èèää ÆÆÆ Æd dd ÉÉÉ øø FF Ï ÉÉÉ ÎÎ ÅÅ øø FF... ŸŸŸ Ïi ii ššš '' éé ÈÈÈ ÝÝ èè àà ŸŸŸ nn 333 BBB øø ŸŸŸ èè Ï 555 ppøø rr öö þþþ ÎÎ «««óó ãã àà õõ ÉÉ ªªª xx øø ççç èè nn ÍÍ!! øø 999 öö oo ÖÖÖ ô rr ppøø rr èè øø Ïj jj www.alhidaaya.com 05- Fadhila Za Umrah Na Hajj Kuna fadhila nyingi zinazopatika kwa kutekeleza ibaadah hizi tukufu. Muislamu anayetaka kuzipata fadhila hizo, lazima afuate amri ya Allaah Anavyosema: kama (سبحانه وتعالى ( $t tβu uρ 33 3 dky ysø ø9$ $# Î ÎÎ Îû t tα#y y Å Å_ Ÿωu uρ šxθý Ý è èù Ÿωu uρ y]s y sùu u Ÿξs sù kp ptø ø:$ $# Î ÎÎ ÎγŠÏ Ïù uút u ts sù y yϑs sù M t tβθè è= è Β Öß ßγô ô r r& kp ptø ø:$ $# É= t t6ø ø9f F{$ $# Í ÍÍ Í<' 'ρé é' t tƒ Èβθà à)?$ $#u uρ 3 u uθø ø) G9$ $# ÏŠ# 9$ $# uö u öy yz χî ÎÎ Î*s sù (#ρß ßŠ ρt t s s?u uρ 33 3 ª!$ $# çµô ôϑn n= èt tƒ 9ö öy yz ô Ï ÏΒ (#θè è=y yèø øs s? ((Hajj ni miezi maalumu. Na atakayekusudia kuhiji (akahirimia), basi asifanye tendo la ndoa wala ufasiki wala mabishano katika Hajj. Na lolote mlifanyalo katika ya kheri Allaah Analijua. Na chukueni masurufu. Na hakika bora ya masurufu ni taqwa. Na nicheni Mimi enyi wenye akili!)) 1 Kadhaalika, kuna fadhila nyinginezo kadhaa ambazo Muislamu anafaidika :(سبحانه وتعالى ( Allaah nazo zinazohusu Dini na dunia yake: Anasema (#θè è=ä ä3s sù (( ( ÉΟ y yè ΡF F{$ $# Ïπy yϑ Î Îγt t/. Ï iβ Νß ßγs s%y y u u $t tβ n n?t tã BM t tβθè è= è Β 5Θ$ ƒr r& þ Î Îû «!$ $# zz zνó z ó $ $# (#ρã ãà à2õ õ t tƒu uρ öνß ßγs s9 yìï y Ï o oψt tβ (#ρß ß y yγô ô±u ušï j9 ué u É)x xø ø9$ $# }} } Í } Í!!$t t6ø ø9$ $# (#θß ßϑÏ Ïèô ôûr r&u uρ ((Ili washuhudie manufaa yao; na walitaje Jina la Allaah katika siku maalumu kwa yale Aliyowaruzuku kati ya wanyama wenye mig minne wa mifugo. Basi kuleni humo, na lisheni mwenye shida fakiri.)) 2 Aayah hii imetaja baadhi ya manufaa ya kidini na ya kidunia. Ya ki-dini ni kujichumia thawabu tele katika kumdhukuru Allaah ( وتعالى (سبحانه kwenye masiku machache matukufu yaliyojaa fadhila adhimu. Ama manufaa ya kidunia yaliyotajwa humo ni mnyama wa kaffaarah ambaye nyama yake inagaiwa kwa masikini. Manufaa mengineyo ni kama yafuatayo: $p pp pκ ]Ï ÏΒ Manufaa Ya Kidunia 1 Al-Baqarah (2: 197). 2 Al-Hajj (22: 28).
