ii- الا د غا م Al-idghaam Kuingiza, kuchanganya. Idghaam ni kuingiza kitu kwenye kitu. Katika hukmu za Tajwiyd ni kuingiza herufi saakin kwenye herufi yenye i raab na kuzipelekea herufi mbili hizi kuwa herufi moja ya pili nzito. Na hutokea pale nuwn saakinah au tanwiyn inapofuatiwa na moja ya herufi sita ي ر مل ون ambazo zinakusanyika katika ibara ya ي ر م ل ن و za idghaam Sharti ya Idghaam: Idghaam haiwezekani ikawa katika neno moja bali ni lazima nuwn saakinah au tanwiyn iweko mwisho wa neno la kwanza, na herufi inayoingizwa hiyo nuwn saakinah au tanwiyn م د غ ما ف يه (mudghaman-fiyhi) iweko mwanzo wa neno linalofuatia. Ama inapokuweko nuwn saakinah katika neno moja na kufuatiliwa na herufi yoyote katika herufi za idghaam, hukmu ya idghaam hutoweka na kinachotakikana ni idhwhaar (kuidhihirisha nuwn saakinah); na hii inaitwa (Idhwhaar Mutwlaq - Idhwhaar halisi.) Na katika Qur-aan kuna إظهار م ط ل ق maneno manne tu ambayo nuwn saakinah iliyoko katika neno moja, imekutana na herufi mbili miongoni mwa herufi za idghaam. Herufi zenyewe ni و ي. Hivyo ni wajibu kuidhihirisha nuwn saakinah kwani kuleta idghaam pahala kama hapo ni kulibadilisha na kulipotosha neno na maana yake. 1. Maneno manne hayo ni kama ifuatavyo: 1 Sababu ya kuweko إظهار م ط ل ق ni kuhakikisha kwamba maana ya neno haibadiliki, kwani itakapoletwa hukmu ya idghaam itabadilisha maana na pia itasomeka ifuatavyo na kutokufahamika: د ق وان ص وان ب ي ا ن
555 &&&!! 44 4ÈÈÈ àà rr 444 óó WW ÖÖÖ çç 555 çç <<< ššš ÍÍÍ ãã rr ää øø ççç 444 èèéé ßßß nn 555!!! Ïj jj ;;; ããã ÅÅ Åe ee UU ššš äää 44 ww ššš çç øø zzz èè!! 4444555 ÖÖ çç Suwrah/ Aayah Aayah Neno Al- Imraan (3: 185) Í ρã ã ä äóø ø9$ $# ßì t tft tβ ωî Î)!$u u Ρ $!$ $# äο4 4θu ušy y ø ø9$ $# $t tβu!$u! u Ρ $!$ $# 2 Al-An aam (6 :99) πu ušρ#y yš β#u uθζ% $y yγèùù=s sû Β ÈÈ Ζ9$ $# z Βu β#u uθζ% Ar-Ra d (13 : 4) 5= u uζôôãr r& ôô iiβ M Ζy y_u &!!$y yϑî Î/ βî Î) 4 s s+ó ó ç ç 5β#u uθ ΖÏ Ï¹ ÔÔN u u ÈÈθ y yft tg Β ç ö ö x xîu ÓÓìs sü% β#u uθ ΖÏ Ï¹ ÇÇÚ F FF F{$ $# ŠÏ σw wυu Î Îûu íö ö y y u È à à2w W{$ $# Î Îû<Ù èt t/ 4 n n?t tã$p pp pκ Õ èt t/ ã Å eòx x ç çρu 7 Ï Ïn u šχθè è=é É) èt tƒ5θö öθs s)ï j9;m t tƒu Uψš Ï Ï9 s sœ Î Îû 3 β#u uθζ¹ 5β#u uθ ΖÏ Ï¹ 4 As-Swaff (61 : 4) ÒÒÉθßß¹ ΒÖ u ušψç ç/ Οßßγ Ρr r(x x. $ ¹ &Î Î# Î Î6y y Î Îûšχθè è=g s