25-Faharasa. Matamshi. Tamshi moja ni lafdhw. Iliyo na nguvu kabisa, inayodhaniwa kuwa sahihi kabisa, rai inayokubalika kabisa.

Μέγεθος: px
Εμφάνιση ξεκινά από τη σελίδα:

Download "25-Faharasa. Matamshi. Tamshi moja ni lafdhw. Iliyo na nguvu kabisa, inayodhaniwa kuwa sahihi kabisa, rai inayokubalika kabisa."

Transcript

1 25-Faharasa Neno Maana Yake Aaridhw as-sukuwn Ibaadah sukuwn pana ya kusimami neno. ibada Ahkaamut-Tajwiyd Alfaadhw Hukumu za Tawjiyd Matamshi. Tamshi moja ni lafdhw Arjah Iliyo na nguvu kabisa, inayodhaniwa kuwa sahihi kabisa, rai inayokubalika kabisa. Ar-Rawm Maana ya asil ni ombi. Katika Tajwiyd ni kuifanya vokali au irabu kuwa dhaifu hadi kwamba ipotee sauti yake, au kutumia sehemu ya vokali au irabu. Hivyo ni kutamka kwa haraka vokali au irabu katika neno la mwisho analosimamia msomaji huku ikisikika. As-Sakt Kipumziko bila ya kushusha pumzi Azaaimu sujuwd Sijda zilizoazimiwa au zilizoruhusiwa; Sijda zilizosisistizwa katika kusoma Qur-aan Basmalah BismiLLaah - kwa Jina la Allaah Dhikri, dhikru-allaah Kumdhukuru Allaah kwa kila aina; kukumbuka Utukufu Wake, neema Zake, ihsani Yake kwa kutaja jina Lake; kumsabbih, kumpwekesha, kumshukuru, kumsifu, kumtukuza, kuomba maghfirah, kusoma Quraan, kumswalia Mtume اللهعليه وسلم (صلى (, na kwa Dhwamiyr kuzingatia na kuyataamali Majina Yake Matukufu. Kiwakilishi nomino

2 Dhwammah Vokali au irabu ya u Dhwammatayn, Vokali mbili za u Faqiyh Mwanachuoni aliyebobea katika somo la fiqhi. Fardh ayn Wajib wa kila Muislamu kutekeleza jambo fulani la sheria ya Kiislamu. Fardhi kifaayah Wapatikane baadhi ya watu kutenda jambo fulani la sheria ya Kiislamu hivyo huwa imetosheleza katika jamii ya Kiislamu. Fat-haa Vokali au irabu ya a Fathatayni Vokali au irabu mbili za a Ghunnah Hamzatul-Qatw Hamzatul-Waswl Harakah/Harakaat Herufi za hawaaiyyah Sauti inayotoka puani ya mvuto wa harakah mbili Hamzah ya kukata Hamzah ya kuunga Kipimo cha mvuto wa madd kukadiria urefu wa sauti (kwa hesabu ya sekunde) Herufi za hewa Herufi za Hijaaiyyah Hukmu Herufi za alfabeti Hukumu, kanuni I raab Irabu au vokali; fat-hah, kasrah, dhwammah, sukuwn, na tanwiyn Idghaam Ikhtilaas Kuunganisha au mlishizo wa herufi kwa herufi nyingine. Maana ya asili ni kunyakua vokali au irabu kwa haraka hata ibakie vokali au irabu kidogo. Katika riwaaya ya Hafs an Aaswim ikhtilaas

3 inatekelezwa katika neno moja tu nalo ni katika Suwrat Yuwsuf (12:11) $ Ζ0Βù's? Imaam Maimaam Imamu- kiongozi wa Dini kama vile katika kusalisha. Maimamu ujumla wa imamu Ish-maam Isti aadhah Jannah Jarr Jawwada Kasraa Kasratayni Lafdhw Al-Jalaalah Maana yake ya asili ni kuchanganya. Katika Tajwiyd ni kuchanganya herufi au vokali. Na katika riwaayah ya Hafsw an Aaswim maana pekee ni kuufanya mdomo uchanganye kutamka vokali au irabu ya dhwammah (u) pamoja na sukuwn. Kuomba kinga kutokana na shaytwaan kwa kusema Awdhu BiLLahahi minash- Shaytwaanir-rajiym Pepo Vokali au irabu ya i Ni kufanya jambo vizuri. Katika Tajwiyd ni kuisoma Qur-aan ipasavyo kwa hukmu za Tajwiyd. Anaposema mtu Jawwadal-Quraan maana yake ameisoma Qur-aan kwa uzuri kabisa kama ipasavyo kwa hukmu za Tajwiyd. Vokali au irabu ya i Vokali au irabu mbili za i (سبحانه وتعالى) Allaah الله Kutamka jina la

4 Lahn Lahnul-Jaliy Lahnul-Khafiy Madd Maddiyah Maana ya asili ni kutamaka kimakosa. Katika Tajwiyd ni kukosa kuisoma Qur-aan kwa hukmu za Tajwiyd ambako kunapelekea kufanya makosa ya dhahiri au ya kufichika. Makosa ya dhahiri (Makubwa) Makosa ya kufichika (Madogo) Mvuto wa herufi Za madd Maddul-Aswlliy Maddul-Far iy Maddut-Twabiy iy Madd ya asili, asilia Madd ya matawi Madda ya asili, asilia. Maf- uwl / Maf- uwlun-bih Katika nahw ya lugha ya Kiarabu inayomaanisha: kitu au mtu aliyetendewa kitendo. Makhaarij Al-Huruwf/ Makhraj Matokeo ya herufi Sehemu moja ya kutokea herufi Makruwh Mandhwumah Inachukiza Maana ya asili; mfumo, njia, utaratibu fulani. Maana ya ki-shariy ah ni shairi au qaswiydah linaloundwa kufanya mukhtasari wa funzo la somo fulani. Mujtahid Mtu anayefanya jihaad katika mambo ya Dini, kama kutafuta elimu, kufundisha, kufanya da awah n.k Munaasib Mushaddad Iliyo na shaddah Mutabaa id Mutajaanis Zinazowekana/zinazokuwa mbali Zinazoshabihiana

5 Mutakhasw-swiswuwn Watu walioshughulika zaidi na jambo fulani; mfano waliobobea katika somo la Tajwiyd. Mutamaathil Mutaqaarib Mutawaatir Zinazaofanana sare Zinazokaribiana Mapokezi yaliyopokewa na watu wengi (vipindi mbali mbali vya miaka) kutoka kwa watu wengi mfano wao, na inakuwa si rahisi kwao wao kupokea riwaayah za uongo. Nabrah kugongeka Kugongeka kwa herufi. Kupanda sauti ya herufi inapotamkwa. Naswb Vokali au irabu ya a Nuskhah kopi Nutqw tamko Qaadhwi Kadhi Qaariu/Qurraa-ah/ Maqurraa-ah Qamariyyah Qiblah Msomaji/Wasomaji/Wasomaji Herufi zinazojulikana kuwa ni herufi za mwezi; ni zile ambazo hazikuingiwa na shaddah baada ya alif na llaam na hivyo kuifanya laam itamkwe. Kibla Qiraa-ah, qiraat Quraysh Kisomo Kabila la Waarabu waliokuwa Makkah kabla ya Uislamu na baada yake. Raawiy Mpokezi wa Hadiyth au kauli Raf- u Vokali au irabu ya u

6 Rakhaawatihaa Udhaifu au ulaini wake Riwaayah Upokezi Riyaa-a Riya kujionyesha katika ibada au jambo la kheri linalomshirikisha Allaah وتعالى) (سبحانه kama ni shirki ndogo. Sajdatu-Tilaawah Salafus-Swaalih Sajda ya kisomo Waja wema waliotangulia Shamsiyyah Shariy ah Herufi zinazojulikana kwa ni herufi za jua; ni zile ambazo zenye kuingiwa na shaddah baada ya alif na laam na hivyo kuifanya laam isitamkwe. Sheria, hukmu ya Dini ya Kiislamu. Shaytwaan shetani Sijjdah sajdah, sujuwd sijda Sunnah muakkadah Sunnah iliyosisitizwa Swifaat Al-Huruwf Sifa za herufi Swiffah Sifa Taabi Taabi iyn. Aliyefuata waliofuata. Kizazi cha tatu baada ya karne ya Mtume الله عليه وسلم) (صلى. Ali Tafkhiym Takkbiyrah Kutamka kwa kuifanya herufi nzito kwa kujaza mdomo Kumtukuza Allaah وتعالى) (سبحانه kwa kusema Allaahu Akbar

7 Talaqqiy Tarqiyq Tartiyl Tilaawah Twahaarah Twariyq Ash- Shaatwibiyyah Kusoma Qaariu mbele ya mwanafunzi uso kwa uso kisha mwanafunzi anamfuatiliza qiraa-ah chake. Kutamka kwa kuifanya herufi iwe hafifu bila ya mdomo. Kusoma Qur-aan kwa utaratibu upasao. Usomaji (Qur-aan) Tohara kuwa katika hali ya kukuruhusu kutekeleza amali kadhaa za ibaadah. Pia ni kufanya udhu, ghuslu. Twariyq ni njia. Ash-Shaatwibiyyah ni jina la Imaam Ash- Shaatwibiyy. Shaatwibiyyah ni jina la shairi liloandikwa na Imaam Ash-Shaatwibiyy kuhusu viraa saba, likajulikana kwa umaarufu Qaswiydah Ash- Shaatwibiyyah fil-qiraatis-sab-. Twariyq (njia) hii ya Ash-Shaatwibiyyah ndio njia maarufu ambayo aghlabu ya Waislamu wanaisoma Qur-aan. Twariyq Twayyibatin- Nashr Ummah Hukmu alizoziandika Imaam ibn Al-Jazariyy kuhusu Viraa kumi katika kitabu chake: An- Nashr fil Qiraatil- ashr. Shairi aloandika kuwepesisha kujfunza njia hizo linaitwa Twayyibatun-Nashr fil-qiraat al- ashr Na njia hizo zinaitwa Twariyq Atw-Twayyibah. Umati/umma

