000/= na sio zaidi zaidi ya shilingi 0,000,000/= hutemea na hali ya maumivu au kufariki. Kifungu ch 0 kinaelezea kwamba mtumishi anapoumia wakati wa kuteke laza majukumu ya ajira yake anastahili fidia na inamtaka mtumishi kujikinga na hali ambayo inaweza kuathiri afya yake.

KUJIENDELEZA Kanuni Na.03 inaeleza kamba ni wajibu wa mwajiri kuwaendeleza watumishi wake. Kutokana na tathimini ya kazi, mwajiri atabainisha mahitaji ya kuendeleza watumishi. Watumishi ni lazima wajiendeleze katika fani kwa lengo la kuboresha ufanisi. Kuandaa mpango kazi wa mafunzo ka watumishi. -Vtendo vyovote vinavyopingana na utaratibu za kiutumishi -Uzembe unaomgharimu mwajiri -kuiuka maadili ya kazi ya ualimu(ya utumishi wa umma) Adhabu zake -kufukuzwa kazi bila Utumishi. -kufukuzwa kazi na utumishi -kushushwa cheo. -kushushwa mshahara si chini ya kiwango ulichoanzia kazi -kulipa gharama au sehemu ya gharama kwa upotevu au uharibifu uliotokana na uzembe -karipio -Onyo -Kusimamishwa nyongeza ya mshahara. KUTENDELEA NA MAJUKUMU KA KUPUMNZISHWA Mtumishi anapumzishwa bila kusimamishwa kazi na bila kuathiri maslahi yake..lengo lake ni kuzuia kosa lisiendelee kutendeka wakati wa uchunguzi wa awali ukifanyika,(kanuni Na.37) KUSIMAMISHWA KAZI Mtumishi husimamishwa kazi na kupewa Hati ya mashtaka.hatua hii ni baada ya Mamlaka ya nidhamu kuridhika kuwa kuna tuhuma za ukweli dhidi ya mtumishi husika.(kanuni 38) KUREKEBISHA MASHTAKA Mamlaka ya nidhamu inaruhusiwa kurekebisha mashtaka yasiyo sahii ndani ya siku zisizozidi 30 tangu Mshtakiwa alipopewa mashtaka ya awali(kanuni ya 38(3) ) NUSU MSHAHARA. Mtumishi aliyesimamishwa kazi anastahili nusu mshahara wake wa mwezi tu kwa kipindi chote alichosimamishwa kazi.iwapo mtumishi husika hatapatikanana hatia na hivyo kutofukuzwa kazi au kutopewa adhabu yoyote atalipwa nusu mshahara wake ambao hakulipwa wakati aliposimamishwa kazi lakini ameadhibiwa kwa adhabu nyingine, atalipwa robo ya mshahara wake. (kanuni ya 38-2,5 na 6.)

KUONDOKA KITUONI MTUMISHI ALIYESIMAMISHWA KAZI. Mtumishi aliye simamishwa kazi haruhusiwi kuondoka kituoni bila kuruhusiwa kwa maandisghi na mamlaka yake ya nidhamu kanuna ya 38 (7) ATHARI ZA KUFUKUZWA KAZI Mtumishi akifukuzwa kazi hupoteza haki zake. Hata hivyo mtumishi husika atalipwa pensheni ya mkupuo iwapo wakati huo alistahili pensheni ya kila mwezi.aidha, mtumishi aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai yanayo husu rushwa au hujuma,atapoteza haki au madai yake yote.(kanuni ya 40.2003) MTUMISHI ANAPOKABILIWA NA KESI YA JINAI. Mtumishi husika atasimamishwa kazi hadi kesi husika itakapohitimishwa.hatua zakinidhamu hazitachukuliwa au kuendelezwa dhidi yake.mashartina maelekezo yote yako kwenye kanuni ya 50 na 5 RUFAA Mtuhumiwa atapewa haki yake ya kukata rufaa kwenye MAMLAKA SAHIHI na MUDA MUAFAKA. Rufaa kwa walimu imeelezwa kwenye kanuni Na 26 ( hadi 3) ya kanuni za mtumishi wa umma,2003. Muda wa kuwasilisha rufaa ni siku 45 tangu tarehe aliyopata uamuzi w\a awali na rufaa ni lazima iwe kwa maandishi na inayowekwa wazi sababu za kupinga uamuzi na adhabu.mrufani anapaswa kuipatia mamlaka yake ya nidhamu nakala ya rufaa.iwapo hakufanya hivyo mamlaka ya nidhamu inapaswa kuwasilisha taarifa ya mwenendo wa hatua za nidhamu na maelezo/utetezi wake dhidi ya sababu za rufaa ndani ya siku 4, nakala kwa Mrufani (kanuni 6) KUAJIRIWA UPYA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Walimu wanaruhusiwa kuajiriwa upya katika utumishi wa umma baada ya kutumikia adhabu kwa muda usiopunngua miezi 2.Kanuni Na.20(d) ya kanuni za utumishi wa Umma 2003 imeelekeza kuwa kamati ya mkoa inatoa uamuzi juu ya suala hilo. Uamuzi wa kamati ya mkoa utawasilishawa kwa katibu wa tume kwa ajili ya kuwaombea kibali cha kuajiriwa upya walimu hao kwa katibu Mkuu kiongozi. HITIMISHO Lengo la mada hizi ni kuwaelimisha na kuwajengea uwezo Waratibu Elimu Kata, Walimu wakuu wa shule /Wakuu wa wa shule na Walimu walimu wote kwa ujumla katika kutekeleza majukumu mbalimbali katika maeneo yenu ya kazi kwa kuzingatia sheria,kanuni,taratibu na miongozo mbalimbali inayotolewa na serikali katika kuboresha Utumishi wa umma, mara kwa mara.

