MUONGOZO RAHISI WA RAIA KUHUSU UCHAGUZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014

Σχετικά έγγραφα
IDARA YA UTUMISHI WA MWALIMU

Mradi wa Misitu ya Jamii MJUMITA (Lindi) Wilaya ya Lindi Vijijini na Manispaa ya Lindi, Mkoa wa Lindi, Tanzania

Kiswahili TE(C2).indd i 5/30/14 8:14 PM


IMAM MAHDI (A.S.) NI TUMAINI LA MATAIFA

SURA YA 95 SHERIA YA MADAWA NA UZUIAJI WA USAFIRISHAJI WA MADAWA HARAMU SHERIA KUU MPANGILIO WA VIFUNGU SEHEMU YA 1 MASHARTI YA MWANZO


i Kiswahili (TE) Class 1.indd i 5/30/14 8:07 PM

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII

Yaliyomo. ~ Ukurasa 3 ~

Kuondoa Utata Uliyomo katika Tafauti ya Muandamo

MATESO YA DHURIA YA MTUME

Hadiyth Ya 11 Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na Kitu; Ya Juu Ni Tawhiyd, Na Ya Chini Kabisa Ni Kuondosha Taka Njiani

AHLUL ~ KISAA. Mkusanyiko wa sifa na tarehe za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), Imamu Ali, Bibi Fatimah, Imamu Hassan na Imamu Hussein

KILIMO CHA ZAO LA VANILLA

Ni kusimama katika neno lakini hata ukiunganisha yanayofuatia haiharibu maana. Ni lazima kusimama kwani kuunganisha na yanayofuatia kutaharibu maana.

Hadiyth Ya 131 Allaah Ameridhia Kuabudiwa, Kutokumshirikisha, Kuungana Na Anachukia Uvumi, Udadisi Na Kupoteza Mali ( )

Hadiyth Ya 71 Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema )) :

Hadiyth Ya 111 Wanaume Na Wanawake Wasio Maharimu Wasitazamane Uchi Wala Wasilale Pamoja

Hadiyth Ya 61 Dunia Ni Kama Kivuli Anachokitumia Msafiri Kwa Muda Tu

Ummu Iyyaad Imepitiwa Na: Abu Abdillaah Muhammad Baawazir

Mafundisho Ya Madhehebu

Hadiyth Ya 1 Allaah Hatazami Miili Wala Sura, Bali Anatazama Nyoyoni

Idghaam haiwezekani ikawa katika neno moja bali ni lazima nuwn saakinah au tanwiyn iweko mwisho wa neno la kwanza, na herufi inayoingizwa hiyo

25-Faharasa. Matamshi. Tamshi moja ni lafdhw. Iliyo na nguvu kabisa, inayodhaniwa kuwa sahihi kabisa, rai inayokubalika kabisa.

05- Fadhila Za Umrah Na Hajj

ΛΕΞΙΚΟΝ ΕΛΛΗΝΟ-ΣΟΥΑΧΙΛΙ

Estimation of grain boundary segregation enthalpy and its role in stable nanocrystalline alloy design

Ni hamzah inayotamkwa katika neno na haitamkwi (hutoweka) wakati wa kuunganisha na neno la nyuma yake.

K r i t i k i P u b l i s h i n g - d r a f t

Language, Mobile Phones and Internet: A Study of SMS Texting, , IM and SNS Chats in Computer Mediated Communication (CMC) in Kenya

POVRŠINA TANGENCIJALNO-TETIVNOG ČETVEROKUTA

Παναγιώτης Ψαρράκος Αν. Καθηγητής

3. α) = + 13 β) = + 10 γ) = + 9 δ) = = 0-3 = - 2 = - 1 = = + 1 = + 2 =

Νόµοςπεριοδικότητας του Moseley:Η χηµική συµπεριφορά (οι ιδιότητες) των στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού.