8

Idghaam haiwezekani ikawa katika neno moja bali ni lazima nuwn saakinah au tanwiyn iweko mwisho wa neno la kwanza, na herufi inayoingizwa hiyo

Idghaam haiwezekani ikawa katika neno moja bali ni lazima nuwn saakinah au tanwiyn iweko mwisho wa neno la kwanza, na herufi inayoingizwa hiyo ii- الا د غا م Al-idghaam Kuingiza, kuchanganya. Idghaam ni kuingiza kitu kwenye kitu. Katika hukmu za Tajwiyd ni kuingiza herufi saakin kwenye herufi yenye i raab na kuzipelekea herufi mbili hizi kuwa

Διαβάστε περισσότερα

Hadiyth Ya 11 Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na Kitu; Ya Juu Ni Tawhiyd, Na Ya Chini Kabisa Ni Kuondosha Taka Njiani

Hadiyth Ya 11 Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na Kitu; Ya Juu Ni Tawhiyd, Na Ya Chini Kabisa Ni Kuondosha Taka Njiani 4 4 Hadiyth Ya 11 Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na Kitu; Ya Juu Ni Tawhiyd, Na Ya Chini Kabisa Ni Kuondosha Taka Njiani )) :( ) : ( ),,, )) ((. (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) amesema: Mtume wa

Διαβάστε περισσότερα

Hadiyth Ya 71 Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema )) :

Hadiyth Ya 71 Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema )) : Hadiyth Ya 71 Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema )) : : ( ) (( Imepokelewa kutoka kwa Adiyy bin Haatim ( ) amesema: Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Ogopeni moto japo kwa nusu tende, na usipopata

Διαβάστε περισσότερα

Ni kusimama katika neno lakini hata ukiunganisha yanayofuatia haiharibu maana. Ni lazima kusimama kwani kuunganisha na yanayofuatia kutaharibu maana.

Ni kusimama katika neno lakini hata ukiunganisha yanayofuatia haiharibu maana. Ni lazima kusimama kwani kuunganisha na yanayofuatia kutaharibu maana. Al-Waqf At-Taamm - Kisimamo Kilichokamilika ال وق ف الت ام 1. Kusimama katika neno la Qur-aan ambako kauli imekamilika maana yake, na wala hayana uhusiano wowote ule na yanayofuatia; uhusiano huo uwe wa

Διαβάστε περισσότερα

Kiswahili TE(C2).indd i 5/30/14 8:14 PM

Kiswahili TE(C2).indd i 5/30/14 8:14 PM Kiswahili TE(C2).indd i 5/30/14 8:14 PM ii Kiswahili TE(C2).indd ii 5/30/14 8:14 PM iii Kiswahili TE(C2).indd iii 5/30/14 8:14 PM iv Kiswahili TE(C2).indd iv 5/30/14 8:14 PM v Kiswahili TE(C2).indd v 5/30/14

Διαβάστε περισσότερα

Kuondoa Utata Uliyomo katika Tafauti ya Muandamo

Kuondoa Utata Uliyomo katika Tafauti ya Muandamo MSTAHIWA SHEIKH AHMAD BIN HAMAD AL KHALILI MUFTI MKUU WA OMAN Kuondoa Utata Uliyomo katika Tafauti ya Muandamo [Kauli za Maulama wa Madhehebu Nne] Imefasiriwa kwa Kiswahili na: Munir Sulaiman Aziz Al Masrouri

Διαβάστε περισσότερα

ii iii iv v vi vii viii ix x xi xii heru xiii xiv Wiki ya 1: Siku ya 21 Ukoo/Jamaa Hatua ya 2: Mwalimu: Tusome silabi hii pamoja. Mwalimu na Wanafunzi: /m/ /a/- ma Hatua ya 3: Mwalimu: Ni zamu yenu sasa.

Διαβάστε περισσότερα

ii iii iv v vi vii viii ix x xi xii heru xiii xiv Wiki ya 1: Siku ya 21 Nyumbani Wanafunzi: (Tumia hatua ya 3 kufunza: makaa, kaka, matatu, ama, mti, taa). l ll Ufahamu wa herufi: Majina na sauti za herufi

Διαβάστε περισσότερα

i Kiswahili (TE) Class 1.indd i 5/30/14 8:07 PM

i Kiswahili (TE) Class 1.indd i 5/30/14 8:07 PM i Kiswahili (TE) Class 1.indd i 5/30/14 8:07 PM ii Kiswahili (TE) Class 1.indd ii 5/30/14 8:07 PM iii Kiswahili (TE) Class 1.indd iii 5/30/14 8:07 PM iv Kiswahili (TE) Class 1.indd iv 5/30/14 8:07 PM v

Διαβάστε περισσότερα

Hadiyth Ya 1 Allaah Hatazami Miili Wala Sura, Bali Anatazama Nyoyoni

Hadiyth Ya 1 Allaah Hatazami Miili Wala Sura, Bali Anatazama Nyoyoni 4 Hadiyth Ya 1 Allaah Hatazami Miili Wala Sura, Bali Anatazama Nyoyoni )) :( ) : ( ) (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) amesema: Mtume ( ) amesema: ((Hakika Allaah Hatazami viwiliwili vyenu wala

Διαβάστε περισσότερα

Hadiyth Ya 131 Allaah Ameridhia Kuabudiwa, Kutokumshirikisha, Kuungana Na Anachukia Uvumi, Udadisi Na Kupoteza Mali ( )

Hadiyth Ya 131 Allaah Ameridhia Kuabudiwa, Kutokumshirikisha, Kuungana Na Anachukia Uvumi, Udadisi Na Kupoteza Mali ( ) Hadiyth Ya 131 Allaah Ameridhia Kuabudiwa, Kutokumshirikisha, Kuungana Na Anachukia Uvumi, Udadisi Na Kupoteza Mali )) : :,,.((, ( ) :, Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah ( ) kwamba Mtume wa Allaah (

Διαβάστε περισσότερα

Ummu Iyyaad Imepitiwa Na: Abu Abdillaah Muhammad Baawazir

Ummu Iyyaad Imepitiwa Na: Abu Abdillaah Muhammad Baawazir Subira Njema Ummu Iyyaad Imepitiwa Na: Abu Abdillaah Muhammad Baawazir 1 ijk Utangulizi: Sifa zote njema Anastahiki Allaah وتعالى) (سبحانه Mola wa walimwengu صلى ( Muhammad wote, Rahma na amani zimshukie

Διαβάστε περισσότερα

Hadiyth Ya 61 Dunia Ni Kama Kivuli Anachokitumia Msafiri Kwa Muda Tu

Hadiyth Ya 61 Dunia Ni Kama Kivuli Anachokitumia Msafiri Kwa Muda Tu ( 4 Hadiyth Ya 61 Dunia Ni Kama Kivuli Anachokitumia Msafiri Kwa Muda Tu : ( ).!, )) : : (( Imepokelewa kutoka kwa Abdullaah bin Mas uwd ( ) amesema: Mtume wa Allaah ( ) alilala kwenye jamvi la mtende

Διαβάστε περισσότερα

MUONGOZO RAHISI WA RAIA KUHUSU UCHAGUZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014

MUONGOZO RAHISI WA RAIA KUHUSU UCHAGUZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014 MUONGOZO RAHISI WA RAIA KUHUSU UCHAGUZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014 UMEANDIKWA NA JIMMY LUHENDE Kimetolewa na Shirika la Kuimarisha Demokrasia na Tawala za Vijiji S.L.P 1631, Mwanza

Διαβάστε περισσότερα

IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU

IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU TUME YA UTUMISHI WA UMMA IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU WAJIBU MKUU WA MWALIMU Wajibu mkuu wa mwalimu ambao ndio Nguzo Tano za kazi ya ualimu ni:-.kwa MTOTO 2.KWA JUMUIYA 3.KWA KAZI YAKE 4.KWA TAIFA.KWA

Διαβάστε περισσότερα

Hadiyth Ya 111 Wanaume Na Wanawake Wasio Maharimu Wasitazamane Uchi Wala Wasilale Pamoja

Hadiyth Ya 111 Wanaume Na Wanawake Wasio Maharimu Wasitazamane Uchi Wala Wasilale Pamoja Hadiyth Ya 111 Wanaume Na Wanawake Wasio Maharimu Wasitazamane Uchi Wala Wasilale Pamoja, )) : ( ),, (( Imepokelewa kutoka kwa Abu Sa iyd ( ) kwamba Mtume wa Allaah ( ) amesema: ((Mwanamme asitazame uchi

Διαβάστε περισσότερα

IMAM MAHDI (A.S.) NI TUMAINI LA MATAIFA

IMAM MAHDI (A.S.) NI TUMAINI LA MATAIFA IMAM MAHDI (A.S.) NI TUMAINI LA MATAIFA اإلمام المهدي عليه السالم أمل الشعوب Kimeandikwa na: Sheikh Hasan Musa as-saffar Kimetarjumiwa na: Abdul-Karim Juma Nkusui Kimehaririwa na: Alhaji Hemedi Lubumba