POSHO YA KUJIKIMU Kanunui ya 3 inaeleza kwamba Mtumishi wa Umma aliye ajiliwa anastahili kupewa:- λ Nauli yeye na mkewe?mumewe,watoto na wategemezi wasiozidi 4 λ Posho ya kujikimu kwa kiwango na idadi ya siku itakapokuwa imeandaliwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais menejiment ya Utumishi wa Umma. KUTIBITISHWA KAZINI. Kanuni Na.4 za 2003,Mtumishi wa Umma aliye ajiliwa kwa mashariti ya kudumu atakuwa chini ya matazamio kwa kuzingatia muundo wa Utumishi wake na haitazidi miezi kumi na miwili. Mkuu wa kituo/kazi atawajibika kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu:- λ Mtumishi kuthibitishwa kazini. λ Mtumishi kuongezewa muda wa matazamio ili kumwezesha kufanya kazi kwa ufanisi. λ Utumishi wa Mtumishi kusitishwa. KUPANDISHWA CHEO(KANUNI NA.5) Kupandishwa cheo kwa Mtumishi wa Umma kutategemea muda wa uutendaji,utendaji wa kazi uliokidhi malengo(ufanisi wa kazi) na Taaluma ya Mtumishi. Mtumishi akipandishwa cheo atakuwa kwenye matazamio kwa muda wa miezi 6.Kanuni Na.6(). UHAMISHO. Mtumishi anapohamishwa hustahili mambo yafuatayo;- Posho ya usumbufu asilimia 0 ya mshahara wa mwaka(kanuni za kudumu za 2009L3-2). Posho ya kujikimu atalipwa atalipwa siku 4 akiwa na mweza wake na watoto wake 4 chini ya umri wa miaka 8 na wategemezi 2 kanuni za kudumu 2009L(-2). Usafiri wake na familia yake pamoja na mizigo isio chini ya Tani tatu kutegemea na daraja lake9kanuni za kudumu za 200 J).

UHAMISHO WA KUOMBA. Mtumishi wa umma hatalipwa chochote anapoamba uhamisho kwa manufaa yake (isipokuwa )kama amekaakituo kimoja sio chini ya miaka mitano mfululizo au kama anataka kwenda kwao kujianda na kustaafu na awe amefanya kazi nje ya mkoa wake si chini ya miaka 0 mfululizo.(l.8 a-b).kustaafu kwa hiari. KUSTAAFU. Itakuwa miaka hamsini na tan,.sharti atoe taarifa ya kusudio lake miezi sita kabla ya kutimiza miaka 55 2 Kustaafu kwa ugonjwa. Kanuni namba 30,2003 Sheria namba 2 ya pensheni ya itimisho la kazi. Kwa ushauri wa daktari na jopo la madaktari mamlaka inaweza kupendekeza mwalimu astaafu kwa ugonjwa. 3Kustaafu kwa lazima. Mtumishi wa umma atalazimika kustaafu kwa lazima atimizapo umri wa miaka sitini. Atawajibika kutoa taarifa miezi sita kabla ili aweze kupata kibali kwa wakati. MAFAO YA KUSTAAFU. PENSHENI MIRATHI KIINUA MGONGO cha mkataba wa muda maalum. PENSHENI. Pensheni ni mafao ya hitimisho la kazi kwa mtumishi anaye staafu kwa:- λ lazima. Miaka 60. λ kwa hiari. Miaka 55. λ kwa ugonjwa