s)ããƒ Ö u Ö ušψç ç/ 5 Tanbihi: Katika kuzisoma Aayah mbili za mwanzo za Suwrat Yaasiyn na Suwratul- Qalam, pale mtu anapopenda kuziunganisha Aayah hizo mbili, haipasi kuzipa hukmu ya idghaam japokuwa ن zinazotamkwa kwa sukuwn zinafuatiliwa na herufi ya و ambayo ni miongoni mwa herufi za idghaam, 2Imekariri mara nyingi katika Qur-aan 3Pekee katika Qur-aan 4Imekariri mara mbili katika Qur-aan kwenye Aayah hiyo moja. 5Imekariri pia: (At-Tawbah 9: 109, 110), (An-Nahl 16: 26), (Al-Kahf 18: 21), (Asw-Swaffaat 37: 97)
kwa sababu kutokana na Hafsw An Aaswim twariyq Shatwabiah inakuwa ni waajib kuifanya idhwhaar: 6 ΟÉ ÉÉÉ ÅÅÅ 3Å tp pp :ø øøø #$ $ βé ÉÉÉ #u u ö ö )à ààà 9ø øøø #$ $ ρu û ûûû ƒ Isomwe: ين و ال ق ر آن الح ك يم س ((Yaasiyn wal-qur-aanil-hakiym) kwa kuidhihirisha ن katika ين س bila ya ghunnah. 7 βt ρããã ã Üä äää ó óóó o oo $tβt ρu ΟÉ ÉÉÉ =n nn )s 9ø øøø #$ $ ρu 44 4χú úúú Isomwe: ن ون وال ق ل م و م ا ي س ط ر ون ((Nuwn wal-qalami wa maa yastwuruwn)) wa kuidhihirisha ن katika ن ون bila ya ghunnah. Aina za idghaam ni kama ifuatavyo: Idghaamu bighunnah إ د غ ام ب غ ن ة Idghaam bighunnah ni kuingiza nuwn saakinah au tanwiyn kwenye herufi za ي ن م و pamoja na kuleta ghunnah inayotokea puani. Hukmu hii hutokea pale nuwn saakinah au tanwiyn inapofuatiwa na moja ya herufi hizo nne za idghaam bighunnaah nazo zimekusanywa katika. ي ن م و ya: ibara 6Yaasiyn (36 : 1-2) 7Al-Qalam (68 : 1-2)
Mifano Ya ما غ د إ ة ن غ ب -Idghaamu bighunnah Tanwiyn Nuwn saakinah Herufi Inavyotamkwa Mfano Inavyotamkwa Mfano wujuwhuawmaidhin νθã ãã ã_ã ãã ãρ 7 Í ÍÍ Í t tβö öθt tƒ iy-yaquwluwna βî Î) ššš šχθä ää ä9θà àà à)t tƒ ي yawmaidhiuwaffiyhimu 7 ÍÍ t tβθt tƒ ããνííκ jjùu uθãムwa may-ya mal t tβu y yϑèt tƒ rizqannahnu $] ]] ]%øø ÍÍ ßß øøtªªυ wa mannu- ámmirhu t tβu ççç çν ddϑy yèœ œœ œρ ن malikannuqaatil $ZZ6Î Î=t tβ F s s)œ œœ œρ minni matin iiβ 7πy yϑèo oo oρ swiraatwammusta qiymaa $WWÛ u u ÅÅÀ $V VV Vϑ É ÉÉ É)t tgó óó ó Β mimmaaaaain iiβ &&!!!!$ Β م maaimmahiyn &&!!!!$ Β && Î Îγ Β mimmasad iiβ Β Rahiymuw- Waduwdu ÒÒΟŠmu u Šρßߊu miw-waaqin Β 555 5X#u و waliiw-walaa <<< <cc ÍÍ<u ŸŸŸ Ÿ ωu miw-waliin Β <<< <cc ÍÍ<u