Διαβάστε περισσότερα

05- Fadhila Za Umrah Na Hajj

05- Fadhila Za Umrah Na Hajj èèää ÆÆÆ Æd dd ÉÉÉ øø FF Ï ÉÉÉ ÎÎ ÅÅ øø FF... ŸŸŸ Ïi ii ššš '' éé ÈÈÈ ÝÝ èè àà ŸŸŸ nn 333 BBB øø ŸŸŸ èè Ï 555 ppøø rr öö þþþ ÎÎ «««óó ãã àà õõ ÉÉ ªªª xx øø ççç èè nn ÍÍ!! øø 999 öö oo ÖÖÖ ô rr ppøø rr

Διαβάστε περισσότερα

AHLUL ~ KISAA. Mkusanyiko wa sifa na tarehe za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), Imamu Ali, Bibi Fatimah, Imamu Hassan na Imamu Hussein

AHLUL ~ KISAA. Mkusanyiko wa sifa na tarehe za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), Imamu Ali, Bibi Fatimah, Imamu Hassan na Imamu Hussein AHLUL ~ KISAA Mkusanyiko wa sifa na tarehe za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), Imamu Ali, Bibi Fatimah, Imamu Hassan na Imamu Hussein Kimetungwa na: Ahmad Badawy bin Muhammad Al-Husseiny Kimehaririwa na: Sheikh

Διαβάστε περισσότερα

MATESO YA DHURIA YA MTUME

MATESO YA DHURIA YA MTUME MATESO YA DHURIA YA MTUME Mwandishi: Ayatullah Murtadha Mutahhari Mtarjumi: Salman Shou Kimehaririwa na: Al-Haj Ramadhani S. K. Shemahimbo Haki ya kunakili imehifadhiwa na: AL-ITRAH FOUNDATION ISBN: 978-9987

Διαβάστε περισσότερα

Yaliyomo. ~ Ukurasa 3 ~

Yaliyomo. ~ Ukurasa 3 ~ Maswali ya Maisha ~ Ukurasa 2 ~ Yaliyomo 1. Yesu ni nani? Ukurasa 5 2. Kwa nini Yesu alikufa msalabani? Ukurasa 12 3. Nitakuwaje na hakika juu ya Imani yangu? Ukurasa 18 4. Kwa nini nisome Biblia? Niisomeje?

Διαβάστε περισσότερα

KILIMO CHA ZAO LA VANILLA

KILIMO CHA ZAO LA VANILLA KILIMO CHA ZAO LA VANILLA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA IDARA YA MAENDELEO YA MAZAO Sehemu ya Uendelezaji wa Mazao KILIMO CHA ZAO LA VANILLA Kimetolewa na Jamhuri

Διαβάστε περισσότερα

SURA YA 95 SHERIA YA MADAWA NA UZUIAJI WA USAFIRISHAJI WA MADAWA HARAMU SHERIA KUU MPANGILIO WA VIFUNGU SEHEMU YA 1 MASHARTI YA MWANZO

SURA YA 95 SHERIA YA MADAWA NA UZUIAJI WA USAFIRISHAJI WA MADAWA HARAMU SHERIA KUU MPANGILIO WA VIFUNGU SEHEMU YA 1 MASHARTI YA MWANZO SURA YA 95 SHERIA YA MADAWA NA UZUIAJI WA USAFIRISHAJI WA MADAWA HARAMU SHERIA KUU MPANGILIO WA VIFUNGU SEHEMU YA 1 MASHARTI YA MWANZO Kifungu Jina 1. Jina fupi na matumizi 2. Tafsiri SEHEMU YA II KUUNDWA

Διαβάστε περισσότερα

Mradi wa Misitu ya Jamii MJUMITA (Lindi) Wilaya ya Lindi Vijijini na Manispaa ya Lindi, Mkoa wa Lindi, Tanzania

Mradi wa Misitu ya Jamii MJUMITA (Lindi) Wilaya ya Lindi Vijijini na Manispaa ya Lindi, Mkoa wa Lindi, Tanzania Jina la Mradi: Eneo Ulipo Mradi: Mmiliki wa Mradi: Mhusika: Mradi wa Misitu ya Jamii MJUMITA (Lindi) Wilaya ya Lindi Vijijini na Manispaa ya Lindi, Mkoa wa Lindi, Tanzania Wamiliki ni wengi (Halmashauri

Διαβάστε περισσότερα

Mafundisho Ya Madhehebu

Mafundisho Ya Madhehebu Mafundisho Ya Madhehebu na Rod Rutherford Mtafsiri John Makanyaga www.kanisalakristo.com 1 Mafundisho ya Madhehebu Somo la Kwanza- Kanisa la Agano Jipya. Utangulizi 1. Kuna makundi ya kidini 2054 katika

Διαβάστε περισσότερα

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII Mwongozo wa Taifa wa Sekta ya Afya Kuhusu Huduma na Kinga Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia JUNI 2013 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA

Διαβάστε περισσότερα

Ni hamzah inayotamkwa katika neno na haitamkwi (hutoweka) wakati wa kuunganisha na neno la nyuma yake.

Ni hamzah inayotamkwa katika neno na haitamkwi (hutoweka) wakati wa kuunganisha na neno la nyuma yake. ### ôô ÍÍÍ 444 nn ííí nn ß ôô ppøø ÈÈÈ èè knganiha: Hamzal-Wawl Hamza a هم ز ة ال و ص ل Ni hamzah inaoamkwa kaika neno na haiamkwi howeka) wakai wa knganiha na neno la nma ake. Inaiwa Wawl kwa abab inapelekea

Διαβάστε περισσότερα

ΛΕΞΙΚΟΝ ΕΛΛΗΝΟ-ΣΟΥΑΧΙΛΙ

ΛΕΞΙΚΟΝ ΕΛΛΗΝΟ-ΣΟΥΑΧΙΛΙ ΜΟΝΑΧΟΥ ΑΜΑΣΚΗΝΟΥ ΓΡΗΓΟΡΙΑΤΟΥ ΜΩΥΣΕΩΣ KALENGA ΛΕΞΙΚΟΝ ΕΛΛΗΝΟ-ΣΟΥΑΧΙΛΙ ΜΕ ΣΤΟΙΧΕΙΑ ΓΡΑΜΜΑΤΙΚΗΣ ΤΗΣ ΓΛΩΣΣΑΣ ΣΟΥΑΧΙΛΙ ΟΡΘΟ ΟΞΟΝ ΙΕΡΑΠΟΣΤΟΛΙΚΟΝ ΚΛΙΜΑΚΙΟΝ ΙΕΡΑΣ ΜΗΤΡΟΠΟΛΕΩΣ ΚΕΝΤΡΩΑΣ ΑΦΡΙΚΗΣ ΚΟΛΟΥΕΖΙ ΚΟΓΚΟ 1999

Διαβάστε περισσότερα

Estimation of grain boundary segregation enthalpy and its role in stable nanocrystalline alloy design

Estimation of grain boundary segregation enthalpy and its role in stable nanocrystalline alloy design Supplemental Material for Estimation of grain boundary segregation enthalpy and its role in stable nanocrystalline alloy design By H. A. Murdoch and C.A. Schuh Miedema model RKM model ΔH mix ΔH seg ΔH

Διαβάστε περισσότερα

ΓΗ ΚΑΙ ΣΥΜΠΑΝ. Εικόνα 1. Φωτογραφία του γαλαξία μας (από αρχείο της NASA)

ΓΗ ΚΑΙ ΣΥΜΠΑΝ. Εικόνα 1. Φωτογραφία του γαλαξία μας (από αρχείο της NASA) ΓΗ ΚΑΙ ΣΥΜΠΑΝ Φύση του σύμπαντος Η γη είναι μία μονάδα μέσα στο ηλιακό μας σύστημα, το οποίο αποτελείται από τον ήλιο, τους πλανήτες μαζί με τους δορυφόρους τους, τους κομήτες, τα αστεροειδή και τους μετεωρίτες.

Διαβάστε περισσότερα

bab.la Φράσεις: Ταξίδι Τρώγοντας έξω ελληνικά-ελληνικά

bab.la Φράσεις: Ταξίδι Τρώγοντας έξω ελληνικά-ελληνικά Τρώγοντας έξω : Στην είσοδο Θα ήθελα να κρατήσω ένα τραπέζι για _[αριθμός ατόμων]_ στις _[ώρα]_. (Tha íthela na kratíso éna trapézi ya _[arithmós atómon]_ στις _[óra]_.) Θα ήθελα να κρατήσω ένα τραπέζι

Διαβάστε περισσότερα

Αναπληρωτής Καθηγητής Τμήμα Συντήρησης Αρχαιοτήτων και Έργων Τέχνης Πανεπιστήμιο Δυτικής Αττικής - ΣΑΕΤ

Αναπληρωτής Καθηγητής Τμήμα Συντήρησης Αρχαιοτήτων και Έργων Τέχνης Πανεπιστήμιο Δυτικής Αττικής - ΣΑΕΤ Γενική και Ανόργανη Χημεία Περιοδικές ιδιότητες των στοιχείων. Σχηματισμός ιόντων. Στ. Μπογιατζής 1 Αναπληρωτής Καθηγητής Τμήμα Συντήρησης Αρχαιοτήτων και Έργων Τέχνης Π Δ Χειμερινό εξάμηνο 2018-2019 Π

Διαβάστε περισσότερα

HONDA. Έτος κατασκευής

HONDA. Έτος κατασκευής Accord + Coupe IV 2.0 16V (CB3) F20A2-A3 81 110 01/90-09/93 0800-0175 11,00 2.0 16V (CB3) F20A6 66 90 01/90-09/93 0800-0175 11,00 2.0i 16V (CB3-CC9) F20A8 98 133 01/90-09/93 0802-9205M 237,40 2.0i 16V