Appendix B Table of Radionuclides Γ Container 1 Posting Level cm per (mci) mci

Το άτομο του Υδρογόνου

ΓΗ ΚΑΙ ΣΥΜΠΑΝ. Εικόνα 1. Φωτογραφία του γαλαξία μας (από αρχείο της NASA)

Λίζα Βάρβογλη Εικονογράφηση: Γιώργος Πετρίδης

12/30(Fri) (Monthly-Taisho) Tane-hospital (19-th) <2017>

ΝΟΜΟΣ ΤΗΣ ΠΕΡΙΟ ΙΚΟΤΗΤΑΣ : Οι ιδιότητες των χηµικών στοιχείων είναι περιοδική συνάρτηση του ατοµικού τους αριθµού.

Yusif Idrīs Σπίτι από σάρκα

ΠΑΡΑΡΤΗΜΑ V. Πρότυπα δυναμικά αναγωγής ( ) ΠΡΟΤΥΠΑ ΔΥΝΑΜΙΚΑ ΑΝΑΓΩΓΗΣ ΣΤΟΥΣ 25 o C. Ημιαντιδράσεις αναγωγής , V. Antimony. Bromine. Arsenic.

TÔ appleâï ÙÔÏfiÁÈÔ ÙË ÂÊÔÚ

Wilo-MultiPress-MP 3../6.. GR Οδηγίες εγκατάστασης και λειτουργίας

Αναπληρωτής Καθηγητής Τμήμα Συντήρησης Αρχαιοτήτων και Έργων Τέχνης Πανεπιστήμιο Δυτικής Αττικής - ΣΑΕΤ

Ι ΙΟΤΗΤΕΣ ΤΩΝ ΑΤΟΜΩΝ. Παππάς Χρήστος Επίκουρος Καθηγητής

Ispitivanje toka i skiciranje grafika funkcija

ΠΕΡΙΟΔΙΚΟΣ ΠΙΝΑΚΑΣ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ

K Î Ì ÓÙ Ù applefi Ú ÛÈ


Για να εμφανιστούν σωστά οι χαρακτήρες της Γραμμικής Β, πρέπει να κάνετε download και install τα fonts της Linear B που υπάρχουν στο τμήμα Downloads.

DIMENZIONISANJE PRAVOUGAONIH POPREČNIH PRESEKA NAPREGNUTIH NA PRAVO SLOŽENO SAVIJANJE

SUPPLEMENTAL INFORMATION. Fully Automated Total Metals and Chromium Speciation Single Platform Introduction System for ICP-MS

ΠΑΝΕΠΙΣΤΗΜΙΟ ΑΙΓΑΙΟΥ ΣΧΟΛΗ ΕΠΙΣΤΗΜΩΝ ΤΗΣ ΙΟΙΚΗΣΗΣ ΠΡΟΓΡΑΜΜΑ ΜΕΤΑΠΤΥΧΙΑΚΩΝ ΣΠΟΥ ΩΝ ΜΕΤΑΠΤΥΧΙΑΚΟ ΙΠΛΩΜΑ ΙΟΙΚΗΣΗΣ ΕΠΙΧΕΙΡΗΣΕΩΝ ΜΕ. Ι..Ε.

ΙΑΦΑ Φ ΝΕΙ Ε ΕΣ Ε ΧΗΜΕ Μ Ι Ε ΑΣ ΓΥΜΝ Μ ΑΣΙΟΥ H

A N A L I S I S K U A L I T A S A I R D I K A L I M A N T A N S E L A T A N S E B A G A I B A H A N C A M P U R A N B E T O N

τροχιακά Η στιβάδα καθορίζεται από τον κύριο κβαντικό αριθµό (n) Η υποστιβάδα καθορίζεται από τους δύο πρώτους κβαντικούς αριθµούς (n, l)

Λίζα Βάρβογλη. Εικονογράφηση: Γιώργος Πετρίδης

A. Αὐτοτελεῖς δημοσιεύσεις:

ΜΑΘΗΜΑ ΠΕΜΠΤΟ ΤΥΠΟΛΟΓΙΑ ΚΑΙ ΛΕΞΙΛΟΓΙΟ

Funkcijske vrste. Matematika 2. Gregor Dolinar. Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani. 2. april Gregor Dolinar Matematika 2

bab.la Φράσεις: Ταξίδι Τρώγοντας έξω ελληνικά-ελληνικά


PREDSTAVITEV SPTE SISTEMOV GOSPEJNA IN MERCATOR CELJE

Αλληλεπίδραση ακτίνων-χ με την ύλη

Ασκήσεις. 5Β: 1s 2 2s 2 2p 2, β) 10 Νe: 1s 2 2s 2 2p 4 3s 2, γ) 19 Κ: 1s 2 2s 2 2p 6 3s 2 3p 6,