;;; rr În nn Idghaamu bighayri ghunnah إ د غ ام ب غ ير غ ن ة (Idghaamu bighayri ghunnah) ni kuitia na kuichanganya إ د غ ام ب غ ير غ ن ة nuwn saakinah au tanwiyn katika herufi za ghunnah inayotokea puani. bila ya kuleta ر ل Mifano ya إ د غ ام ب غ ير غ ن ة (Idghaamu bighayri ghunnah) Tanwiyn Nuwn saakinah Herufi Inavyotamkwa Mifano Inavyotamkwa Mifano la- RauwufuRrahiym ÒÒΟ m ÔÔ ρââ t t s s9 mirrabihim ر ΝÎ ÎγÎ n/ Β thamaratirrizqan $] ]] ]%øø ÍÍhh ;οt t y yϑr ro mirrizqin ÉÉ øø ÍÍhh Β hudallimuaqiyna zz z ŠÉÉ) z Fßßϑùù=jj9 WW è èè èδ walaakillaa ω ÅÅ3 s ل s9u qasamullidhiy %Î Îkk! Λ s s% milladun βàà$! Β Kisha katika aina mbili hizo za idghaam, zinagawanyika kwa kuwa ziko إد غ ام ق ص zilizopunguka; (Idghaamu kaamil) na إد غ ام كام ل kamilifu; zilizo (Idghaamu naaqisw)
õõ œœ ÅÅ ÉÉ Éi ii îîî ÅÅ >>> àà ZZZ ö ää - Idghaamu Kaamil (Iliyokamilika) ambayo inaweza kuwa ni إد غ ام كام ل bighunnah au bighayri ghunnah. Herufi zake ni nne nazo zimekusanyika. نرمل katika neno Idghaamu Kaamil Bighunnah Hukmu hii hutokea pale nuwn إ د غ ام كام ل ب غ ن ة saakinah au tanwiyn inapokutana na herufi za ن na م ikaingia yote katika herufi ya pili bila kubakisha chochote katika nuwn ndio maana ikawa kaamil na hivyo basi husababisha shaddah. Ghunnah inayopatikana kutokana na hizi herufi mbili ni kwa ajili ya hizo ن na م mushaddad zina swiffah ya ghunnah ya asili. Idghaamu Kaamil Bighayri Ghunnah : Hukmu hii hutokea إ د غ ام كام ل ب غ ير غ ن ة pale nuwn saakinah au tanwiyn inapokutana na herufi za ر ل na ikaingia yote katika herufi ya pili inayofuatia bila ya kubakisha chochote katika nuwn ndio maana ikawa kaamil na hivyo basi husababisha shaddah lakini hapa ghunnah haithibiti. Alama za إد غ ام كام ل (Idghaamu Kaamil) katika nuwn saakinah ni kuondoshwa sukuwn katika nuwn na kuipa shaddah herufi inayofuatia. Alama ya إد غ ام كام ل (Idghaamu Kaamil) katika tanwiyn ni kufuatana i raab mbili moja chini ya mwenziwe kwa upande kidogo na kuipa shaddah herufi inayofuatia 8 8 Alama hizi katika Msahafu ni vile tanwiyn zinavyokaa moja chini ya mwenziwe kwa upande kidogo na si katika usawa wa mstari mmoja kama ifautavyo: #[ [[ [ õ õ3œ œρ $\ \\ \/#x x t tã 7πu uζé i t t7 Β 7πt t±å Ås x x Î Î/ $ ϑ Ï Ïm #Y YY Y θà à x xî öνä ä3 9 ö ö y yz Ni tofauti hali yake zinavyokuwa katika hukmu ya idhwhaar ambako zinapandiana moja j ya mwenzake katika usawa wa mstari mmoja na si kwa upande kama ifuatavyo: οu u Å Å %s s{ îο x x. ωî Î) >πs s%u u u Zπu u Ï ÏΒ%t tn # $t tρ