Διαβάστε περισσότερα

f(w) f(z) = C f(z) = z z + h z h = h h h 0,h C f(z + h) f(z)

f(w) f(z) = C f(z) = z z + h z h = h h h 0,h C f(z + h) f(z) Ω f: Ω C l C z Ω f f(w) f(z) z a w z = h 0,h C f(z + h) f(z) h = l. z f l = f (z) Ω f Ω f Ω H(Ω) n N C f(z) = z n h h 0 h z + h z h = h h C f(z) = z f (z) = f( z) f f: Ω C Ω = { z; z Ω} z, a Ω f (z) f

Διαβάστε περισσότερα

Αλληλεπίδραση ακτίνων-χ με την ύλη

Αλληλεπίδραση ακτίνων-χ με την ύλη Άσκηση 8 Αλληλεπίδραση ακτίνων-χ με την ύλη Δ. Φ. Αναγνωστόπουλος Τμήμα Μηχανικών Επιστήμης Υλικών Πανεπιστήμιο Ιωαννίνων Ιωάννινα 2013 Άσκηση 8 ii Αλληλεπίδραση ακτίνων-χ με την ύλη Πίνακας περιεχομένων

Διαβάστε περισσότερα

Qiraat Imam Asim Riwayat Hafs: Kajian Terhadap Dua Toriq

Qiraat Imam Asim Riwayat Hafs: Kajian Terhadap Dua Toriq Qiraat Imam Asim Riwayat Hafs: Kajian Terhadap Dua Toriq Abd Muhaimin bin Ahmad Muhammad Hafiz bin Saleh Norazman bin Alias muhaimin@usim.edu.my mhafiz@usim.edu.my norazman@usim.edu.my PENGENALAN Bacaan

Διαβάστε περισσότερα

ΙΑΦΑ Φ ΝΕΙ Ε ΕΣ Ε ΧΗΜΕ Μ Ι Ε ΑΣ ΓΥΜΝ Μ ΑΣΙΟΥ H

ΙΑΦΑ Φ ΝΕΙ Ε ΕΣ Ε ΧΗΜΕ Μ Ι Ε ΑΣ ΓΥΜΝ Μ ΑΣΙΟΥ H Hταξινόµηση των στοιχείων τάξη Γ γυµνασίου Αναγκαιότητα ταξινόµησης των στοιχείων Μέχρι το 1700 µ.χ. ο άνθρωπος είχε ανακαλύψει µόνο 15 στοιχείακαι το 1860 µ.χ. περίπου 60στοιχεία. Σηµαντικοί Χηµικοί της

Διαβάστε περισσότερα

Νόµοςπεριοδικότητας του Moseley:Η χηµική συµπεριφορά (οι ιδιότητες) των στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού.

Νόµοςπεριοδικότητας του Moseley:Η χηµική συµπεριφορά (οι ιδιότητες) των στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού. Νόµοςπεριοδικότητας του Moseley:Η χηµική συµπεριφορά (οι ιδιότητες) των στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού. Περιοδικός πίνακας: α. Είναι µια ταξινόµηση των στοιχείων κατά αύξοντα

Διαβάστε περισσότερα

The Composition of the Qur'an and the Book. Book Two : The Miracle of the Qur an (Third Part: pp )

The Composition of the Qur'an and the Book. Book Two : The Miracle of the Qur an (Third Part: pp ) Qur'anic Studies ( 3 ) ( ) The Composition of the Qur'an and the Book Professor Youssef Durrah al - Haddad : ( : ) Book Two : The Miracle of the Qur an (Third Part: pp 587-893 ) www.muhammadanism.org November

Διαβάστε περισσότερα

Στρωματογραφία-Ιστορική γεωλογία. Κρυπτοζωικός Μεγααιώνας Δρ. Ηλιόπουλος Γεώργιος Σχολή Θετικών Επιστημών Τμήμα Γεωλογίας

Στρωματογραφία-Ιστορική γεωλογία. Κρυπτοζωικός Μεγααιώνας Δρ. Ηλιόπουλος Γεώργιος Σχολή Θετικών Επιστημών Τμήμα Γεωλογίας Στρωματογραφία-Ιστορική γεωλογία Κρυπτοζωικός Μεγααιώνας Δρ. Ηλιόπουλος Γεώργιος Σχολή Θετικών Επιστημών Τμήμα Γεωλογίας Σκοποί ενότητας Σκοπός της ενότητας είναι η μελέτη του Κρυπτοζωικού Μεγααιώνα, κατά

Διαβάστε περισσότερα

Yusif Idrīs Σπίτι από σάρκα

Yusif Idrīs Σπίτι από σάρκα یوسف إدریس بيت من لحم Εισαγωγικό σημείωμα - Μετάφραση HESHĀM M. ÍĀSSAN Yusif Idrīs Odi et amo. Quare id faciam, fortasse requiris. nescio, set fieri sentio et excrucior* Ο Idrīs 1 (1927-1991) γεννήθηκε

Διαβάστε περισσότερα

Για να εμφανιστούν σωστά οι χαρακτήρες της Γραμμικής Β, πρέπει να κάνετε download και install τα fonts της Linear B που υπάρχουν στο τμήμα Downloads.

Για να εμφανιστούν σωστά οι χαρακτήρες της Γραμμικής Β, πρέπει να κάνετε download και install τα fonts της Linear B που υπάρχουν στο τμήμα Downloads. Για να εμφανιστούν σωστά οι χαρακτήρες της Γραμμικής Β, πρέπει να κάνετε download και install τα fonts της Linear B που υπάρχουν στο τμήμα Downloads. Η μυκηναϊκή Γραμμική Β γραφή ονομάστηκε έτσι από τον

Διαβάστε περισσότερα

Το άτομο του Υδρογόνου

Το άτομο του Υδρογόνου Το άτομο του Υδρογόνου Δυναμικό Coulomb Εξίσωση Schrödinger h e (, r, ) (, r, ) E (, r, ) m ψ θφ r ψ θφ = ψ θφ Συνθήκες ψ(, r θφ, ) = πεπερασμένη ψ( r ) = 0 ψ(, r θφ, ) =ψ(, r θφ+, ) π Επιτρεπτές ενέργειες

Διαβάστε περισσότερα

Funkcijske vrste. Matematika 2. Gregor Dolinar. Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani. 2. april Gregor Dolinar Matematika 2

Funkcijske vrste. Matematika 2. Gregor Dolinar. Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani. 2. april Gregor Dolinar Matematika 2 Matematika 2 Gregor Dolinar Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani 2. april 2014 Funkcijske vrste Spomnimo se, kaj je to številska vrsta. Dano imamo neko zaporedje realnih števil a 1, a 2, a

Διαβάστε περισσότερα

K r i t i k i P u b l i s h i n g - d r a f t

K r i t i k i P u b l i s h i n g - d r a f t T ij = A Y i Y j /D ij A T ij i j Y i i Y j j D ij T ij = A Y α Y b i j /D c ij b c b c a LW a LC L P F Q W Q C a LW Q W a LC Q C L a LC Q C + a LW Q W L P F L/a LC L/a LW 1.000/2 = 500

Διαβάστε περισσότερα

ΝΟΜΟΣ ΤΗΣ ΠΕΡΙΟ ΙΚΟΤΗΤΑΣ : Οι ιδιότητες των χηµικών στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού.

ΝΟΜΟΣ ΤΗΣ ΠΕΡΙΟ ΙΚΟΤΗΤΑΣ : Οι ιδιότητες των χηµικών στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού. 1. Ο ΠΕΡΙΟ ΙΚΟΣ ΠΙΝΑΚΑΣ Οι άνθρωποι από την φύση τους θέλουν να πετυχαίνουν σπουδαία αποτελέσµατα καταναλώνοντας το λιγότερο δυνατό κόπο και χρόνο. Για το σκοπό αυτό προσπαθούν να οµαδοποιούν τα πράγµατα

Διαβάστε περισσότερα

Electronic Supplementary Information

Electronic Supplementary Information Electronic Supplementary Information The preferred all-gauche conformations in 3-fluoro-1,2-propanediol Laize A. F. Andrade, a Josué M. Silla, a Claudimar J. Duarte, b Roberto Rittner, b Matheus P. Freitas*,a

Διαβάστε περισσότερα

Meren virsi Eino Leino

Meren virsi Eino Leino œ_ œ _ q = 72 Meren virsi Eino Leino Toivo Kuua o. 11/2 (1909) c c F c Kun ne F iu L? c œ J J J J œ_ œ_ nœ_ Min ne rien nät, vie ri vä vir ta? Kun ne c c F c Kun ne F iu L? c œ J J J J œ_ œ_ nœ_ Min ne

Διαβάστε περισσότερα

,+ 2 1ntr0du~a0 TABLE OF CONTENTS. a * 4. LT\,? .fi T? PAGE. n - q;.;.+e Afos ao carbono. Conepxakiue. CTpa~uqa ~Zgina Ukuras a

,+ 2 1ntr0du~a0 TABLE OF CONTENTS. a * 4. LT\,? .fi T? PAGE. n - q;.;.+e Afos ao carbono. Conepxakiue. CTpa~uqa ~Zgina Ukuras a TABLE OF CONTENTS a * Table des matiires Inhaltsverzeichnis Indice Generale @.4 Sdrio Conepxakiue Contenido Yaliyomo - Pagina Page Seite.fi T? ~iigina CTpa~uqa ~Zgina Ukuras a Preface Vorwort Prefazione

Διαβάστε περισσότερα

... 5 A.. RS-232C ( ) RS-232C ( ) RS-232C-LK & RS-232C-MK RS-232C-JK & RS-232C-KK

... 5 A.. RS-232C ( ) RS-232C ( ) RS-232C-LK & RS-232C-MK RS-232C-JK & RS-232C-KK RS-3C WIWM050 014.1.9 P1 :8... 1... 014.0.1 1 A... 014.0. 1... RS-3C()...01.08.03 A.. RS-3C()...01.08.03 3... RS-3C()... 003.11.5 4... RS-3C ()... 00.10.01 5... RS-3C().008.07.16 5 A.. RS-3C().0 1.08.