Ενα Νέο Κλασσικό Υπόδειγμα Χωρίς Κεφάλαιο. Μακροοικονομικές Διακυμάνσεις και Νομισματικοί Παράγοντες

ΥΠΗΡΕΣΙΕΣ ΠΡΟΓΡΑΜΜΑΤΑ

!"!# ""$ %%"" %$" &" %" "!'! " #$!

ΠΕΡΙΟΔΙΚΟ ΣΥΣΤΗΜΑ ΤΩΝ ΣΤΟΙΧΕΙΩΝ (1) Ηλία Σκαλτσά ΠΕ ο Γυμνάσιο Αγ. Παρασκευής

MEHANIKA FLUIDA. Prosti cevovodi

ΕΞΕΤΑΣΤΙΚΗ ΠΕΡΙΟΔΟΣ ΦΕΒΡΟΥΑΡΙΟΥ 2011 ΟΙΚΟΝΟΜΙΚΑ ΚΑΙ ΧΡΗΜΑΤΟΟΙΚΟΝΟΜΙΚΑ ΜΑΘΗΜΑΤΙΚΑ 14 ΦΕΒΡΟΥΑΡΙΟΥ 2011

,+ 2 1ntr0du~a0 TABLE OF CONTENTS. a * 4. LT\,? .fi T? PAGE. n - q;.;.+e Afos ao carbono. Conepxakiue. CTpa~uqa ~Zgina Ukuras a


[Πρωτότυπο] 1/1 KATA ΕΦΗΒΩΝ ΠΑΝΕΛΛΗΝΙΟ ΠΡΩΤΑΘΛΗΜΑ ΕΦΗΒΩΝ-ΝΕΑΝΙΔΩΝ & ΝΕΩΝ ΑΝΔΡΩΝ- ΝΕΩΝ ΓΥΝΑΙΚΩΝ ΑΘΗΝΑ. Τελικό ΧΕΛΙΔΩΝΗΣ ΑΛΕΞΑΝΔΡΟΣ (183)

γυρίσει στη θέση «ON», η υπενθύμιση λειτουργεί

United States of America

Odvod. Matematika 1. Gregor Dolinar. Fakulteta za elektrotehniko Univerza v Ljubljani. 5. december Gregor Dolinar Matematika 1

Matematička analiza 1 dodatni zadaci

Οδηγίες χρήσης και τοποθέτησης

Analysis of prosodic features in native and non-native Japanese using generation process model of fundamental frequency contours

M086 LA 1 M106 GRP. Tema: Baza vektorskog prostora. Koordinatni sustav. Norma. CSB nejednakost

ΣΧΟΛΗ ΤΕΧΝΟΛΟΓΙΚΩΝ ΕΦΑΡΜΟΓΩΝ ΤΜΗΜΑ ΟΧΗΜΑΤΩΝ ΠΤΥΧΙΑΚΗ ΕΡΓΑΣΙΑ ΔΙΑΒΡΩΣΗ ΚΑΙ ΠΡΟΣΤΑΣΙΑ ΤΩΝ ΥΛΙΚΩΝ Η ΠΕΡΙΠΤΩΣΗ ΤΩΝ ΧΑΛΥΒΩΝ ΣΤΑ ΑΥΤΟΚΙΝΗΤΑ.

N Î ÒÓÈ ÌÂ ÙËÓ ÈÛfiÙËÙ

PRILOG. Tab. 1.a. Dozvoljena trajna opterećenja bakarnih pravougaonih profila u(a) za θ at =35 C i θ=30 C, (θ tdt =65 C)

JUNIORS OD OPEN RUMBA 11012/1D R. η 616 BAILANDO FUERTE ANGEL LINA DANCE STUDIO BAILAR CON MARIA LETS DANCE KATERINI. η 93 η 299 η 759 η 482.