999 ÍÍ ççç ççç 555 Ïd dd œœ ôô Mifano ya إد غ ام كام ل Idghaamu Kaamil إد غ ام كام ل Tanbihi: Zingatia rangi katika jedwali mbili zifuatazo za (Idghaamu kaamil) na إد غ ام ق ص (Idghaamu naaqisw) katika matamshi kwamba pale penye shaddah, herufi imekaririwa kutajwa katika herufi inayofuatia nuwn saakinah au tanwiyn bila ya kugawanywa, na kwamba pasipokuwa na shaddah herufi moja imebakishwa katika nuwn saakinah au tanwiyn na ya pili imetajwa katika herufi inayofuatia nuwn saakinah au tanwiyn. Inavyotamkwa Tanwiyn Inavyotamkwa Nuwn Saakinah yawmaidhi- nnaa imah yawmaidhimmusfirah πu uη å$ Ρ7 Í Í t tβö öθt tƒ οt t óó Β7 ÍÍ t tβθt tƒ wamannu- ammirhu mimmaalin çνö ö Ï dϑy yèœ œρ ن t tβu م 5Α$ Β Β latadhkiratullil muaqiyn shaytwaanirrajiym t ÉÉ) t Gßßϑùù=jj9 οt t.õõ t tfs s9 555 5ΟŠÅÅ_ 9 s süøø x x mallam yazidhu mirrahmatihi çνšìì t tƒóóο 9 iiβ ل t tβ ر Ï ÏµÏ ÏGy yϑô ôm (Pungufu) Idghaamu Naaqisw إد غ ام ق ص Ni pale nuwn saakinah au tanwiyn inapokutana na herufi za و ي na ikaingia katika herufi ya pili inayofuatia kwa kuibakisha swiffah ya nuwn saakinah au tanwiyn ambayo ni ghunnah na ndio maana ikaitwa naaqisw hivyo basi herufi ya pili yake haitiwi shaddah.
!!! pp ö èè ÍÍ ßß ÅÅ ö >>> ÈÈÈ Alama ya ص ق إد غام (idghaamu naaqisw) katika nuwn saakinah ni kuondoshwa sukuwn katika nuwn na herufi ya pili yake haina shaddah. Alama ya ص ق إد غام (Idghaamu naaqisw) katika tanwiyn ni kufuatiana i raab mbili moja chini ya mwenzio kwa upande kidogo na kutoweka shaddah j ya herufi inayofuatia kimaandishi. Ama kusoma ni lazima isomwe kwa shaddah. 9. Mifano ya إد غ ام ق ص (Idghaamu naaqisw): Inavyotamkwa Tanwiyn Inavyotamkwa Nuwn saakinah tadhkiratawwata iyahaa!$p pκu u ès s?u ZZοt t.õõ s s? maw-wujida y ÉÉ`ããρ y و t tβ khaasiawwahuwa uθè u èδu $Y YY Y Å Å %s s{ miw-waraqatin >πs s%u u u Ï ÏΒ wayluawmaidhin 7 Í Í t tβö öθt tƒ ƒu wamaaaqillaah!$ $# È, Gt tƒ ي t tβu ghishaawatuwwalahum öνß ßγs s9u οu uθ t t±ï Ïî famay-ya-mal ö y yϑ èt tƒ y yϑs sù Hitimisho la aina za Idghaam ni kama ifuatavyo: ل ر Idghaamu kaamilin bighayri ghunnah: herufi zake ni إ د غ ام كام ل ب غ ير غ ن ة إ د غ ام كام ل ب غ ن ة ن م Idghaamu kaamilin bighunnah: herufi zake ni إ د غام ق ص ب غ ن ة و ي Idghaamu naaqiswin bighunnah herufi zake ni 9 Rejea tanbihi namba 146