Διαβάστε περισσότερα

Parts Manual. Trio Mobile Surgery Platform. Model 1033

Parts Manual. Trio Mobile Surgery Platform. Model 1033 Trio Mobile Surgery Platform Model 1033 Parts Manual For parts or technical assistance: Pour pièces de service ou assistance technique : Für Teile oder technische Unterstützung Anruf: Voor delen of technische

Διαβάστε περισσότερα

SUPPLEMENTAL INFORMATION. Fully Automated Total Metals and Chromium Speciation Single Platform Introduction System for ICP-MS

SUPPLEMENTAL INFORMATION. Fully Automated Total Metals and Chromium Speciation Single Platform Introduction System for ICP-MS Electronic Supplementary Material (ESI) for Journal of Analytical Atomic Spectrometry. This journal is The Royal Society of Chemistry 2018 SUPPLEMENTAL INFORMATION Fully Automated Total Metals and Chromium

Διαβάστε περισσότερα

Ax = b. 7x = 21. x = 21 7 = 3.

Ax = b. 7x = 21. x = 21 7 = 3. 3 s st 3 r 3 t r 3 3 t s st t 3t s 3 3 r 3 3 st t t r 3 s t t r r r t st t rr 3t r t 3 3 rt3 3 t 3 3 r st 3 t 3 tr 3 r t3 t 3 s st t Ax = b. s t 3 t 3 3 r r t n r A tr 3 rr t 3 t n ts b 3 t t r r t x 3

Διαβάστε περισσότερα

Ι ΙΟΤΗΤΕΣ ΤΩΝ ΑΤΟΜΩΝ. Παππάς Χρήστος Επίκουρος Καθηγητής

Ι ΙΟΤΗΤΕΣ ΤΩΝ ΑΤΟΜΩΝ. Παππάς Χρήστος Επίκουρος Καθηγητής ΗΛΕΚΤΡΟΝΙΚΗ ΟΜΗ ΚΑΙ Ι ΙΟΤΗΤΕΣ ΤΩΝ ΑΤΟΜΩΝ Παππάς Χρήστος Επίκουρος Καθηγητής ΤΟ ΜΕΓΕΘΟΣ ΤΩΝ ΑΤΟΜΩΝ Ατομική ακτίνα (r) : ½ της απόστασης μεταξύ δύο ομοιοπυρηνικών ατόμων, ενωμένων με απλό ομοιοπολικό δεσμό.

Διαβάστε περισσότερα

ΠΕΡΙΟΔΙΚΟΣ ΠΙΝΑΚΑΣ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ

ΠΕΡΙΟΔΙΚΟΣ ΠΙΝΑΚΑΣ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ ΠΕΡΙΟΔΙΚΟΣ ΠΙΝΑΚΑΣ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ Περίοδοι περιοδικού πίνακα Ο περιοδικός πίνακας αποτελείται από 7 περιόδους. Ο αριθμός των στοιχείων που περιλαμβάνει κάθε περίοδος δεν είναι σταθερός, δηλ. η περιοδικότητα

Διαβάστε περισσότερα

Q π (/) ^ ^ ^ Η φ. <f) c>o. ^ ο. ö ê ω Q. Ο. o 'c. _o _) o U 03. ,,, ω ^ ^ -g'^ ο 0) f ο. Ε. ιη ο Φ. ο 0) κ. ο 03.,Ο. g 2< οο"" ο φ.

Q π (/) ^ ^ ^ Η φ. <f) c>o. ^ ο. ö ê ω Q. Ο. o 'c. _o _) o U 03. ,,, ω ^ ^ -g'^ ο 0) f ο. Ε. ιη ο Φ. ο 0) κ. ο 03.,Ο. g 2< οο ο φ. II 4»» «i p û»7'' s V -Ζ G -7 y 1 X s? ' (/) Ζ L. - =! i- Ζ ) Η f) " i L. Û - 1 1 Ι û ( - " - ' t - ' t/î " ι-8. Ι -. : wî ' j 1 Τ J en " il-' - - ö ê., t= ' -; '9 ',,, ) Τ '.,/,. - ϊζ L - (- - s.1 ai

Διαβάστε περισσότερα

استمتع بحياتك. / 1 5.......1 7...2 8...3 10....4 12..5 13.6 15.....7 20...8 22.....9 23.....10 26.11 29...12 31...13 35...!!.14 37...: 100.15 39......16 42...!!.17 51..18 56.......19 60.....20 69..21 72..22

Διαβάστε περισσότερα

ΠΑΡΑΡΤΗΜΑ V. Πρότυπα δυναμικά αναγωγής ( ) ΠΡΟΤΥΠΑ ΔΥΝΑΜΙΚΑ ΑΝΑΓΩΓΗΣ ΣΤΟΥΣ 25 o C. Ημιαντιδράσεις αναγωγής , V. Antimony. Bromine. Arsenic.

ΠΑΡΑΡΤΗΜΑ V. Πρότυπα δυναμικά αναγωγής ( ) ΠΡΟΤΥΠΑ ΔΥΝΑΜΙΚΑ ΑΝΑΓΩΓΗΣ ΣΤΟΥΣ 25 o C. Ημιαντιδράσεις αναγωγής , V. Antimony. Bromine. Arsenic. ΠΑΡΑΡΤΗΜΑ V. ΠΡΟΤΥΠΑ ΔΥΝΑΜΙΚΑ ΑΝΑΓΩΓΗΣ ΣΤΟΥΣ 5 o C ΠΑΡΑΡΤΗΜΑ V. Πρότυπα δυναμικά αναγωγής ΠΡΟΤΥΠΑ ΔΥΝΑΜΙΚΑ ΑΝΑΓΩΓΗΣ ΣΤΟΥΣ 5 o C, V, V Auminum Bervium A ( H ) e A H. 0 Be e Be H. 1 ( ) [ ] e A F. 09 AF

Διαβάστε περισσότερα

Μεταφορά Πρότυπο διασποράς. Ευκίνητη φάση. Περιβάλλον κινητοποίησης στοιχείων. Περιβάλλον απόθεσης στοιχείων

Μεταφορά Πρότυπο διασποράς. Ευκίνητη φάση. Περιβάλλον κινητοποίησης στοιχείων. Περιβάλλον απόθεσης στοιχείων Ευκίνητη φάση Μεταφορά Πρότυπο διασποράς Περιβάλλον κινητοποίησης στοιχείων Περιβάλλον απόθεσης στοιχείων ΣΤΑΔΙΟ ΠΕΡΙΒΑΛΛΟΝ ΒΑΘΟΥΣ ΠΕΡΒΑΛΛΟΝ ΕΠΙΦΑΝΕΙΑΣ ΠΡΩΤΟΓΕΝΕΣ Διάχυση μετάλλων σε περιβάλλοντα πετρώματα

Διαβάστε περισσότερα

Χθμικόσ Δεςμόσ (Ομοιοπολικόσ-Ιοντικόσ Δεςμόσ) Οριςμοί, αναπαράςταςη κατά Lewis, ηλεκτραρνητικότητα, εξαιρζςεισ του κανόνα τησ οκτάδασ, ενζργεια δεςμοφ

Χθμικόσ Δεςμόσ (Ομοιοπολικόσ-Ιοντικόσ Δεςμόσ) Οριςμοί, αναπαράςταςη κατά Lewis, ηλεκτραρνητικότητα, εξαιρζςεισ του κανόνα τησ οκτάδασ, ενζργεια δεςμοφ Χθμικόσ Δεςμόσ (Ομοιοπολικόσ-Ιοντικόσ Δεςμόσ) Οριςμοί, αναπαράςταςη κατά Lewis, ηλεκτραρνητικότητα, εξαιρζςεισ του κανόνα τησ οκτάδασ, ενζργεια δεςμοφ Τβριδιςμόσ Υβριδικά τροχιακά και γεωμετρίεσ Γηαίξεζε

Διαβάστε περισσότερα

PHÉP TÍNH VI PHÂN HÀM MỘT BIẾN

PHÉP TÍNH VI PHÂN HÀM MỘT BIẾN 9//6 CHƯƠNG Đạo hàm ại mộ điểm PHÉP TÍNH VI PHÂN HÀM MỘT BIẾN Địh ghĩa: Đạo hàm của hàm f ại điểm a, ký hiệ f (a) là: f ' a lim a f f a (ế giới hạ à ồ ại hữ hạ). Chú ý: đặ h=-a, a có: f ' a a f a h f a

Διαβάστε περισσότερα

Japanese Fuzzy String Matching in Cooking Recipes

Japanese Fuzzy String Matching in Cooking Recipes 1 Japanese Fuzzy String Matching in Cooking Recipes Michiko Yasukawa 1 In this paper, we propose Japanese fuzzy string matching in cooking recipes. Cooking recipes contain spelling variants for recipe

Διαβάστε περισσότερα

,, #,#, %&'(($#(#)&*"& 3,,#!4!4! +&'(#,-$#,./$012 5 # # %, )

,, #,#, %&'(($#(#)&*& 3,,#!4!4! +&'(#,-$#,./$012 5 # # %, ) !! "#$%&'%( (%)###**#+!"#$ ',##-.#,,, #,#, /01('/01/'#!2#! %&'(($#(#)&*"& 3,,#!4!4! +&'(#,-$#,./$012 5 # # %, ) 6###+! 4! 4! 4,*!47! 4! (! 8!9%,,#!41! 4! (! 4!5),!(8! 4! (! :!;!(7! (! 4! 4!!8! (! 8! 4!!8(!44!