Linearna algebra 2 prvi kolokvij,

panagiotisathanasopoulos.gr

ΑΝΑΛΥΤΙΚΗ ΓΕΩΧΗΜΕΙΑ. Αριάδνη Αργυράκη

!"#$%$&'()"*+,$'$%,%"!" !"-.''$+,"/0%*,*0+"! !"1(*$+,*2*("(&'$$'"!" !"34.(&,0+"&+4"5'&*+*+6"!"

ΟΜΟΣΠΟΝ ΙΑ ΕΚΠΑΙ ΕΥΤΙΚΩΝ ΦΡΟΝΤΙΣΤΩΝ ΕΛΛΑ ΟΣ (Ο.Ε.Φ.Ε.) ΕΠΑΝΑΛΗΠΤΙΚΑ ΘΕΜΑΤΑ ΕΠΑΝΑΛΗΠΤΙΚΑ ΘΕΜΑΤΑ ÄÉÁÍüÇÓÇ

ΣΥΣΤΑΣΗ ΤΟΥ ΦΛΟΙΟΥ ΤΗΣ ΓΗΣ.

Š ˆ ˆ ˆ Š ˆ ˆ Œ.. μ É Ó

ΘΕΜΑ Α Να χαρακτηρίσετε τις παρακάτω προτάσεις ως αληθής (Α) ή ψευδής (Ψ)

... E A MA KATA Y OYP øn

ΤΕΧΝΙΚΟ ΔΕΛΤΙΟ ΕΡΓΟΥ ΣΤΟ ΠΛΑΙΣΙΟ ΤΟΥ ΜΕΤΡΟΥ 421 ΤΟΥ ΠΑΑ

KODE ZA ODKRIVANJE IN ODPRAVLJANJE NAPAK

Kαι αµνηστία για όσους είναι εγκλωβισµένοι στον «Tειρεσία» 12 ανάσες. για υπερχρεωμένους

IspitivaƬe funkcija: 1. Oblast definisanosti funkcije (ili domen funkcije) D f

Transcript:

MUONGOZO RAHISI WA RAIA KUHUSU UCHAGUZI KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014 UMEANDIKWA NA JIMMY LUHENDE

Kimetolewa na Shirika la Kuimarisha Demokrasia na Tawala za Vijiji S.L.P 1631, Mwanza Tanzania. Simu: +255 754 388 882 Baruapepe:actdlg@gmail.com Kimeandaliwa na kuhaririwa na Jimmy Luhende Katuni zimechorwa na Marco Tibasima 2014 Shirika la Kuimarisha Demokrasia na Tawala za Vijiji 1 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

Mwaka 1979 Bunge lilitunga sheria namba 4 ya mwaka 1979 kuhusu uchaguzi Mitaa (TAMISEMI). Uchaguzi wa serikali za mitaa utafanyika tarehe 14 Disemba 2014. Kwa kuwa uchaguzi, unatakiwa kufanya maandalizi mapema, ikiwa ni pamoja na kutambua ni tukio gani linatakiwa kufanyika, eneo ambalo tukio hilo wa matukio, haya, ushiriki wako utakuwa mdogo na utaishia kulalamika huku na kule kwa mafanikio kidogo au bila mafanikio kabisa. uchaguzi wa serikali za mitaa ili kumuwezesha mwananchi kufahamu kwa nne (4) za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa za 2014. Kanuni hizi zimesheheni mambo muhimu yanayotakiwa kufanyika kwenye uchaguzi wa mitaa wa mwaka huu 2014. Kanuni zinajibu maswali mengi muhimu ambayo mpiga kura au mpigiwa kura anajiuliza. 2 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

Pamoja na kanuni hizi, unashauriwa usome orodha za majina ya Kata, Mitaa, Vijiji na vitongoji halali kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu 2014, orodha hizi zinatambulika kama: mwaka 2014. Kama mtaa au kijiji au kitongoji hakipo kwenye orodha hii maana yake hakipo kisheria na hivyo eneo hilo hakuna uchaguzi, wananchi watoe taarifa kwa wadau na kwa Tume kuhusu uchaguzi unaotaka kufanyika pahala hapo. 3 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