àà ÎÎ În nn Ïi ii WWW ää öö îîî oo ãã àà øø nn øø www.alhidaaya.com 1- Kuhudhuria darsa katika Misikiti mitukufu kabisa na kukutana na Wanachuoni. 2- Kukutana na kujuana na Waislamu wengineo kutoka pande mbali mbali za dunia, kutambua hali zao, knganisha mawasiliano na kushirikiana nao kwa kheri. 3- Kujua Historia ya Uislamu na baadhi ya matukio katika Siyrah ya Nabiy.(صلى الله عليه وآله وسلم ( - Kuliwazika na matembezi mbali mbali ya miji na yanayohusiana na safari kwa ujumla; mandhari za miji, kubadilisha hewa na chakula, kujinunulia mahitaji na zawadi. 5- Kufanya tijara kwani imeruhusiwa na Allaah ( وتعالى (سبحانه Anaposema: öνà à6î n/ Ï iβ Wξô ôòs sù (#θä äót tgö ö;s s? βr rr r& îy$o oψã ã_ öνà à6ø ø n n=t tã }} } ø } øšs s9 ((Hapana dhambi kwenu kutafuta fadhila toka kwa Rabb wenu)) 3 Manufaa Ya ki-dini.(سبحانه وتعالى ( Allaah 1. Kupata Radhi za Hajj ina taathira kubwa katika moyo wa Muislamu. Humbakisha katika taqwa na iymaan ya hali ya j. Kwa wengineo iymaan zao huwa nzuri zaidi na mabadiliko haya huwa ni ya kudumu katika uhai wao. Hajj au Umrah humjaza mapenzi Mmini moyoni mwake apende kurudia kutekeleza ibaadah hizi tukufu. Hii ni kutokana na du aa ya Nabiy Ibraahiym ( السلام (عليه baada ya kumaliza kujenga Al-Ka bah alipoomba: 3 Al-Baqarah (2: 198).
nn ÉÉ ãã ãã ää oo ÇÇÇ óóó øø Ï Ïi ii??? öö øø ãã öö ÎÎÎ öö xx ÍÍöö ÎÎ >>> üüü ÎÎ ÈÈ öö ÍÍ Íh hh èè ÄÄÄ ššš ààà Ïi ii óó ZZZ rr þþþ Îo ooîî øø rr!!! www.alhidaaya.com nn nο n θn n= Á9$ $# (#θß ßϑ É É)ã ã Ï Ï9 $u uζ /u u ÇΠ y ysß ßϑø ø9$ $# y7ï y ÏF t t/ y ΨÏ y Ïã?íö ö y y Ï ÏŒ Îö öx xî >Š#u uθî Î/ É ÉÉ ÉL ƒí h è èœ Ï ÏΒ àmζs s3ó ó r r& þ Î oτî Î)!$u uζ / tβρã t ãä ä3ô ô±o o óοß ßγ =y yès s9 ÏN t ty yϑ W9$ $# zz z Ï z iβ Νß ßγø ø%ã ã ö ö $ $#u uρ öνí Íκö ös s9î Î) ü È Èθö öκs seä $ Ζ9$ $# š Ï iβ Zοy y Ï Ï ø øùr r& ö y yèô ô_$ s sù (( Rabb wetu! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuria wangu katika bonde (la Makkah) lisilokuwa na mmea wowote, kwenye Nyumba Yako Tukufu. Rabb wetu, ili wasimamishe Swalaah na Ujaalie nyoyo za watu zielekee kwao na Uwaruzuku mazao ili wapate kushukuru)) 2. Kujichumia thawabu tele za kuswali katika Masjid Al-Haraam. عن جاب ر (رضي الله عنه) أ ن رس ول ا - صل ى ا - علي ه وسل م قال: ((صلا ة في مس ج د ي أف ض ل م ن أل ف صلا ة ف يما س واه إ لا ال مس ج د الح رام وصلا ة في ال مس ج د الح را م أف ض ل م ن م اي ة أل ف صلا ة ف يما س واه )) رواه أحمد وابن ماجه صلى ( Allaah kwamba Rasuli wa (رضي الله عنه ( Jaabir Imepokelewa toka kwa amesema: ((Swalaah katika Msikiti wangu ni bora kuliko (الله عليه وآله وسلم Swalaah elfu kwengineko isipokuwa Al-Masjid Al-Haraam. Na Swalaah katika Al-Masjid Al-Haraam ni bora kuliko Swalaah elfu mia (laki moja) kwengineko)) 5 3. Kufutiwa madhambi yote. - وسل م) يق ول : عن أ بي ه ري رة (رضي الله عنه) قال : "سم ع ت الن بي (صل ى فلم ير ف ث ولم يف س ق رج ع كيو م ولدت ه أ مه )) متفق عليه عل ي ه ا - ح ج ((من صلى الله عليه ( Nabiy ) kasema: Nilimsikia رضي الله عنه ( Hurayrah Kutoka kwa Abu akisema: ((Atakayefanya Hajj, kisha asiseme maneno (وآله وسلم Ibraahiym (1: 37). 5 Ahmad, Ibn Maajah.