Διαβάστε περισσότερα

ΠΕΡΙΟΔΙΚΟ ΣΥΣΤΗΜΑ ΤΩΝ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ (1) Ηλία Σκαλτσά ΠΕ ο Γυμνάσιο Αγ. Παρασκευής

ΠΕΡΙΟΔΙΚΟ ΣΥΣΤΗΜΑ ΤΩΝ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ (1) Ηλία Σκαλτσά ΠΕ ο Γυμνάσιο Αγ. Παρασκευής ΠΕΡΙΟΔΙΚΟ ΣΥΣΤΗΜΑ ΤΩΝ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ (1) Ηλία Σκαλτσά ΠΕ04.01 5 ο Γυμνάσιο Αγ. Παρασκευής Όπως συμβαίνει στη φύση έτσι και ο άνθρωπος θέλει να πετυχαίνει σπουδαία αποτελέσματα καταναλώνοντας το λιγότερο δυνατό

Διαβάστε περισσότερα

..,..,.. ! " # $ % #! & %

..,..,.. !  # $ % #! & % ..,..,.. - -, - 2008 378.146(075.8) -481.28 73 69 69.. - : /..,..,... : - -, 2008. 204. ISBN 5-98298-269-5. - -,, -.,,, -., -. - «- -»,. 378.146(075.8) -481.28 73 -,..,.. ISBN 5-98298-269-5..,..,.., 2008,

Διαβάστε περισσότερα

ΕΤΗΣΙΑ ΑΝΑΦΟΡΑ ΠΡΟΣ ΤΗΝ ΕΠΙΤΡΟΠΗ ΔΙΑΧΕΙΡΙΣΗΣ ΥΓΡΟΤΟΠΟΥ. Σύνοψη συμπληρωματικών δράσεων διαχείρισης των νερών στην Πρέσπα για το έτος 2014

ΕΤΗΣΙΑ ΑΝΑΦΟΡΑ ΠΡΟΣ ΤΗΝ ΕΠΙΤΡΟΠΗ ΔΙΑΧΕΙΡΙΣΗΣ ΥΓΡΟΤΟΠΟΥ. Σύνοψη συμπληρωματικών δράσεων διαχείρισης των νερών στην Πρέσπα για το έτος 2014 ΕΤΗΣΙΑ ΑΝΑΦΟΡΑ ΠΡΟΣ ΤΗΝ ΕΠΙΤΡΟΠΗ ΔΙΑΧΕΙΡΙΣΗΣ ΥΓΡΟΤΟΠΟΥ Σύνοψη συμπληρωματικών δράσεων διαχείρισης των νερών στην Πρέσπα για το έτος 2014 Άγιος Γερμανός, Φεβρουάριος 2015 Ομάδα συγγραφής Βαλεντίνη Μάλιακα

Διαβάστε περισσότερα

Odvod. Matematika 1. Gregor Dolinar. Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani. 5. december Gregor Dolinar Matematika 1

Odvod. Matematika 1. Gregor Dolinar. Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani. 5. december Gregor Dolinar Matematika 1 Matematika 1 Gregor Dolinar Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani 5. december 2013 Primer Odvajajmo funkcijo f(x) = x x. Diferencial funkcije Spomnimo se, da je funkcija f odvedljiva v točki

Διαβάστε περισσότερα

ΣΧΟΛΗ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΩΝ ΕΦΑΡΜΟΓΩΝ ΤΜΗΜΑ ΟΧΗΜΑΤΩΝ ΠΤΥΧΙΑΚΗ ΕΡΓΑΣΙΑ ΔΙΑΒΡΩΣΗ ΚΑΙ ΠΡΟΣΤΑΣΙΑ ΤΩΝ ΥΛΙΚΩΝ Η ΠΕΡΙΠΤΩΣΗ ΤΩΝ ΧΑΛΥΒΩΝ ΣΤΑ ΑΥΤΟΚΙΝΗΤΑ.

ΣΧΟΛΗ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΩΝ ΕΦΑΡΜΟΓΩΝ ΤΜΗΜΑ ΟΧΗΜΑΤΩΝ ΠΤΥΧΙΑΚΗ ΕΡΓΑΣΙΑ ΔΙΑΒΡΩΣΗ ΚΑΙ ΠΡΟΣΤΑΣΙΑ ΤΩΝ ΥΛΙΚΩΝ Η ΠΕΡΙΠΤΩΣΗ ΤΩΝ ΧΑΛΥΒΩΝ ΣΤΑ ΑΥΤΟΚΙΝΗΤΑ. ΑΝΩΤΑΤΟ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΟ ΕΚΠΑΙΔΕΥΤΙΚΟ ΙΔΡΥΜΑ ΘΕΣΣΑΛΟΝΙΚΗΣ ΣΧΟΛΗ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΩΝ ΕΦΑΡΜΟΓΩΝ ΤΜΗΜΑ ΟΧΗΜΑΤΩΝ ΠΤΥΧΙΑΚΗ ΕΡΓΑΣΙΑ ΔΙΑΒΡΩΣΗ ΚΑΙ ΠΡΟΣΤΑΣΙΑ ΤΩΝ ΥΛΙΚΩΝ Η ΠΕΡΙΠΤΩΣΗ ΤΩΝ ΧΑΛΥΒΩΝ ΣΤΑ ΑΥΤΟΚΙΝΗΤΑ των ΦΑΡΛΕΚΑ ΓΕΩΡΓΙΟΥ

Διαβάστε περισσότερα

ΠΑΝΕΠΙΣΤΗΜΙΟ ΑΙΓΑΙΟΥ ΣΧΟΛΗ ΕΠΙΣΤΗΜΩΝ ΤΗΣ ΙΟΙΚΗΣΗΣ ΠΡΟΓΡΑΜΜΑ ΜΕΤΑΠΤΥΧΙΑΚΩΝ ΣΠΟΥ ΩΝ ΜΕΤΑΠΤΥΧΙΑΚΟ ΙΠΛΩΜΑ ΙΟΙΚΗΣΗΣ ΕΠΙΧΕΙΡΗΣΕΩΝ ΜΕ. Ι..Ε.

ΠΑΝΕΠΙΣΤΗΜΙΟ ΑΙΓΑΙΟΥ ΣΧΟΛΗ ΕΠΙΣΤΗΜΩΝ ΤΗΣ ΙΟΙΚΗΣΗΣ ΠΡΟΓΡΑΜΜΑ ΜΕΤΑΠΤΥΧΙΑΚΩΝ ΣΠΟΥ ΩΝ ΜΕΤΑΠΤΥΧΙΑΚΟ ΙΠΛΩΜΑ ΙΟΙΚΗΣΗΣ ΕΠΙΧΕΙΡΗΣΕΩΝ ΜΕ. Ι..Ε. ΑΣΚΗΣΗ 1 ΟΜΑ Α 2 Στην ακόλουθη άσκηση σας δίνονται τα έξοδα ανά µαθητή και οι ετήσιοι µισθοί (κατά µέσο όρο) των δασκάλων για 51 πολιτείες της Αµερικής. Τα δεδοµένα είναι για τη χρονιά 1985. Οι µεταβλητές

Διαβάστε περισσότερα

Kotne in krožne funkcije

Kotne in krožne funkcije Kotne in krožne funkcije Kotne funkcije v pravokotnem trikotniku Avtor: Rok Kralj, 4.a Gimnazija Vič, 009/10 β a c γ b α sin = a c cos= b c tan = a b cot = b a Sinus kota je razmerje kotu nasprotne katete

Διαβάστε περισσότερα

Έλεγχος θρέψης σε κλειστά υδροπονικά συστήματα

Έλεγχος θρέψης σε κλειστά υδροπονικά συστήματα Έλεγχος θρέψης σε κλειστά υδροπονικά συστήματα Κλειστά υδροπονικά συστήματα Πλεονεκτήματα Εξοικονόμηση λιπασμάτων και νερού Μείωση απορροής υπολειμμάτων λιπασμάτων (νιτρικά, φωσφορικά) στα επιφανειακά

Διαβάστε περισσότερα

Κεφάλαιο 1. Έννοιες και παράγοντες αντιδράσεων

Κεφάλαιο 1. Έννοιες και παράγοντες αντιδράσεων Κεφάλαιο 1 Έννοιες και παράγοντες αντιδράσεων Σύνοψη Το κεφάλαιο αυτό είναι εισαγωγικό του επιστημονικού κλάδου της Οργανικής Χημείας και περιλαμβάνει αναφορές στους πυλώνες της. Ειδικότερα, εδώ παρουσιάζεται

Διαβάστε περισσότερα

Τμήμα Γεωτεχνολογίας & Περιβάλλοντος

Τμήμα Γεωτεχνολογίας & Περιβάλλοντος Τμήμα Γεωτεχνολογίας & Περιβάλλοντος Ολιβινικά βιομηχανικά πετρώματα στο Βούρινο της υτικής Μακεδονίας Σπουδάστρια : Κουζέλη Ευλαμπία Επιβλέπων : Επίκ. Καθ. Ανδρέας Ιορδανίδης Γενικά χαρακτηριστικά του

Διαβάστε περισσότερα

'( )*(((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((( +

'( )*(((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((( + ! " # $ %&&' '( )*(((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((( + %( ((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((('& %('(,,