kitakusaidia kufahamu jinsi zoezi la uandikishwaji linavyotakiwa kuendeshwa vitongoji. kujadiliana kuhusu changamoto za maisha ya watu na namna bora ya wagombea na ni fursa kwa wagombea kusikiliza wananchi! ya kubadilisha kiongozi. Kwa maneno mengine uchaguzi ni moja ya fursa za kuwajibisha viongozi. kwamba viongozi ni watumishi wao. ya mwananchi na mgombea na kwamba mgombea akishinda nafasi ya uongozi hana budi kuwajibika kwa watu. inatamka wazi kuwa hii ni nchi inayofuata misingi ya demokrasia na haki ya kijamii. Moja ya misingi ya Demokrasia ni uhuru wa maoni ushiriki na pia kupiga kura na kupigiwa kura. Lakini pia moja ya haki za kijamii ni afya, Muungano wa Tanzania ya 1977. Kipengele cha pili cha ibara hiyo kinatamka uamuzi juu ya mambo yanayomhusu yeye, maisha yake au yanayolihusu Taifa. pia uchaguzi ni suala linalomhusu kila raia hasa kwa kuwa linayo mahusiano 4 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

(1977 inaendelea kwa kutaja kuwa: na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi na b) lengo kuu la serikali litakuwa ustawi wa wananchi c) Serikali itawajibika kwa wananchi na Vipengele hivi vinne na hasa (a) na (c) vinachochea nguvu ya kura ya mwananchi/ raia. Vipengele hivi vinawakumbusha pia viongozi watarajiwa mchakato wa kudai haki na wajibu, ni mchakato wa kuweka mkataba baina ya mpiga kura na mpigiwa kura! mitaa Mamlaka za serikali za mtaa hupata fedha kutoka kwenye vyanzo mbalimbali, sehemu kubwa ya fedha kutokana na malipo na ruzuku mapato ya serikali za mitaa ambayo hutokana na Mapato ya vyanzo binafsi, ikiwa ni pamoja na kodi, mikopo na michango ya wanajamii, fedha zitokanazo na viwanda,huduma,ada ya leseni,ushuru,vibali,nk. Moja ya inavyokusanywa na inavyotumika. Sasa unahitaji kutafakari kuhusu mtu unaetaka kumchagua kama anatosha kusimamia rasilimali hii. Migogoro mingine inahusu ruzuku za maendeleao na pembejeo za kilimo, hasa mbolea ya ruzuku. 5 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

6 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

ardhi na mipaka. Unaetaka kumchagua ni lazima awe mtu ambae unadhani Chama cha siasa maana yake ni chama cha siasa kilichopata usajili wa kudumu kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa. ambacho kimesajiliwa kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Kitongoji maana yake ni sehemu ya Kijiji kilichosajiliwa kwa mujibu wa Mahali pa matangazo ya Uchaguzi maana yake ni sehemu iliyotengwa maalum na Msimamizi wa Uchaguzi kwa ajili ya kutolea matangazo, taarifa za Kijiji au Kitongoji na taarifa mbalimbali zikiwa ni pamoja na taarifa za Uchaguzi. Mkazi maana yake ni raia wa Tanzania ambaye kwa kawaida anaishi kwenye ya Mkurugenzi 7 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

Msimamizi wa Uchaguzi maana yake ni Mkurugenzi, ambamo kuna vijiji iliyoandaliwa kwa mujibu wa Kanuni. Siku ya uteuzi maana yake ni siku ya kutangaza majina ya wanaostahili na au Uchaguzi mdogo unatakiwa ufanyike kwa mujibu wa Kanuni na unaanzia tarehe ambayo Msimamizi wa Uchaguzi atakapotoa maelekezo ya Uchaguzi na kumalizika mara baada ya kutangaza majina ya waliochaguliwa/washindi. kabla ya siku ya Uchaguzi. Unashauriwa kusoma taarifa rasmi zinazohusu mipaka ya maeneo. Mipaka iliyowekwa na Msimamizi wa uchaguzi ndio mipaka rasmi. watano (15) na wasiozidi ishirini na watano (25), nafasi zinazopigiwa ya Kijiji. 8 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