www.alhidaaya.com machafu wala asitende vitendo vichafu atarudi akiwa kama siku aliyozaliwa na mama yake)) 6. Jazaa yake Jannah. وسل م) قال : عن أ بي ه ري رة (رضي الله عنه) أ ن رس ول الله (صل ى الله علي ه لي س له جزاء إ لا الجن ة)) متفق عليه ك فارة ل ما بي نه ما والح ج المب ر و ر الع م رة إ لى ((الع م رة صلى الله ( Allaah ) kwamba Rasuli wa رضي الله عنه ( Hurayrah Kutoka kwa Abu amesema: (('Umrah hadi 'Umrah ni kufutiwa dhambi baina (عليه وآله وسلم yao, na Al-Hajjul-Mabruwr haina jazaa isipokuwa ni Jannah)). 7 5. Amali bora kabisa: س ي ل: وسل م) سب ي ل ا - )) عن أ بي ه ري رة (رضي الله عنه) أ ن ق يل: فقال : ((إ يمان J - ورس ول ه )) : ((ح ج مب ر و ر)) متفق عليه رس ول ا - (صل ى ا - علي ه ثم ماذا قال: ((الج هاد في أ ي ال عم ل أف ضل ق يل: ثم ماذا قال Kutoka kwa Abu Hurayrah ( رضي الله عنه ) kwamba aliulizwa Rasuli wa Allaah Ni ipi amali iliyo bora zaidi? Akasema: ((Kumuamini :(صلى الله عليه وآله وسلم ( Allaah na Rasuli Wake)) Akaulizwa: "Kisha ipi"? Akasema: ((Jihaad katika Njia ya Allaah)) Akaulizwa: "Kisha ipi"? Aakasema: ((Hajjum- Mabruwr)). 8 6. Jihaad bora kabisa kwa wanawake. 6 Al-Bukhaariy na Muslim. 7 Al-Bukhaariy. 8 Al-Bukhaariy na Muslim.
www.alhidaaya.com رس ول ا - أ م ال م و م ن ين ) رض ي ا - عن ها) قالت ق ل نا: R عن عاي شة أفلا نج اه د معك قال: ((لا ولك ن أف ض ل الج ها د ح ج مب ر و ر)) الج هاد نرى أف ضل ال عم ل, Kutoka kwa Mama wa Waumini Aaishah ( رضي الله عنها ) amesema: Tulisema: Ee Rasuli wa Allaah, (kwa vile) tunaona jihaad kuwa ni amali bora kabisa. Je tusifanye jihaad pamoja na wewe? Akajibu: ((Hapana! Jihaad bora kabisa ni Hajjum-Mabruwr)) 9 7. Inaondosha ufakiri na madhambi. عن اب ن عب ا س (رضي الله عنهما) قال : قال رس و ل ا - صل ى ا - علي ه وسل م: ((N ب ع وا بين الح ج وال ع م رة فا ن ه ما ين ف يا ن ال فق ر وال ذن وب كما ين ف ي ال ك ير خب ث الح د ي د والذهب والفضة وليس للحج المبرور ثواب دون الجنة)) رواه أحمد والترمذي وصححه والنساي ي وابن خزيمة في صحيحه صححه الشيخ الا لباني رحمه الله في السلسلة الصحيحة صلى ( Allaah ) amesema: Rasuli wa رضي الله عنهما ( Abbaas Kutoka kwa Ibn [mbili] amesema: ((Fuatilieni Hajj na Umrah kwani hizo (الله عليه وآله وسلم zinaondosha ufakiri na madhambi kama kinavyoondosha chombo cha kupulizia moto uchafu wa chuma na dhahabu na fedha, na Al- Hajjul-Mabruwr thawabu yake hakuna zaidi ya Jannah)). 10 8. Kuwa ni mgeni wa Allaah ( وتعالى (سبحانه na kutakabaliwa du aa. Rasuli ( الله عليه وآله وسلم (صلى amesema: ((ال غاز ي في سب ي ل ا - والح ا ج وال م ع تم ر وف د ا - ابن ماجه-واللفظ له- وابن حب ان في "صحيحه" دعاه م فا جاب وه وسا ل وه فا ع طاه م)) رواه 9 Al-Bukhaariy. 10 Ahmad, At-Tirmidhiy na ameisahihisha, na An-Nasaaiy na ibn Khuzaymah katika Swahiyh yake na ameisahihisha Al-Albaaniy katika Silsilat Asw-Swahiyhah.
www.alhidaaya.com ((Anayepigana jihaad katika njia ya Allaah, na anayefanya Hajj na Umrah ni wageni wa Allaah, Amewaita wakamuitikia, wakamuomba Akawatakabalia)) 11 11 Ibn Maajah, Ibn Hibban katika Swahiyh zao.