Pensheni inayolipwa na hazina ni kabla ya.7.2004, hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 73 (2) cha sheria ya mafao ya hitimisho la kazi na 2 ya 999 NIDHAMU AINA ZA MAKOSA MA ADHABU ZAKE. Sera ya menejimenti na ajira katika utumishi wa umma ya mwaka 999 katika aya za 5.37-37 zimeeleza kuwa KOSA ni kitendo cha utovu wa nidhamu kutokana na kukiuka maadili, kanuni na masharti ya kazi. Utaratibu wa kuzingatiwa katika kushughulikia utovu wa nidhamu umeelezwa bayana na kwamba adhabu zitatolewa kulingana na uzito wa kosa. Kwa mujibu wa kanuni Na.42 (2) na 43 (2) za kanuni za utumishi wa Umma za mwaka 2003,aina za makosa na adhabu zake zimeainishwa katika nyongeza Na.2. MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUCHUKUA HATUA ZA NIDHAMU. (a) uchunguzi wa awali. Kanuni Na.36 ni lazima mamlaka ya nidhamu ifanye uchunguzi wa awali kabla haijaanza hatua za nidhamun dhidi ya mtumishi. Hatua hii inasaidia kugundua ukweli kuhusu ukiukwaji na kujiridhisha kuwa mtumishi amehusika na kuwa kuna uwezekano wa kuthibitisha kosa dhidi yake. Hatua hii inapunguza uonevu unaoweza kuwepo kwa uchukuaji wa hatua za nidhamu kwa pupa. (b) makosa na adhabu,kanuni Na.53 na 59. makosa madogo madogo (summary proceedings) kanuni Na. 43. -kuchelewa kufika kazini -kutokuwepo kazini muda wa kazi -kutokamilisha kazi. -uzembe katika kutekeleza majukumu. -kutotimiza maelekezo ya utendaji kazi. Adhabu yake mara ya kwanza barua ya onyo mara ya pili karipio mara ya tatu kusimamisha nyongeza ya mshahara. (c)makosa makubwa (formal proceedings) kanuni Na.42 -kutofika kazini zaidi ya siku 5

-vitendo vinavyo husu wizi,rushwa -uzembe uliokithirikatika kutekeleza majukumu -kujihusisha na kazi nyingine nje ya ofisi saa za kazi. VITU VYA KUANDAA UNAPOJAZA.MKATABA WA AJIRA λ FOMU ZA MKATABA NAKALA 3 λ PICHA ZA UTUMISHI λ CHETI CHA TAALUMA(UALIMU) NAKALA 3 λ CHETI CHA FORM FOUR/SIX NAKALA 3 2.USAJILI PENSHENI.BARUA YA AJIRA (YENYE TSD NAMBA) 2.BARUA YA KUTHIBITISHWA KAZINI 3.SALARY SLIP HALISI 4.PICHA 2 3.KUSTAAFU. BARUA YA AJIRA (YENYE TSD NO) 2. BARUA YA KUTHIBITISHWA KAZINI 3. BARUA YA KUPANDA CHEO CHA MWISHO 4. SALARY SLIP 5. PICHA TATU 6. KIBALI CHA KUSTAAFU (ukipate TSD Wilaya) 7. UJAZE FOMU ZA PSPF NO 6. 4.KUANDAA MIRATHI-MAHITAJI!.MUHTASARIWA WANANDUGU KUMCHAGUA MSIMAMIZI WA MIRATHI 2.HAKI YA USIMAMIZI WA MIRATHI(HALISI) 3.CHETI CHA KIFO(HALISI) 4.BARUA YA AJIRA(YENYETSD)NAKALA 5.BARUA YA KUTHIBITISHWA KAZINI(NAKALA) 6.BARUA YA KUPANDA CHEO CHA MWISHO(NAKALA) 7.SALARY SLIP-(HALISI)

8.CHETI CHA NDOA/ KIAPO CHA NDOA-(NAKALA) 9.KIAPO CHA MJANE/MGANE KUTUNZA WATOTO 0.VYETI VYA KUZALIWA WATOTO/KIAPO(CHINI MIAKA 2).BARUA TOKA SHULENI KUTHIBITISHA KAMA MTOTO ANASOMA 2.PICHA 8 ZAMSIMAMIZI WA MIRATHI 3. PICHA 3 ZA KILA MTOTO WA MAREHEMU 4. PICHA 3 ZA MJANE/MGANE 5.KADI ZA BENKI ZA WALIOPO KWENYE MGAO(NAKALA) 6.FOMU NA VI YA MGAWO WA MIRATHI(ofisini utapewa) 7.FOMU NA8 NA 9 ZA PSPF (ofisini utapewa) OC;! J/! JJ/ VYOTE LAZIMA VIPITIE MAHAKAMANI WJXF NAMHURI NA SAINI YA HAKIMU KILA MTU AVIANDAE AU ATUNZE KUMBUKUMBU ZA UTUMISHI KWA SABABU NI TOKIO LA KILA MTU TUME YA UTUMISHI WA UMAA IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU MOROGORO