Διαβάστε περισσότερα

ΠΡΙΤΣΙΝΑΔΟΡΟΣ ΛΑΔΙΟΥ ΑΕΡΟΣ ΓΙΑ ΠΡΙΤΣΙΝΙΑ M4/M12 ΟΔΗΓΙΕΣ ΧΡΗΣΗΣ - ΑΝΤΑΛΛΑΚΤΙΚΑ

ΠΡΙΤΣΙΝΑΔΟΡΟΣ ΛΑΔΙΟΥ ΑΕΡΟΣ ΓΙΑ ΠΡΙΤΣΙΝΙΑ M4/M12 ΟΔΗΓΙΕΣ ΧΡΗΣΗΣ - ΑΝΤΑΛΛΑΚΤΙΚΑ GR ΠΡΙΤΣΙΝΑΔΟΡΟΣ ΛΑΔΙΟΥ ΑΕΡΟΣ ΓΙΑ ΠΡΙΤΣΙΝΙΑ M4/M12 ΟΔΗΓΙΕΣ ΧΡΗΣΗΣ - ΑΝΤΑΛΛΑΚΤΙΚΑ H OLJLAJNYOMÁSÚ SZEGECSELŐ M4/M12 SZEGECSEKHEZ HASZNÁLATI UTASÍTÁS - ALKATRÉSZEK SLO OLJNO-PNEVMATSKI KOVIČAR ZA ZAKOVICE

Διαβάστε περισσότερα

Παρασκευή 1 Νοεμβρίου 2013 Ασκηση 1. Λύση. Παρατήρηση. Ασκηση 2. Λύση.

Παρασκευή 1 Νοεμβρίου 2013 Ασκηση 1. Λύση. Παρατήρηση. Ασκηση 2. Λύση. (, ) =,, = : = = ( ) = = = ( ) = = = ( ) ( ) = = ( ) = = = = (, ) =, = = =,,...,, N, (... ) ( + ) =,, ( + ) (... ) =,. ( ) = ( ) = (, ) = = { } = { } = ( ) = \ = { = } = { = }. \ = \ \ \ \ \ = = = = R

Διαβάστε περισσότερα

Βασικά σωματίδια της ύλης

Βασικά σωματίδια της ύλης 1 Βασικά σωματίδια της ύλης Τα βασικά σωματίδια της ύλης είναι τα άτομα, τα μόρια και τα ιόντα. «Άτομο ονομάζουμε το μικρότερο σωματίδιο της ύλης που μπορεί να πάρει μέρος στο σχηματισμό χημικών ενώσεων».

Διαβάστε περισσότερα

ΟΜΟΣΠΟΝΔΙΑ ΕΚΠΑΙΔΕΥΤΙΚΩΝ ΦΡΟΝΤΙΣΤΩΝ ΕΛΛΑΔΟΣ (Ο.Ε.Φ.Ε.) ΕΠΑΝΑΛΗΠΤΙΚΑ ΘΕΜΑΤΑ ΕΠΑΝΑΛΗΠΤΙΚΑ ΘΕΜΑΤΑ 2018 Β ΦΑΣΗ

ΟΜΟΣΠΟΝΔΙΑ ΕΚΠΑΙΔΕΥΤΙΚΩΝ ΦΡΟΝΤΙΣΤΩΝ ΕΛΛΑΔΟΣ (Ο.Ε.Φ.Ε.) ΕΠΑΝΑΛΗΠΤΙΚΑ ΘΕΜΑΤΑ ΕΠΑΝΑΛΗΠΤΙΚΑ ΘΕΜΑΤΑ 2018 Β ΦΑΣΗ ΤΑΞΗ: ΜΑΘΗΜΑ: A ΓΕΝΙΚΟΥ ΛΥΚΕΙΟΥ ΧΗΜΕΙΑ Ημερομηνία: Σάββατο 14 Απριλίου 2018 Διάρκεια Εξέτασης: 2 ώρες ΘΕΜΑ Α ΕΚΦΩΝΗΣΕΙΣ Για τις ερωτήσεις Α1 έως και Α4 να γράψετε στο τετράδιό σας τον αριθμό της ερώτησης

Διαβάστε περισσότερα

ΓΕΩΧΗΜΕΙΑ Δ ΕΞΑΜΗΝΟ ΕΙΣΑΓΩΓΗ- ΠΕΡΙΕΧΟΜΕΝΑ ΜΑΘΗΜΑΤΟΣ. Χριστίνα Στουραϊτη

ΓΕΩΧΗΜΕΙΑ Δ ΕΞΑΜΗΝΟ ΕΙΣΑΓΩΓΗ- ΠΕΡΙΕΧΟΜΕΝΑ ΜΑΘΗΜΑΤΟΣ. Χριστίνα Στουραϊτη 1 ΓΕΩΧΗΜΕΙΑ Δ ΕΞΑΜΗΝΟ ΕΙΣΑΓΩΓΗ- ΠΕΡΙΕΧΟΜΕΝΑ ΜΑΘΗΜΑΤΟΣ Χριστίνα Στουραϊτη ΠΡΟΓΡΑΜΜΑ ΜΑΘΗΜΑΤΩΝ ΓΕΩΧΗΜΕΙΑΣ Δ ΕΞΑΜΗΝΟ ΑΚΑΔΗΜΑΪΚΟ ΕΤΟΣ 2018-2019 ΕΒΔΟΜΑΔΑ ΠΕΡΙΕΧΟΜΕΝΟ ΔΙΔΑΣΚΟΥΣΑ 1 η 2 η Εισαγωγή- Επεξηγήσεις,

Διαβάστε περισσότερα

Parts Manual. Wide Transport Stretcher Model 738

Parts Manual. Wide Transport Stretcher Model 738 Wide Transport Stretcher Model 738 Modèle 738 De Civière Large Pour Le Transport Breites Transport-Bahre-Modell 738 Breed Model 738 van de Brancard van het Vervoer Modello Largo 738 Della Barella Di Trasporto

Διαβάστε περισσότερα

P P Ó P. r r t r r r s 1. r r ó t t ó rr r rr r rí st s t s. Pr s t P r s rr. r t r s s s é 3 ñ

P P Ó P. r r t r r r s 1. r r ó t t ó rr r rr r rí st s t s. Pr s t P r s rr. r t r s s s é 3 ñ P P Ó P r r t r r r s 1 r r ó t t ó rr r rr r rí st s t s Pr s t P r s rr r t r s s s é 3 ñ í sé 3 ñ 3 é1 r P P Ó P str r r r t é t r r r s 1 t r P r s rr 1 1 s t r r ó s r s st rr t s r t s rr s r q s

Διαβάστε περισσότερα

Appendix B Table of Radionuclides Γ Container 1 Posting Level cm per (mci) mci

Appendix B Table of Radionuclides Γ Container 1 Posting Level cm per (mci) mci 3 H 12.35 Y β Low 80 1 - - Betas: 19 (100%) 11 C 20.38 M β+, EC Low 400 1 5.97 13.7 13 N 9.97 M β+ Low 1 5.97 13.7 Positrons: 960 (99.7%) Gaas: 511 (199.5%) Positrons: 1,199 (99.8%) Gaas: 511 (199.6%)

Διαβάστε περισσότερα

Αριστοτέλειο Πανεπιστήμιο Θεσσαλονίκης Σχολή Θετικών Επιστημών Τμήμα Φυσικής Τομέας Θεωρητικής Φυσικής

Αριστοτέλειο Πανεπιστήμιο Θεσσαλονίκης Σχολή Θετικών Επιστημών Τμήμα Φυσικής Τομέας Θεωρητικής Φυσικής Αριστοτέλειο Πανεπιστήμιο Θεσσαλονίκης Σχολή Θετικών Επιστημών Τμήμα Φυσικής Τομέας Θεωρητικής Φυσικής Τραϊανού Θάλεια, Χανλαρίδης Σάββας Επιβλέπων καθηγητής: Λαλαζήσης Γεώργιος Πυρηνική Αστροφυσική: Μία

Διαβάστε περισσότερα

Ανακύκλωση θρεπτικών διαλυμάτων σε κλειστά υδροπονικά συστήματα

Ανακύκλωση θρεπτικών διαλυμάτων σε κλειστά υδροπονικά συστήματα Ανακύκλωση θρεπτικών διαλυμάτων σε κλειστά υδροπονικά συστήματα Κλειστά υδροπονικά συστήματα Πλεονεκτήματα Εξοικονόμηση λιπασμάτων και νερού Μείωση απορροής υπολειμμάτων λιπασμάτων (νιτρικά, φωσφορικά)

Διαβάστε περισσότερα

!"#!$% &' ( )*+*,% $ &$ -.&01#(2$#3 4-$ #35667

!#!$% &' ( )*+*,% $ &$ -.&01#(2$#3 4-$ #35667 !"#!$% & &' ( )*+*,% $ -*(-$ -.*/% $- &$ -.&01#(2$#3 4-$ #35667 5051 & 00000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000 9 508&:;&& 0000000000000000000000000000000000000000000000000

Διαβάστε περισσότερα

ΜΕΡΟΣ Α' (Διάρκεια εξέτασης: 15 min)

ΜΕΡΟΣ Α' (Διάρκεια εξέτασης: 15 min) ΣΕΜΦΕ ΕΜΠ Γενική Χημεία Διαγώνισμα 11/02/20 1 ΜΕΡΟΣ Α' (Διάρκεια εξέτασης: 15 min) 1.Σημειώστε τη σωστή ηλεκτρονική διαμόρφωση του 28 Ni +2, [ 18 Ar]=1s 2 2s 2 2p 6 3s 2 3p 6 a. [Ar] 4s 2 3d 6 b. [Ar]