miongoni mwa watumishi wa umma. idadi yake ni sita 6. yoyote mwenye sifa na uadilifu ambaye ataandikisha na kuandaa Uchaguzi. kuandaa orodha ya wapiga kura. ya umma na pale ambapo hakuna jengo la umma, uandikishaji utafanyika kwenye sehemu ambayo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atakuwa amekubaliana na Viongozi wa Vyama vya Siasa. 1:30 asubuhi na kufungwa saa kumi (10:00) jioni. wapiga kura. wapiga kura sehemu iliyotengwa maalum na kwa ajili ya kutolea matangazo na pia anatakiwa kutunza kumbukumbu yake. kubandikwa kwa orodha ya wapiga kura ili kutoa maoni juu ya kuongeza jina lake au jina la mkazi au kufuta jina lililoorodheshwa kwa vile aliyeorodheshwa hana sifa ya kupiga kura. mahali pa matangazo ya Uchaguzi Pingamizi linawasilishwa kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ambaye muda wa siku tano (5) kuanzia tarehe ya kuwasilishwa kwa pingamizi hilo. 9 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

Mtu yeyote au chama cha siasa ambacho hakitaridhika na uamuzi wa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kitawasilisha rufaa kwa Msimamizi wa baada ya kupokea rufaa hiyo. Uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kuhusu rufaa iliyowasilishwa ni uamuzi wa mwisho. Mkazi yeyote wa eneo la Kitongoji, mtaa anaweza kugombea 10 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

kuhukumiwa adhabu ya Kifungo cha miezi sita au zaidi au adhabu ya Serikali au Bodi ya Utabibu. Siku ya Uteuzi wa Uchaguzi kabla ya saa kumi kamili jioni baada ya hapo fomu hazitapokelewa ili kuruhusu kufanyika kwa uteuzi wa wagombea kutokana na fomu zilizowasilishwa. zisizopungua ishirini kabla ya tarehe ya Uchaguzi. kumi na tano jioni ya siku ya uteuzi. ya wagombea wenye sifa na wasio na sifa za kugombea mahali pa matangazo ya Uchaguzi. utaanza upya. tatu (3) kabla ya siku ya kuchukua fomu za kugombea Uongozi. 11 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

Endapo siku ya uteuzi hakutakuwa na mgombea kutokana na kifo au sababu nyingine yeyote, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atatengua uteuzi na kupan ga tarehe nyingine kwa ajili ya kufanya uteuzi mpya ndani ya siku kumi (10) tangu siku uteuzi ulipotenguliwa. uteuzi wa mgombea ye yote, ana haki ya kuwasilisha pingamizi na uliofanyika ili amteue kuwa mgombea au atengue uteuzi anaoupinga na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atamteua au atatengua uteuzi uchaguzi. muda usiozidi siku mbili (2) kuanzia siku ya kupokea pingamizi hilo. Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atakuwa na haki ya kukata rufaa tarehe ya uamuzi wa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi rufaa. baada ya matokeo ya Uchaguzi kutangazwa. saba (7) kabla ya siku ya uteuzi wa wagombea. 12 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

kupiga kura. kabla ya siku ya Uchaguzi na zitamalizika siku moja kabla ya siku ya Uchaguzi, hivyo inatarajiwa kuwa kampeni zitaanza tarehe 01/Disemba 2014 na kumalizika tarehe 13/Desemba 2014 13 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

Uchaguzi. kampeni. Uchaguzi ni taarifa rasmi ya mikutano ya kampeni kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi. kumi na moja jioni. kuendesha kampeni za Uchaguzi kwa kutumia rushwa, takrima, au wa namna yoyote ile ambao matokeo yake ni kumbagua mtu. namna itakayomwezesha mpiga kura kutumbukiza kura yake na bila ya kuruhusu kura hiyo kutolewa ndani ya sanduku hilo. atawaonesha wapiga kura sanduku la kupigia kura lililowazi na atalifunga kwa lakiri kwa namna ambayo itazuia kufunguliwa bila kukata lakiri. karatasi za kupigia kura, atajiridhisha kama jina la mpiga kura aoneshe kitambulisho kitakachoonesha kuwa jina la mpiga kura huyo kura anaweza kuonesha moja ya vitambulisho vifuatavyo: 14 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

jina lake limo kwenye orodha ya wapiga kura iliyoandaliwa kwa mujibu wa Kanuni, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atamruhusu mtu huyo kupiga kura baada ya kutambuliwa na wakazi wa eneo husika. sehemu ambayo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ataiteua baada ya kushauriana na wagombea, wawakilishi wao au vyama vya siasa. ulemavu wowote wa kimaumbile au hajui kusoma na kuandika, anaweza kumuomba mtu aliyemchagua yeye mwenyewe kumsaidia kupiga kura isipokuwa Msimamizi wa Uchaguzi, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, Mgombea au Mwakilishi wake. vya Siasa Karatasi za kura Karatasi za kupigia kura zitakuwa na: Kuhesabu kura 15 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