Διαβάστε περισσότερα

τροχιακά Η στιβάδα καθορίζεται από τον κύριο κβαντικό αριθµό (n) Η υποστιβάδα καθορίζεται από τους δύο πρώτους κβαντικούς αριθµούς (n, l)

τροχιακά Η στιβάδα καθορίζεται από τον κύριο κβαντικό αριθµό (n) Η υποστιβάδα καθορίζεται από τους δύο πρώτους κβαντικούς αριθµούς (n, l) ΑΤΟΜΙΚΑ ΤΡΟΧΙΑΚΑ Σχέση κβαντικών αριθµών µε στιβάδες υποστιβάδες - τροχιακά Η στιβάδα καθορίζεται από τον κύριο κβαντικό αριθµό (n) Η υποστιβάδα καθορίζεται από τους δύο πρώτους κβαντικούς αριθµούς (n,

Διαβάστε περισσότερα

Κβαντική θεωρία και ηλεκτρονιακή δομή των ατόμων

Κβαντική θεωρία και ηλεκτρονιακή δομή των ατόμων Κβαντική θεωρία και ηλεκτρονιακή δομή των ατόμων Κβαντικοί αριθμοί Κύριος κβαντικός αριθμός (n) Αζιμουθιακός κβαντικός αριθμός (l) Μαγνητικός κβαντικός αριθμός (ml) Στροφορμή (Spin) ηλεκτρονίου κβαντικός

Διαβάστε περισσότερα

ΟΞΕΙΔΟΑΝΑΓΩΓΙΚΕΣ ΑΝΤΙΔΡΑΣΕΙΣ

ΟΞΕΙΔΟΑΝΑΓΩΓΙΚΕΣ ΑΝΤΙΔΡΑΣΕΙΣ ΟΞΕΙΔΟΑΝΑΓΩΓΙΚΕΣ ΑΝΤΙΔΡΑΣΕΙΣ Σκοπός Εργαστηριακής Άσκησης Η παρατήρηση και η κατανόηση των μηχανισμών των οξειδοαναγωγικών δράσεων. Θεωρητικό Μέρος Οξείδωση ονομάζεται κάθε αντίδραση κατά την οποία συμβαίνει

Διαβάστε περισσότερα

Κεφάλαιο 8. Ηλεκτρονικές Διατάξεις και Περιοδικό Σύστημα

Κεφάλαιο 8. Ηλεκτρονικές Διατάξεις και Περιοδικό Σύστημα Κεφάλαιο 8 Ηλεκτρονικές Διατάξεις και Περιοδικό Σύστημα 1. H απαγορευτική αρχή του Pauli 2. Η αρχή της ελάχιστης ενέργειας 3. Ο κανόνας του Hund H απαγορευτική αρχή του Pauli «Είναι αδύνατο να υπάρχουν

Διαβάστε περισσότερα

HR SLO RUS GR SK CZ H PL P E I N FI DK S NL F GB D LV LT EST AL BG TR RO UA SRB. 4000/5 eco Art. 1754 5000/5 eco Art. 1755 5000/5 eco inox Art.

HR SLO RUS GR SK CZ H PL P E I N FI DK S NL F GB D LV LT EST AL BG TR RO UA SRB. 4000/5 eco Art. 1754 5000/5 eco Art. 1755 5000/5 eco inox Art. D Betriebsanleitung Hauswasserwerk GB Operating Instructions Pressure Tank Unit F Mode d emploi Groupe de surpression NL Gebruiksaanwijzing Hydrofoorpomp S Bruksanvisning Hydroforpump DK Brugsanvisning

Διαβάστε περισσότερα

ΕΦΗΜΕΡΙΣ ΤΗΣ ΚΥΒΕΡΝΗΣΕΩΣ

ΕΦΗΜΕΡΙΣ ΤΗΣ ΚΥΒΕΡΝΗΣΕΩΣ 10711 ΕΦΗΜΕΡΙΣ ΤΗΣ ΚΥΒΕΡΝΗΣΕΩΣ ΤΗΣ ΕΛΛΗΝΙΚΗΣ ΔΗΜΟΚΡΑΤΙΑΣ ΤΕΥΧΟΣ ΔΕΥΤΕΡΟ Αρ. Φύλλου 551 18 Απριλίου 2007 ΑΠΟΦΑΣΕΙΣ Αριθμ. ΔΙΠΑΔ/οικ. 281/Φ200 Έγκριση Εθνικής Τεχνικής Προδιαγραφής «ΕΛΛΗΝΙΚΕΣ ΙΠΤΑΜΕΝΕΣ ΤΕΦΡΕΣ».

Διαβάστε περισσότερα

ECOELASTIKA ΑΕ ΕΚΕΤΑ/ΙΔΕΠ

ECOELASTIKA ΑΕ ΕΚΕΤΑ/ΙΔΕΠ Μελέτη για τον προσδιορισμό του ποσοστού σύρματος, της συγκέντρωση τέφρας και της σύσταση τέφρας σε κύρια στοιχεία και ιχνοστοιχεία, για ελαστικά τα οποία χρησιμοποιούνται στην τσιμεντοβιομηχανία ECOELASTIKA

Διαβάστε περισσότερα

GARDENA FIN I E. ErgoCut 48 Art. 8875 ErgoCut 58 Art. 8876 GR RUS SLO AL EST

GARDENA FIN I E. ErgoCut 48 Art. 8875 ErgoCut 58 Art. 8876 GR RUS SLO AL EST D GARDENA GB F I E P PL H CZ SK RUS SLO HR SRB BIH UA RO TR BG AL EST LT LV N FIN DK S NL ErgoCut 48 Art. 8875 ErgoCut 58 Art. 8876 D Betriebsanleitung Elektro-Heckenschere GB Operating Instructions Electric

Διαβάστε περισσότερα

TRÌNH TỰ TÍNH TOÁN THIẾT KẾ BỘ TRUYỀN BÁNH RĂNG TRỤ (THẲNG, NGHIÊNG)

TRÌNH TỰ TÍNH TOÁN THIẾT KẾ BỘ TRUYỀN BÁNH RĂNG TRỤ (THẲNG, NGHIÊNG) TÌ TỰ TÍ TOÁ TIẾT Ế BỘ TUYỀ BÁ ĂG TỤ (TẲG, GIÊG Thôg số đầu à: côg suất P, kw (hặc môme xắ T, mm; số òg quy, g/ph; tỷ số truyề u Chọ ật lệu chế tạ báh răg, phươg pháp hệt luyệ, tr cơ tíh ật lệu hư: gớ

Διαβάστε περισσότερα

ΧΗΜΕΙΑ Α ΛΥΚΕΙΟΥ ΚΕΦΑΛΑΙΟ 4

ΧΗΜΕΙΑ Α ΛΥΚΕΙΟΥ ΚΕΦΑΛΑΙΟ 4 ΚΕΦΑΛΑΙΟ 4 ΣΤΟΙΧΕΙΟΜΕΤΡΙΑ ΕΡΩΤΗΣΕΙΣ ΜΕ ΤΙΣ ΑΠΑΝΤΗΣΕΙΣ: 1. Τι είναι ατομικό και τί μοριακό βάρος; Ατομικό βάρος είναι ο αριθμός που δείχνει πόσες φορές είναι μεγαλύτερη η μάζα του ατόμου από το 1/12 της

Διαβάστε περισσότερα

Š ˆ ˆ ˆ Š ˆ ˆ Œ.. μ É Ó

Š ˆ ˆ ˆ Š ˆ ˆ Œ.. μ É Ó ˆ ˆŠ Œ ˆ ˆ Œ ƒ Ÿ 2011.. 42.. 2 Š ˆ ˆ ˆ Š ˆ ˆ Œ.. μ É Ó Ñ Ò É ÉÊÉ Ö ÒÌ ² μ, Ê ˆ 636 ˆ ˆ Šˆ Œ ˆŸ ˆŒˆ - Šˆ Œ Š ˆ ˆ 638 Š ˆ ˆ ˆ : ˆ ˆŸ 643 ˆ ˆ Šˆ Š 646 Œ ˆ Šˆ 652 Œ ˆ Šˆ Š ˆ -2 ˆ ˆ -2Œ 656 ˆ ˆ Šˆ Š œ Š ˆ Œ

Διαβάστε περισσότερα

Αντιδράςεισ Οξείδωςθσ-Αναγωγισ. Fe(s) + CuSO 4 (aq) Fe(s) + Cu 2+ (aq) FeSO 4 (aq) + Cu(s) Fe 2+ (aq) + Cu(s)

Αντιδράςεισ Οξείδωςθσ-Αναγωγισ. Fe(s) + CuSO 4 (aq) Fe(s) + Cu 2+ (aq) FeSO 4 (aq) + Cu(s) Fe 2+ (aq) + Cu(s) Αντιδράςεισ Οξείδωςθσ-Αναγωγισ Fe(s) + CuSO 4 (aq) Fe(s) + Cu 2+ (aq) FeSO 4 (aq) + Cu(s) Fe 2+ (aq) + Cu(s) Αρικμόσ οξείδωςθσ (ι κατάςταςθ οξείδωςθσ) ενόσ ατόμου ςε μια ζνωςθ είναι το πραγματικό φορτίο

Διαβάστε περισσότερα

Zaporedja. Matematika 1. Gregor Dolinar. Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani. 22. oktober Gregor Dolinar Matematika 1

Zaporedja. Matematika 1. Gregor Dolinar. Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani. 22. oktober Gregor Dolinar Matematika 1 Matematika 1 Gregor Dolinar Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani 22. oktober 2013 Kdaj je zaporedje {a n } konvergentno, smo definirali s pomočjo limite zaporedja. Večkrat pa je dobro vedeti,

Διαβάστε περισσότερα