Kabla ya Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi hajaanza kuhesabu kura atafanya yafuatayo mbele ya wagombea au wawakilishi wao: Kura zitahesabiwa na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kwenye eneo ambalo Uchaguzi umefanyika mbele ya wagombea au 16 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atawatangaza kuwa wajumbe na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atawatangaza wagombea wote 17 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

zilizopo Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi atawatangaza wagombea Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ataahirisha kutangaza matokeo na atapanga tarehe nyingine ya Uchaguzi ili kumpata mshindi au washindi baina yao, ambao watatangazwa kuwa wajumbe wa kubandikwa kwenye sehemu ya matangazo na nakala kuwasilishwa wa kupiga kura, kuhesabu kura, kutangaza matokeo au kukataa kusaini fomu Uchaguzi. Endapo siku ya kupiga kura litatokea tukio litakalozuia upigaji kura kuendelea kufanyika, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi ataahirisha upigaji kura hadi siku inayofuata au siku nyingine anayoona inafaa ili mradi zisizidi siku saba (7) tangu siku ya Uchaguzi ulipoahirishwa, wa tarehe 14 Disemba, siku za kuahirishwa hazitazidi tarehe 21 Disemba 2014 Mgombea yeyote ambaye hakuridhika na uendeshaji wa Uchaguzi atakuwa thelathini (30) baada ya siku ya kutangaza matokeo ya Uchaguzi. Malalamiko uchaguzi). 18 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

19 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

ya kutangazwa kuwa wazi. Kiapo yao ni pamoja na Msimamizi wa Uchaguzi, Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, umma atakayeteuliwa kusimamia shughuli za Uchaguzi. kuanza kutekeleza majukumu ya uongozi. wanatakiwa kuwa na kibali cha Msimamizi wa Uchaguzi. Pia, shughuli hii ya anaweza kuwa mtazamaji wa uchaguzi ilimradi ana kibali kutoka kwa msimamizi wa uchaguzi. 20 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

21 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

Wajumbe wa 1) Tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi ni tarehe 14 Disemba 2014 2) Tambua muda na sehemu ya kuandikishia wapiga kura eneo lako huu muhimu 6) Tarehe na muda wa kuchukua na kurudisha fomu za maombi 7) Muda wa kuchukua na kurudisha fomu za kugombea hautazidi siku saba (7) 8) Siku ambayo uteuzi utafanyika na mahali pa matangazo ya Uchaguzi ambapo fomu za wagombea zitabandikwa ili wapiga kura wazione. 9) Muda wa kutoa pingamizi dhidi ya uteuzi na kusikilizwa kwa pingamizi. 10) Muda wa kusikiliza rufaa dhidi ya uamuzi wa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi 11) Kipindi cha kuendesha mikutano ya kampeni za Uchaguzi, kwa mujibu wa kanunu ni siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya uteuzi (siku ambayo majina ya wanaostahili na wasiostahili kugombea yalitagazwa) 22 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

23 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

ni pamoja na: mwananchi kukubali kupokea rushwa ile ili kupindisha haki yake ya kupiga kura na hivyo kuchagua mtu asie na sifa za kuongoza kuwa mbali sana na makazi ya watu 24 MUONGOZO RAHISI KUHUSU CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA/VIJIJI

Kama unayo maoni yoyote kuhusu kijitabu hiki, tafadhali tuma kwa: Shirika la Kuimarisha Demokrasia na Tawala Vijiji na Kata Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Kuimarisha Demokrasia na Tawala Vijiji +255 754 388 882 actdlg@gmail.com S.L.P 1631, Mwanza, Tanzania